Mshukiwa wa shambulizi la Florida amefunguliwa kesi ya jinai

Kaka yake amesema kitendo cha msimamizi wa FBI kumrudishia silaha ndugu yake ndiyo kilichomuingiza katika maangamizi hayo.

VOASwahili

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

VOASwahili

Mshukiwa wa shambulizi la Florida kufikishwa mahakamani

Mshukiwa wa shambulizi la kinyama kwa kutumia silaha alilolifanya siku ya Ijumaa katika uwanja wa ndege wa Florida anatarajiwa kufikishwa mahakamani kwa mara ya kwanza Jumatatu. Esteban Santiago alifunguliwa mashtaka Jumamosi kwa kosa la kuvunja amani katika uwanja wa ndege wa kimataifa n akusababisha  vifo. Ikiwa atakutwa na hatia,  Santiago anakabiliwa na adhabu ya kifo au uwezekano wa kutumikia kifungo cha maisha kufuatia shambulio liliouwa watu watano. Wakati polisi wanaendelea na...

 

2 years ago

VOASwahili

Marekani: waendesha mashtaka wamfungulia kesi mshukiwa wa shambulizi la bomu

Rahami alikamatwa Linden huko New Jersey nje ya Manhattan, saa kadhaa baada ya polisi wa New York kusambaza picha ya Rahami kila mahali wakisema anatafutwa kwa ajili ya kuhojiwa.

 

4 months ago

VOASwahili

Mshukiwa wa mauaji ya Florida kufikishwa mahakamani

Mtu ambaye anaonekana kuwa alikuwa na matatizo anatuhumiwa kuhusika na mauaji ya kutumia bunduki Marekani ambaye inatarajiwa kuwa atafikishwa mahamani kwa mara ya kwanza Alhamisi.

 

4 years ago

BBCSwahili

Libya:Mshukiwa wa shambulizi mahakamani

Mmoja ya washukiwa wakuu wa shambulizi lililomuua balozi wa Marekani nchini Libya afika mbele ya mahakama nchini Marekani.

 

2 years ago

Mtanzania

MSHUKIWA WA SHAMBULIZI LA BERLIN AUAWA

mshukiwa

Kijana aliyeendesha shambulizi kwenye soko mjini Berlin Anis Amri, ameuawa kwa kupigwa risasi na polisi mjini Milan nchini Italia.

Awali, Amri aliwafyatulia polisi risasi na kuuwa askari mmoja pale walipotaka awaonyeshe kitambulisho chake wakati wa doria katika eneo la Sesto San Giovani.

Hata hivyo, Ujerumani imekuwa kwenye tahadhari kubwa tangu shambulizi hilo litokee na kupoteza maisha ya watu 49.

Wakati huo huo polisi wamewakamata watu wawili katika mji wa Oberhausen baada ya kushukiwa...

 

4 months ago

VOASwahili

Shambulizi la Florida: Je, shule za Marekani zitaendelea kuwa salama?

Wanafunzi ambao walinusurika katiika shambulizi la kutumia bunduki la kinyama katika historia ya Marekani wanarejea madarasani Jumatano, wakati serikali kuu na wabunge wakiendelea kujadili jinsi ya kuzuia vijana wadogo kupoteza maisha yao katika kile ambacho watu wote wanakubaliana kuwa shule ziwe sehemu salama katika taifa hili.

 

2 years ago

BBCSwahili

Mshukiwa wa shambulizi la Berlin auawa Italia

Mtu aliyeendesha shambulizi kwenyr soko mjini Berlin Anis Amri, ameuawa kwa kupigwa risasi na polisi mjini Milan nchini Italia.

 

1 year ago

VOASwahili

watu 5 wauawa katika shambulizi kwenye uwanja wa ndege Florida

Watu watano wameuwawa na wengine wanane kujeruhiwa baada ya shambulizi la risasi katika uwanja wa ndege wa  Fort Lauderdale, Florida, maafisa wa polisi wamethibitisha Ijumaa. Polisi pia wameeleza kuwepo kwa msako mkali wakati taarifa ambazo hazikuweza kuthibitishwa kuelezea kuwa kulikuwa na milipuko ya risasi ikiendelea. Watu wanane  waliojeruhiwa huko eneo la uwanja wa ndege wa kimataifa wa Fort Lauderdale- Hollywood walipelekwa katika hospitali ya karibu, ofisi ya mkuu wa kaunti ya...

 

2 years ago

VOASwahili

Mshukiwa wa shambulizi la Berlin auawa Milan, Italy

Soko la krismas mjini Berlin limefunguliwa huku kukiwa na ulinzi mkali na vizuizi kuzunguka eneo hilo.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani