Mtaalamu bingwa wa afya ya akili kutoka Tanzania kutuzwa Marekani

Mtaalam bingwa wa kukabiliana na matatizo ya kiakili na mtafiti kutoka Tanzania Profesa Sylvia Kaaya ni miongoni mwa watu sita ambao watatuzwa shahada ya heshima na chuo cha Marekani cha Dartmouth.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

AFISI YA AFYA WILAYA YA MJINI UNGUJA IKISHIRIKIANA NA MADAKTARI BINGWA KUTOKA CHINA WATOA HUDUMA KATIKA SIKU YA AFYA YA KIJIJI

Daktari bingwa wa pua na masikio kutoka China Dk. Fei Jie, akimfanyia uchunguzi wa pua Bi. Amina Himid katika siku ya Afya ya kijiji iliyofanyika Skuli ya Kwamtipura.  Wananchi waliojitikeza kupatiwa huduma katika siku ya Afya ya Kijiji huko Skuli ya Kwamtipura.Watoto wakinywa Uji mara baada ya kupatiwa huduma za afya. Wananchi waliojitikeza kupatiwa huduma katika siku ya Afya ya Kijiji huko Skuli ya Kwamtipura.Daktari bingwa kutoka Jamhuri ya Watu wa China Dk. Gao, akimpima kifua mtoto...

 

5 years ago

Mwananchi

Dk Mndeme: Mtaalamu wa magonjwa ya akili aliyenusurika kupigwa risasi na mgonjwa ‘aliyemtibu’

Changamoto ni sehemu ya maisha ambayo watu wengi hupitia. Hatua hiyo huweza kumjenga mtu na kumfanya aimarike zaidi maishani.

 

3 years ago

Michuzi

MAADHIMISHO YA KITAIFA YA AFYA YA AKILI TANZANIA YATAJWA KUWA NA WAGONJWA LAKI 4.5

Watanzania wameungana na wenzao duniani kote kuadhimisha siku ya Afya ya Akili duniani huku Tanzania ikitajwa kuwepo kwa zaidi ya wagonjwa laki nne na nusu wanaougua maradhi hayo nchini. 
Aidha mkoa wa Dar es salaam ndio unaongoza kwa kuwa na wagonjwa ambapo sababu kubwa inatajwa kuwa ni matumizi ya kupindukia ya madawa ya kulevya ikiwa ni pamoja na Bangi. Kadhalika, mkoa wa Dodoma watu 12 wanapokelewa kila siku katika hospitali ya rufaa ya wagonjwa wa akili ya Mirembe kutokana na...

 

4 years ago

Habarileo

Mtaalamu wa mifupa kutoka India kutua Dar

MTAALAMU wa viungo na mifupa kutoka India Dk Shrirang Deodhar anatarajiwa kuwasili nchini kesho Jumamosi kwa ajili ya kuwafanyia uchunguzi na matibabu watu wanaosumbuliwa na maradhi hayo.

 

3 years ago

Michuzi

baadhi ya Madaktari Bingwa watakaowasili Tanzania Nov 11 kutoka Saudi ArabiaBalozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia, Mheshimiwa Hemed Mgaza kushoto, akishuhudia Viongozi wa Madaktari Bingwa wa Jumuiya ya WAMY nchini hapa wakisoma ramani ya Tanzania katika ofisi za Ubalozi wa Tanzania mjini Riyadh, ili kuifahamu vizuri Tanzania na maeneo watakayofikia katika msafara wao wa kwenda Visiwani Zanzibar kwa ajili ya kutoa huduma za afya bure kwa siku 10 kwenye Hospitali za Chake Chake na Wete. Picha na Mpiga Picha Wetu, Riyadh.
Balozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia...

 

4 years ago

Michuzi

Wadau wa Sekta ya Afya kutoka Tanzania Washiriki Maonyesho ya Sekta ya Afya jijini Istanbul -Uturuki. Dec 2014.

Washiriki Kumi na Wanne (14) kutoka Tanzania wajumuika na wenzao 20 kutoka nchi mbalimbali za Afrika katika Maonyesho ya Pili Sekta ya Afya chini Uturuki. Maonyesho hayo hufanyika kila mwaka na kwa lengo la kuendeleza mahusiano na ushirikiano katika kuboresha Sekta ya Afya kwa nchi husika. Maonyesho ya Mwaka huu yalikuwa na washiriki kutoka nchi 60 duniani kote.  Kwa upande wa Afrika mkutano huu ulioratibiwa na kusimamiwa na kampuni ya kuendeleza mahusiano ya maendeleo na biashara kati ya...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Wanafunzi wauguzi kutoka chuo cha Wright Marekani watembelea Skuli ya Afya na Sayansi za Tiba ya SUZA Mbweni

Wanafunzi wauguzi kutoka Chuo Kikuu cha Wright na SUZA wakiwa katika darasa la kufanyia mazoezi ya vitendo wakielekezana namna ya kumuhudumia mgonjwa alielezwa wodini.Mwanafunzi Muuguzi kutoka Chuo Kikuu cha Wright nchini Marekani Melissa Vanscoy akieleza lengo la ziara yao hapa Zanzibar wakati wanafunzi wa vyuo hivyo viwili walipokutana katika Skuli ya Afya na Sayansi za Tiba ya SUZA Mbweni.Kaimu Mkuu wa Skuli ya Afya na Sayansi za Tiba wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Amina...

 

5 years ago

Michuzi

MTAALAMU WA NYASI BANDIA KUTOKA FIFA ATUA BUKOBA LEO, APIMA UWANJA WA KAITABA

Na Faustine Ruta, Bukoba Mtaalamu wa nyasi bandia kutoka Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA), Ian McClements amewasili Bukoba leo hii Asubuhi kwa Ndege ya kukodi.  McClements akiwa hapa Bukoba amekagua Uwanja wa Kaitaba, na baadae amekwea tena ndege yake kuelekea  jijini Mwanza kukagua Uwanja wa Nyamagana. Dr. Ian McClements akiteta jambo na Jumanne Chama Umande ambaye ni Katibu wa KRFA kwenye Uwanja wa Kaitaba leo hii. Viwanja hivi vinawekwa nyasi bandia kwa ufadhili wa FIFA...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani