MTANANGE WA YANGA NA SIMBA NGOMA BADO NGUMU MPAKA SASA

Kiungo wa Yanga Haruna Niyonzima akiwania mpira wa mshambuliaji wa Yanga Donald ngoma katika mchezo wa ufunguzi wa Ligi Ngao ya Jamii unaoendelea hivi Uwanja wa Taifa.Kiungo wa Yanga Rafael Daud akimruka beki wa Simba Method Mwanjali katika mchezo wa ufunguzi wa Ligi Ngao ya Jamii unaoendelea hivi sasa Uwanja wa TaifaBeki wa kati wa Yanga Kelvin Yondani na mshabuliaji wa Simba Laudit Mavugo wakigombania mpira katika mchezo wa ufunguzi wa ligi wa Ngao ya Jamii unaoendelea hivi sasa Uwanja wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Michuzi

YANGA NA TP MAZEMBE BADO NGOMA NZITO UWANJA WA TAIFA HIVI SASA

 Mshambuliaji wa timu ya Yanga,Obrey Chirwa akiichambua ngome ya timu ya TP Mazembe, katika mtanange unaopigwa hivi sasa kwenye dimba la Taifa (Uwanja wa Taifa) Jijini Dar es salaam, ikiwa ni Mchezo wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika, kipindi cha pili kimeanza hivi punde na hakuna timu iliweza kuona lango la mwingine huku mchezo ukiwa ni wa kazi na wakuvutia.Mshambuliaji wa Timu ya TP Mazembe, Mtanzania Thomas Ulimwengu akichuana vikali na Beki wa Yanga, Kelvin Yondani, katika Mchezo wa...

 

5 years ago

Michuzi

Mtanange wa Simba na JKT Ruvu Uwanja wa Taifa hivi sasa: Simba washalala kwa bao 2 - 0

Mchezaji wa Timu ya JKT Ruvu,Emmanuel Switta akimpeleka markiti Golikipa wa timu ya Simba, Yaw Berko kwa mkwaju mkali wa Penati na kuiandikia timu yake bao la pili katika Mchezo wa Ligi kuu Tanzania bara,unaoendelea hivi sasa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.hadi mapumziko Simba wamelala kwa Bao 2 - 0.kipindi cha pili kimeanza hivi punde na tutaendelea kujuzana kinachojili.
Wachezaji wa timu ya JKT Ruvu wakishangilia mara baada ya kuitandika Simba bao la pili.

 

5 years ago

Michuzi

MTANANGE WA YANGA NA MBEYA CITY UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR HIVI SASA,YANGA YAONGOZA KWA BAO 1-0

 Mshambuliaji machachari wa timu ya Yanga,Mrisho Ngassa (17) akichuana vikali kuwania mpira na Beki wa Timu ya Mbeya City,Deogratias Julius wakati wa mtanange wao wa Ligi kuu Tanzania Bara unaoendelea kufanika hivi sasa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Dakika 45 za kipindi cha kwanza zimemalizika hivi punde na Yanga wanaongoza kwa Bao 1-0 lililotiwa kimiani na Mrisho Ngassa,dakika ya 15 ya mchezo kipindi cha kwanza.  Beki wa Timu ya Mbeya City,Deogratias Julius akijiandaa...

 

5 years ago

Michuzi

MTANANGE WA YANGA NA KOMOROZINE YA NCHINI COMORO UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR HIVI SASA,YANGA YAONGOZA KWA BAO 2-0

 Mshambuliaji wa Pembeni wa Timu ya Yanga,Simon Msuva (27) akiwatoka mabeki wa timu ya Komorozine ya nchini Comoro wakati wa mchezo wao wa Klabu Bingwa Barani Afrika unaoendelea kuchezwa hivi sasa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Yanga inaongoza kwa Bao 2-0.  Mshambuliaji wa Pembeni wa Timu ya Yanga,Simon Msuva (27) akichuana vikali na Beki wa Timu ya Komorozine ya nchini Comoro,Ahmad Houmadi (5) wakati wa mchezo wao wa Klabu Bingwa Barani Afrika unaoendelea kuchezwa hivi sasa...

 

1 year ago

Michuzi

Taifa Stars na DR Congo ngoma bado mbichi, mtanange unaendelea Taifa

Mchezo wa kirafiki wa kimataifa wa kalenda ya FIFA baina ya Taifa Stars na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo umeanza katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.
Kipindi cha pili kimeanza matokeo bado 0-0.

Mashabiki wa Taifa Stars wakionesha Uzalendo ndani ya Uwanja wa Taifa. Simon Msuva akipambana na Glody Ngoda katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa unaoendelea Jijini Dar es Salaam. Kikosi cha Taifa StarsKikosi cha DR Congo.

 

4 years ago

Michuzi

TAIFA STARS BADO NGOMA NGUMU COSAFA, YAPOTEZA MCHEZO WA PILI KWA KUPIGWA 2-0 NA MADAGASCER

Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) jana imepoteza mchezo wa pili mfululizo katika michuano ya kombe la Cosafa, baada ya kufungwa mabao 2 - 0 na Madagascar, mchezo uliofanyika katika uwanja wa Royal Bafokeng jijini Rustenburg.
Kwa Taifa Stars kupoteza mchezo huo, moja kwa moja inakua imeaga michuano katika hatua ya makundi, kutokana na kubakisha mchezo mmoja tu wa kukamilisha ratiba dhidi ya Lesotho utakaochezwa kesho ijumaa katika uwanja wa Moruleng.Katika mchezo huo wa jana, Taifa Stars...

 

5 years ago

Tanzania Daima

Yanga: Kazi bado ngumu

KOCHA Mkuu wa Yanga, Hans van Pluijm, amekiri Ligi Kuu ni ngumu na kwamba hadi sasa hakuna timu ambayo imejihakikishia kutwaa ubingwa wa ligi hiyo inayofikia tamati Aprili 19. Yanga...

 

5 years ago

Vijimambo

MTANANGE WA YANGA NA SIMBA VIKOSI VYATAJWA

KIKOSI CHA YANGA
Deogratius Munisi "Dida" Juma Abdul, Oscar Joshua, Nadir Haroub "Cannavaro" Kelvin Yondani, Mbuyu Twite, Hassan Dilunga, Haruna Niyonzima, Genilson Santos "Jaja", Mrisho Ngasa, Andrey Coutinho.


BENCHI LA AKIBA
Juma Kaseja, Salum Telela, Rajab Zahir, Nizar Khalfan, Simon Msuva, Hamis Kiiza na Jerson Tegete.


KIKOSI CHA SIMBA
Manyika Peter, William Lucian, Mohamed Husseni, Hassan Shaka, Joseph Owino, Jonas Mkude, Haruna Chanongo, Said Ndemla, Elias Maguri, Amri Kiemba na Emanueli Okwi

 

4 years ago

Michuzi

MTANANGE WA SIMBA NA JKT RUVU UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR HIVI SASA

 Beki wa timu ya Simba,Hassan Isihaka (26) akiangalia namna ya kumzuia Mshambuliaji wa Timu ya JKT Ruvu,Jabir Aziz katika mtanange wa Ligi Kuu Tanzania Bara,unaopigwa hivi sasa kwenye Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.Simba inaomgoza kwa Bao 2-1. Nyanda wa Timu ya Simba,Ivo Mapunda akiwania mpira wa juu na Mshambuliaji wa timu ya JKT Ruvu,Samuel Kamuntu katika mtanange wa Ligi Kuu Tanzania Bara,unaopigwa hivi sasa kwenye Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.Simba inaomgoza kwa Bao 2-1.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani