Msisubiri Muda wa Kuchukua Leseni Kuisha - Dkt. Abbasi

 Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akielezea jambo wakati wa zoezi la kukabidhi Leseni za machapisho kwa Kampuni ya The Guardian Ltd leo Jijini Dar es Salaam ikiwa ni muendelezo wa utekelezaji wa matakwa ya sheria ya Huduma za Habari ya mwaka 2016 kifungu kidogo namba 5(e). Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi anayeshugulikia Usajili Patrick Kipangula na kulia ni Mhariri Mkuu wa The Guardian Ltd Jesse Kwayu. Kampuni hiyo inamiliki magazeti...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

8 months ago

BBCSwahili

Muda wa kiongozi wa Catalonia kutangaza msimamo waelekea kuisha

Kiongozi wa eneo la Catalonia amesalia na saa chache kabla ya kumalizika muda wa mwisho uliowekwa na serikali kuu kuthibitisha wazi ikiwa ametangaza uhuru au la.

 

11 months ago

Michuzi

Uchumi wa Tanzania Waendelea Kuimarika-Dkt. Abbasi


By Bushiri Matenda-MAELEZO
Licha ya kuyumba kwa uchumi na kuongezeka kwa mfumuko wa bei duniani, Tanzania imeendelea kuongoza kwa ukuaji wa uchumi miongoni mwa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki ambapo takwimu za Benki Kuu ya Tanzania (BOT) na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) zimetaja uchumi wa Tanzania kuwa imara.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi alibainisha hayo wakati akitoa ufafanuzi kwa Waandishi wa Habari leo Jijini Dar es...

 

11 months ago

Michuzi

3 months ago

Michuzi

ALICHOKISEMA DKT. ABBASI KWA WAANDISHI WA HABARI CHIPUKIZI WALIONELEWA NA TMF

Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO.
Waandishi wa Habari nchini wametakiwa kufanya utafiti wa taarifa wanazozitengeneza kabla hawajazitoa kwa jamii kupitia vyombo vya habari.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi ametoa rai hiyo leo jijini Dar es Salaam alipokuwa akifunga mafunzo ya Waandishi wa Habari za maendeleo yaliyotolewa na Wakfu wa Tasnia ya Habari Tanzania (TMF) juu ya usalama barabarani pamoja na masuala ya maendeleo.
Dkt. Abbasi amesema kuwa...

 

1 year ago

Michuzi

DKT ABBASI: MAAFISA HABARI HARAKISHENI KUTOA TAARIFA ZA SERIKALI KWA UMMA

MAAFISA Habari na Mawasiliano Serikalini wametakiwa kutoa taarifa kwa haraka zaidi kwa kutumia njia za kisasa za mawasiliano ikiwemo tovuti na mitandao ya kijamii ili kusaidia kutangaza Mafanikio ya Serikali katika maeneo yao ya kazi.
Hayo yamesemwa jana Mkoani Dodoma na Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi, alipokuwa akizungumza na maafisa habari na TEHAMA katika mafunzo elekezi ya uwekaji wa taarifa katika tovuti yanayofadhiliwa na Shirika...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani