Msuva Aanza Hesabu za Kusepa Yanga SC

STORI: Wilbert Molandi | CHAMPIONI JUMATATU| Dar es Salaam

WINGA machachari na tegemeo wa Yanga, Simon Msuva, amesema ana maisha mafupi ya kuendelea kuwepo katika timu hiyo huku akiendelea kuweka mipango yake ya kuondoka Jangwani. Kauli hiyo, aliitoa mara baada ya mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kumalizika kati ya Yanga na Zanaco ya Zambia iliyochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam na matokeo kumalizika kwa sare ya bao 1-1.

Nyota huyo, hadi hivi sasa amebakiza mkataba wa mwaka...

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Mwanaspoti

Hesabu zimeshakataa Msuva kufauata nyayo za samatta

NILIKUWA napitia tena tarehe za kuzaliwa wachezaji wetu. Nikapitia jina la Simon Msuva. Ndiye mchezaji anayeibeba Yanga kwa sasa. Alizaliwa Oktoba 2, 1993. Kwa sasa ana umri wa miaka 23. Ukisikia kuna sherehe nyingine ya kuzaliwa kwa Msuva basi atakuwa ametimiza miaka 24.

 

3 years ago

Global Publishers

Yanga kusepa zao kesho kwa dege la Wasauz

cercle-yangaWachezaji wa Yanga wakishangilia.

Mwandishi Wetu, Dar es Salaam

KIKOSI cha Yanga kitaondoka nchini kesho kwenda Angola tayari kwa mechi yao ya marudiano ya kufuzu makundi Kombe la Shirikisho Afrika  dhidi ya Sagrada Esperanca itakayochezwa Jumatano ijayo.

Yanga imepanga kuondoka na ndege ya Shirika la Ndege la South African Airlines na watapitia Johannesburg, Afrika Kusini kisha kwenda Mjini Mkuu wa Angola, Luanda.

Kwa mujibu wa habari kutoka ndani ya Yanga, ikiwa Luanda, timu hiyo itakodi...

 

5 years ago

Mwananchi

Ridhiwani Kikwete aanza kupiga hesabu za bungeni

 Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM, Ridhiwani Kikwete ameanza kujinadi akisema endapo ataingia bungeni, atawaelimisha wabunge juu ya kuweka mbele maslahi ya Watanzania badala ya kulalamikia posho.

 

4 years ago

Vijimambo

Yanga wamchanganya Msuva


Straika wa Yanga, Simon Msuva, akiwa na zawadi yake ya mchele aliyopewa na shabiki wa timu yake kutokana na jitihada zake anazofanya uwanjani. 
Msuva ambaye ni kinara wa mabao kwenye safu ya ufungaji bora baada ya kufunga 13, alizawadiwa kilo 30 za mchele wa Mbeya baada ya mechi yao na Mbeya City waliyoshinda 3-1 kumalizika. Zawadi hiyo imetolewa na shabiki maarufu wa Yanga, Ally Yanga.MASHABIKI wa soka wanamchanganya mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva lakini mwenyewe akasema kuwa...

 

2 years ago

Mwanaspoti

Yanga yamwandaa Msuva

WINGA wa Yanga, Simon Msuva sasa anatengenezewa nafasi ya kuwa Mfungaji Bora ambapo wachezaji wenzake wamekuwa wakimwachia nafasi ya kupiga mipira ya penalti ili kujiongezea idadi ya mabao ambapo sasa anaongoza kwa bao 12.

 

2 years ago

Habarileo

Msuva awaangukia Yanga

MCHEZAJI wa mabingwa watetezi wa Ligi Kuu, Yanga, Simon Msuva ameomba radhi mashabiki na wanachama wa timu hiyo kwa kukosa penalti dhidi ya Mtibwa juzi na kusema tukio hilo halitajirudia tena.

 

2 years ago

Habarileo

Yanga hesabu kali

KOCHA msaidizi wa Yanga, Juma Mwambusi amesema baada ya kufuzu hatua ya robo fainali ya michuano ya kombe la Shirikisho ‘FA’, sasa nguvu zote wanazielekeza kwa Zanaco ya Zambia.

 

3 years ago

Mwananchi

Kiwango champoteza Msuva Yanga

Ni nini kinachomsumbua Simon Msuva? Hili ni swali ambalo wadau wa soka nchini wanajiuliza.

 

4 years ago

Mtanzania

Pluijm ambakisha Msuva Yanga

NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
KOCHA Mkuu wa timu ya Yanga, Hans van Pluijm, amembakisha winga Simon Msuva kwenye timu hiyo kwa mwaka mmoja zaidi, ili kumtengeneza vyema kabla ya kutimkia Afrika Kusini.
Wiki iliyopita Msuva alikwenda kufanya majaribio katika timu ya Bidvest Wits ya Afrika Kusini, ambapo baada ya kurejea nchini ilielezwa amefaulu majaribio hayo.
Pluijm, aliyeongozana na Meneja wa timu hiyo, Hafidh Saleh, walifanya ziara maalumu kwenye Ofisi za Kampuni ya New Habari...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani