MTANZANIA AMUANDIKIA SAMATTA KITABU.

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.
Mtanzania Peter .W. Ching'ole ambaye ni mwanazuoni na mtafiti wa masuala mbalimbali ya kijamii akiwa amehitimu shahada ya uzamili (Master's Degree) amemuandikia kitabu cha maisha ya soka ya mchezaji wa kimataifa anayekipiga nchini Ubelgiji Mbwana Samatta.
Ching'ole ameandika kitabu hicho kikiwa kinaelezewa maisha ya Samatta toka kuanza kwake kujihusisha na mpira mpaka hapa alipo sasa hivi akisaidiwa na kupata taarifa mbalimbali kutoka kwa mzazi wake Ally...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 months ago

Michuzi

Mtanzania Afundishaye ki-Swahili Marekani Akifurahia Kitabu Posted: 15 May 2018 03:58 PM PDT

Na Profesa Mbele Mimi kama mwandishi ninathamini maoni ya wasomaji juu ya maandishi yangu. Msomaji anapokuwa ametumia muda wake kusoma na kutafakari nilichoandika, halafu akatumia muda wake kuandika maoni, kwangu si jambo dogo. Ninashukuru. Katika blogu hii nina jadi ya kuwatambua wadau hao.Hivi karibuni, nimeona andiko la Filipo Lubua (pichani chini) katika ukurasa wake wa facebook kuhusu kitabu changu Africans and Americans: Embracing Cultural Differences. Huyu anafundisha ki-Swahili...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Samatta apewa zawadi ya kitabu cha maisha ya soka ya Andrea Pirlo siku yake ya kuzaliwa

Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga Krc Genk ya Ubelgiji jana alisheherekea siku yake ya kuzaliwa. Mshambuliaji huyo maarufu kwa jina la ‘samagoal’ alipewa zawadi nyingi lakini zawadi moja ilikuwa muhimu zaidi, zawadi hiyo ni kitabu cha maisha ya soka cha mchezaji soka Andrea Pirlo kijulikanacho kama ‘i think then i play’

Katika kitabu hicho Pirlo ameelezea masuala mbalimbali ya maisha yake ya kisoka , hii hapa ni nukuu ndogo ya moja ya aya katika kitabu hicho ,“Sikubali...

 

3 years ago

MillardAyo

Ushindi ni wa Mtanzania Mbwana Samatta Tuzo za mabingwa wa soka Afrika

Usiku wa kuamkia January 08 2016 najua kuna Watanzania ambao macho na masikio yao yalielekezwa Nigeria ambako zilikuwa zinatolewa Tuzo za wakali wa soka Afrika. Good news ni kwamba staa wa soka ambaye amekiongoza kikosi cha TP Mazembe kufanya vizuri michuano ya Afrika, Mtanzania Mbwana Samatta amefanikiwa kuibuka na ushindi wa Tuzo ya mchezaji bora wa […]

The post Ushindi ni wa Mtanzania Mbwana Samatta Tuzo za mabingwa wa soka Afrika appeared first on TZA_MillardAyo.

 

2 years ago

MillardAyo

KRC Genk inayochezewa na mtanzania Mbwana Samatta, imemfuta kazi kocha wake

screen-shot-2016-12-26-at-2-34-38-pm

Timu ya KRC Genk ya Ubelgiji leo kupitia tovuti rasmi ya timu hiyo imetangaza kusitisha mkataba na aliyekuwa kocha wake mkuu Peter Maes kutokana na kutoridhishwa na matokeo ya timu hiyo kwa mechi za hivi karibuni. Peter Maes anafutwa kazi ikiwa imebakia siku moja kabla ya KRC Genk kucheza mchezo wake wa Ligi Kuu Ubelgiji dhidi […]

The post KRC Genk inayochezewa na mtanzania Mbwana Samatta, imemfuta kazi kocha wake appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

Dewji Blog

Timu ya Mtanzania Mbwana Samatta nchini Ubelgiji yatoa neno kufuatia milipuko ya mabomu leo

Baada ya milipuko mitatu iliyotokea mapema leo Machi 22.2016 nchini Ubelgiji katika mji Mkuu wa nchi hiyo iliyotokea kwenye reli ya chini kwa chini, kituo cha treni cha Metro na uwanjwa wa ndege wa Brucesels huku watu zaidi ya 30 kulipotiwa kupoteza maisha na wengine kujeruhiwa, timu ya soka anayochezea Mtanzania Mbwana Samatta imetoa neno.

Kupitia ukurasa wa mtandao wa kijamii wa facebook wa klabu ya KRC Genk  uliweza kuandika maneno ya kuwatia moyo ndugu na jamaa waliopatwa na msukosuko...

 

3 years ago

MillardAyo

Good News kwa mtanzania Mbwana Samatta, msimu ujao 2016/2017 utamuona Europa League

yq2s

Wakati timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars ikicheza mechi ya kirafiki dhidi ya timu ya taifa ya Kenya bila ya nahodha wake Mbwana Samatta na kulazimishwa sare ya goli 1-1, Samatta allikuwa uwanjani nae akipambana kuhakikisha klabu yake ya KRC Genk inashiriki Europa League msimu wa 2016/2017. KRC Genk imefanikiwa rasmi kupata nafasi ya kucheza […]

The post Good News kwa mtanzania Mbwana Samatta, msimu ujao 2016/2017 utamuona Europa League appeared first on MillardAyo.Com.

 

4 years ago

StarTV

Umoja wa Vijana Geita wazindua kitabu maalumu je wajua kitabu gani?

Marafiki wa Magufuli Kanda ya Ziwa kupitia Umoja wa Vijana Mkoa wa Geita wamezindua kitabu maalum kiitwacho TINGATINGA ikiwa ni sehemu mojawapo ya kampeni ndani na nje ya mkoa huo kitakachomnadi mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi Dokta John Magufuli.

 Vijana hao wamesema kitabu cha TINGATINGA kitasaidia wananchi kumjua kiundani Dokta Magufuli kwa kuwa kitasambazwa mijini na vijijini wakiwa na imani kuwa watakaosoma na kukielewa kitabu hicho watafanya maamuzi sahihi kwa...

 

5 years ago

GPL

Rais Kikwete amuandikia barua Tenga

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete. Na Mwandishi Wetu
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, amemuandikia barua Rais Mstaafu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Leodegar Tenga, akimshukuru kwa mchango wake wa kuliendeleza soka la Tanzania. Katika barua yake hiyo, Rais Kikwete amemtaka  Tenga asichoke kutoa ushauri na uzoefu wake kila utakapohitajika katika shughuli...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani