Mtangazaji wa mpira akasirika na kuondoka mechi ikiendelea

Mtangazaji mmoja wa mpira nchini Urusi alikasirishwa na refa aliyekuwa akisimamia mechi moja na kuondoka katikati ya mechi hiyo

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Global Publishers

Mashabiki ‘wamteka’ mwamuzi mechi ikiendelea

ndondo

Mohammed Mdose, Dar es Salaam

MASHABIKI wa timu ya Friends Rangers, jana Jumanne uvumilivu uliwashinda baada ya kuchukua maamuzi magumu ya ‘kumteka’ mwamuzi wa pembeni aliyekuwa akichezesha mchezo wao dhidi ya Misosi FC kwenye Uwanja wa Makurumla, Magomeni, Dar.

Mchezo huo wa hatua ya 32 Bora ya michuano ya Sports Extra Ndondo Cup, ulimalizika kwa Misosi kuibuka na ushindi wa bao 1-0 lilofungwa na Idd Selemani dakika ya 31.

Championi lililokuwepo uwanjani hapo, liliwashuhudia mashabiki hao...

 

11 months ago

MwanaHALISI

Mtangazaji mpira azua kioja uwanjani

KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida Mtangazaji wa mpira nchini Urusi ameondoka uwanjani kabla mchezo haujaisha na kuwaacha watazamaji wakiangalia mechi hiyo bila maelezo. Wakati wa mechi hiyo kati ya klabu ya Urusi ya Torpedo Vladmir dhidi ya Tekstilshchik Ivanovo kipa wa Ivanovo alimuangusha mshambuliaji wa upinzani kulingana na kanda za video. Wakati wa tukio hilo ...

 

2 years ago

Bongo5

TP Mazembe wameonesha wanaweza kucheza mechi na siyo mpira

Jana kwenye uwanja wa taifa ulifanyika mchezo wa kombe la shirikisho uliozikutanisha timu za kundi A kati ya Yanga (Tanzania) na TP Mazembe (DR Congo).

yatpmaze

Tanzania tumezidi kuonekana kutofanya vizuri kwenye michezo ya kimataifa baada ya timu ya Yanga kufungwa goli 1-0 hali inayozidi kuhatarisha nafasi ya Yanga kusonga mbele kwenye hatua zijazo kutokana na kila kundi zitachukuliwa timu mbili tu zilizofanya vizuri na ndiyo zitakazoendelea hatua inayofuata.

Mchezo wa mpira daima hauhitaji siasa...

 

2 years ago

Channelten

#VIDEO Yasikupite haya ya Wachezaji wacheleweshaji Mpira katika Mechi

westtime

Ni kawaida mengi hutokea wakati wa mechi katika Soka hili la Dunia lakini hili hukwaza na kuwafurahisha watu hasa pale timu fulani ikiwa inajigamba ushindi wa mabao katika mechi husika ni pale wachezaji wanapoamua kuchelewesha muda kwa makusudi kwa lengo la muda wa mchezo kuisha.

Tazama hapa video chini baadhi ya Wachezaji wacheleweshaji muda mchezoni…

By Clement Silla

 

 

3 years ago

MillardAyo

Dakika 7 za kuenjoy na mbwembwe za wanyama waliovamia katikati ya mechi za mpira.. (+Video)

Kama ambavyo niliwahi kukusogezea video ya jamaa ambao waliwahi kupenya na kuvamia katikati ya mechi kwenye viwanja vya mpira, time hii nina mzigo wa wanyama. Pata picha ile ghafla tu jogoo, mbwa, paka anakatisha uwanjani na mechi inaendelea !! Wanyama wengine ni wakali kabisa na wanang’ata kabisa wakikamatwa wakati wao ndio waliovamia uwanja wa watu… […]

The post Dakika 7 za kuenjoy na mbwembwe za wanyama waliovamia katikati ya mechi za mpira.. (+Video) appeared first on...

 

2 years ago

Michuzi

TIMU TATU ZA TAIFA ZA MPIRA WA MIGUU KWENDA NJE KWA MECHI MBALIMBALI


TIMU ya Taifa ya Wanawake ya Tanzania ‘Twiga Stars’ inakwea pipa jioni ya leo kuelekea Yaoundé, Cameroon kwa ajili ya mchezo wa kirafiki wa kimataifa huku Vijana wa timu ya Taifa ya Serengeti Boys wakitarajiwa kuondoka kesho Novemba 9, 2016 kwenda Korea Kusini, kupitia Dubai, Falme za Kiarabu.
Twiga Stars imeondoka na nyota 17 na viongozi sita, kikosi hicho kinaundwa na wachezaji wa timu ya taifa ya Wanawake ya Tanzania Bara yaani Kilimanjaro Queens na ina rekodi nzuri ya kuwa kinara wa...

 

5 years ago

Michuzi

MAZUNGUMZO KUHUSU MECHI YA MPIRA WA MIGUU KATI YA TWIGA STARS NA TIMU YA TAIFA YA ZAMBIA

 Pichani Balozi Grace MUJUMA  na maafisa wa Ubalozi Mr Jeswald Majuva na Mr Mogosi Munata wakizungumza na viongozi wa timu ya Twiga Stars Bw Ahmed Mgoyi kiongozi wa Msafara na Bw Boniface Wambura walipofika kwenye Ofisi Za Ubalozi wa TANZANIA Lusaka Zambia kabla ya pambano la mpira litakalofanyika Leo Ijumaa tarehe 14.2.2014 kwenye Uwanja wa Nkoloma uliopo jijini Lusaka.mpambano huo unategemewa kuwa mkali kwani pande zote zimeonyesha nia ya kuibuka na ushindi.

 

3 years ago

Bongo5

Jurgen Klopp asikitishwa na mashabiki Liverpool kuondoka uwanjani kabla ya mechi kumalizika

article-3309492-2E42F33300000578-88_964x406

Kocha Jurgen Klopp baada ya kopoteza mechi yake ya kwanza baada ya kuchukua mikoba ya Brendan Rogders baada kufungwa na timu ya Crystal Palace mashabiki wa Liverpool waliamua kuondoka uwanjani na walimuacha peke yake kocha Jurgen Klopp mara baada ya mlinzi wa Crystal Palace, Scot Danny kufunga goli la ushindi katika dakika ya 82 ya mchezo na kufanya matokeo kuwa 2-1.

article-3309492-2E42F33300000578-88_964x406

Akiongelea tukio hilo baada ya mchezo huo kumalizika, kocha huyo raia wa Ujerumani alisema amesikitishwa sana na kitendo...

 

3 years ago

MillardAyo

Matukio 10 hatari ambayo huwezi kuyaangalia mara mbili katika mechi ya mpira wa miguu (+Video& +18)

Soka imekuwa kama burudani nyingine ya kawaida kwa watu wa rika zote, siku hizi ni kawaida kuona mtu anapanga ratiba yake ya siku lakini usishangae kumuona katenga muda wa kwenda kuangalia mpira katika ratiba zake, licha ya kuwa ndio mchezo wenye mashabiki wengi duniani au ndio mchezo maarufu zaidi. Kuna baadhi ya matukio huwezi kutamani […]

The post Matukio 10 hatari ambayo huwezi kuyaangalia mara mbili katika mechi ya mpira wa miguu (+Video& +18) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani