MSIKILIZE HAPA MBUNGE WA SHINYANGA MJINI AKITOA MSIMAMO WAKE KUHUSU NJAA KWA WANANCHI

Mbunge wa jimbo la Shinyanga Mjini,mheshimiwa Stephen Masele akizungumza wakati wa mkutano wa hadhara eneo la Fire/jeshi la Zimamoto na Uokoaji Nguzo Nane mjini Shinyanga ambapo aliwakaribisha wananchi waeleze kero zinazowakabili huku hoja ya njaa ikijitokezaMkazi wa Shinyanga mjini,akieleza kwa uchungu kuhusu njaa inayowabili wakazi wa Shinyanga kutokana na bei ya chakula kupanda
SIKILIZA HAPA CHINI WANANCHI WAKIELEZEA JINSI WANAVYOKABILIWA NA NJAA MKOANI SHINYANGA ,NA MSIMAMO WA MBUNGE WA...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Malunde

Picha & Audio : MKUTANO WA HADHARA MBUNGE WA SHINYANGA MJINI,ATOA MSIMAMO KUHUSU NJAA,SIKILIZA HAPA


Mbunge wa jimbo la Shinyanga Mjini mheshimiwa Stephen Masele (CCM) amefanya mkutano wa hadhara na kusikiliza kero za wananchi katika viwanja vya jeshi la Zimamoto na Uokoaji Nguzo Nane mjini Shinyanga. 

Mkutano huo ulioanza kwa wananchi kueleza kero zao kwa mbunge umehudhuriwa na mamia ya wakazi wa Shinyanga. 
Miongoni mwa kero zilizotawala mkutano huo ni kero ya bei ya maji kubwa,migogoro ya ardhi,jeshi la polisi kudaiwa kuwaonea waendesha bodaboda kwa kuwachapa viboko na uwepo wa mitaro...

 

2 years ago

Malunde

Picha: MBUNGE WA JIMBO LA SHINYANGA MJINI STEPHEN MASELE AMALIZA ZIARA JIMBONI,WANANCHI WALIA NJAA


Mbunge wa jimbo la Shinyanga Mjini mheshimiwa Stephen Masele kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) amemaliza kufanya ziara yake ya siku tatu katika jimbo la Shinyanga.

Katika ziara hiyo ya kikazi iliyoanza Februari 15,2017 kumalizika Februari 17,2017 ,Mheshimiwa Masele amekagua miradi ya maendeleo na kufanya vikao na wananchi wa kata 14 kisha kujadili na kuzitafutia ufumbuzi kero za wananchi.
Katika maeneo mengi aliyopita,Mheshimiwa Masele amekutana na kilio kikubwa cha tatizo la njaa...

 

1 year ago

Malunde

KAMPENI MENEJA WA KATAMBI,MWENYEKITI WA BAVICHA SHINYANGA MJINI AANIKA SIRI ZA KATAMBI KUHAMIA CCM..MSIKILIZE HAPA


Mwenyekiti wa Baraza la Vijana Chadema wilaya ya Shinyanga Mjini Samson Ng’wagi amefichua siri ya harakati za aliyekuwa Mwenyekiti wa BAVICHA taifa Patrobas Katambi aliyejiondoa CHADEMA na kuhamia CCM mapema wiki hii huku akiwaomba viongozi wa CHADEMA taifa wasishughulike na Katambi wamwachie yeye kuwa ni saizi yake.

Ng’wagi ambaye alikuwa Kampeni Meneja wa Patrobas Katambi wakati akigombea ubunge jimbo la Shinyanga Mjini katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015,amesema kuhama kwa Katambi...

 

2 years ago

Michuzi

MBUNGE WA JIMBO LA SHINYANGA MJINI STEPHEN MASELE AMALIZA ZIARA JIMBONI MWAKE,ASIKILIZA MATATIZO YA WANANCHI

Mbunge wa jimbo la Shinyanga Mjini mheshimiwa Stephen Masele kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) amemaliza kufanya ziara yake ya siku tatu katika jimbo la Shinyanga.
Katika ziara hiyo ya kikazi iliyoanza Februari 15,2017 kumalizika Februari 17,2017 ,Mheshimiwa Masele amekagua miradi ya maendeleo na kufanya vikao na wananchi wa kata 14 kisha kujadili na kuzitafutia ufumbuzi kero za wananchi. 
Katika maeneo mengi aliyopita,Mheshimiwa Masele amekutana na kilio kikubwa cha tatizo la njaa...

 

2 years ago

Michuzi

RC SHINYANGA AFANYA MKUTANO WA HADHARA KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI MJINI SHINYANGA

Jumatatu Agosti 21, 2017, Mkuu wa mkoa wa Shinyanga, Zainab Telack (aliyesimama pichani) alifanya mkutano wa hadhara katika viwanja vya Zimamoto karibu na soko la Nguzo Nane Mjini Shinyanga kusikiliza kero za wananchi. 
Mkuu huyo wa mkoa wa Shinyanga aliyekuwa ameambatana na kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa,na watumishi mbalimbali wa serikali alisikiliza kisha kujibu kero za wananchi huku pia akitoa nafasi kwa watumishi kutoka idara mbalimbali kujibu hoja na kero za wananchi. 
Miongoni mwa...

 

1 year ago

Michuzi

Serikali yatoa Msimamo wake kwa Klabu ya Simba kuhusu suala la uwekezaji

Na Anitha Jonas – WHUSM
Serikali imetoa msisitizo kwa Klabu ya Mchezo ya Simba kuzingatia sheria na kanuni zinayosimamia suala la uwekezaji kwa Klabu zilizoanzishwa na wanachama ambapo wanachama wanachukua 51% na mwekezaji anachukua 49%.
Msisitizo huo umetolewa leo jijini Dar es Salaam na Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt.Harrison Mwakyembe alipokutana na uongozi wa Klabu ya Simba na kuzungumza nao kufuatia kutoa asilimia 50% kwa mwekezaji wa klabu hiyo Bw.Mohamed Dewji...

 

3 years ago

Michuzi

Mbunge Mteule wa jimbo la Mafinga Mjini Cosato Chumi ashukuru wananchi kwa kumchagua


Mbunge Mteule wa jimbo la Mafinga Mjini Ndugu Cosato Chumi akiwa amebebwa na wananchi wa Kijiji cha Isalavanu wakati wa ziara yake ya kuwashukuru wananchi kwa kumpa kura za wingi.Ndugu Chumi ametembelea jumla ya Vijiji 15  kwa muda wa siku mbili katika kata za Bumilayinga, Sao Hill, Isalavanu na Rungemba. Baada ya kuapishwa ataendelea katika kata zilizosalia ambazo ziko katikati ya Mji wa Mafinga. Mhe. Chumi  amesema yeye sasa ni mbunge wa wote waliompa kura na hata ambao hawakumpa kura,...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani