Mtalii anasa kwenye miamba Mlima K’njaro

Mtalii mmoja raia wa Ujerumani, Jeane Traska (32) amenasa katika miamba ya kilele cha Mawenzi cha Mlima Kilimanjaro baada ya kwenda kinyemela eneo hilo ambalo haliruhusiwi kupandwa na watalii isipokuwa kwa ruhusa maalumu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Mwananchi

Mtalii afariki dunia akipanda mlima

Moshi. Raia wa Norway, Johan Signmundstad (54) amefariki dunia wakati akipanda Mlima Kilimanjaro.

 

4 years ago

Mwananchi

Mabalozi tisa wafika kileleni Mlima K’njaro

Mabalozi tisa kati ya 16 wa Tanzania waliopanda Mlima Kilimanjaro, wamefanikiwa kufika kileleni na kuweka historia ya kundi kubwa la mabalozi kufikia mafanikio hayo.

 

5 years ago

Mwananchi

Watoa mizinga ya nyuki kuokoa Mlima K’njaro

Katika harakati za kulinda msitu wa Mlima Kilimanjaro na kuokoa theluji yake, Shirika la Kuhifadhi Mazingira (Teaca), limetoa msaada wa mizinga ya nyuki katika vijiji vinavyozunguka mlima huo ili kuwapatia wananchi ajira mbadala na kuachana na tabia ya uharibifu wa misitu.

 

5 years ago

GPL

MTALII KUTOKA UJERUMANI AKWAMA KILELE CHA MAWENZI MLIMA KILIMANJARO

Mlima Kilimanjaro. Mtalii kutoka nchini Ujerumani anayefahamika kwa jina la Bi. Jeanne Traska (32) akiwa na muongoza wageni Athuman Juma leo majira ya saa mbili na nusu asubui wamekwama katika kilele cha Mawenzi Mlimani Kilimanjaro kwa kamba iliyonasa na kuwafanya wasiweze kushuka chini wala kwenda juu. Bi. Jeanne na Athuman Juma walianza kupanda mlima kupitia Kampuni ya Nordic Tours tarehe 18.3.2014 kwa kutumia njia ya Rongai -...

 

1 year ago

BBCSwahili

Makanisa yaliyochongwa kwenye miamba Ethiopia

Eneo la Lalibela kaskazini mwa Ethiopia kuna makanisa ya kale na ya kuvutia ambayo yalijengwa mwishoni mwa karne ya 12.

 

3 years ago

Global Publishers

Njemba anasa kwenye dari akidaiwa kuiba

Mwizi (1) Njemba huyo akiwa juu ya paa.

Na Francis Godwin,

Risasi Jumamosi

IRINGA: NJEMBA mmoja ambaye jina lake limehifadhiwa kwa sababu za kiuchunguzi, amenaswa juu ya paa la duka la kuuza simu mjini hapa akidaiwa kutaka kuiba.

Tukio hilo lilitokea Jumatano iliyopita, majira ya saa 1 asubuhi baada ya wasafiri wa stendi ya mabasi yaendayo mikoani kushtushwa na sauti ya jamaa huyo aliyekuwa akiomba kuokolewa.

Mwizi (2)Akielezea tukio hilo, mmoja wa mashuhuda, Juma Ally, alisema akiwa anapita eneo hilo...

 

3 years ago

GPL

YALIYOMO KWENYE GAZETI LA IJUMAA: JOKATE ANASA UJAUZITO!

Wakati Wema akihaha kusaka mtoto, Jokate anasa ujauzito! -Ashindwa kuhudhuria pati ya Wema -Unataka kumjua mwenye ‘mzigo’ huo? -Jokate anena na mazito na Ijumaa. Zari ammaindi mrembo aliyejichora tatuu ya Diamond -Je, unataka kumjua mrembo huyo ni nani? -Unataka kufahamu undani wake? Mme wa mtu afanya mambo ya aibu -Je, unataka kujua alichokifanya mbaba huyu, wapi na ilikuwaje? Dada wa Diamond afanyiwa kitu mbaya usiku -Ni Queen...

 

2 years ago

Mwananchi

Mikopo ya wanawake hutumiwa na waume zao kwenye anasa

Matokeo ya utafiti wa kuangalia changamoto za ufanyaji biashara kwa mwanamke Tanzania umebaini kuwa wanaume hutumia mikopo ya wake zao kwa matumizi mingine ikiwamo anasa na pombe.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani