MTEMVU; ALIFICHUA SIRI ZA MWALIMU NYERERE-8

Zuberi Mtemvu baada ya kuachana na Tanu alianza kuongoza African Congress na alikuwepo mtu anaitwa Mashado ambaye alikuwa akiongoza chama cha siasa chenye mrengo wa Kiislamu kiitwacho All Muslim National Union (AMNUT).  Hapa ningependa kueleza kuwa katika wanachama wa mwanzo katika Tanu alikuwa mzee Said Chamwenyewe. Huyu alikuwa mwanachama shupavu wa Tanu na alikuwa karibu sana na Mtemvu na Mwalimu Nyerere. Mtemvu alipohama...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Mwananchi

Mwalimu Nyerere na siri ya maendeleo ya Kiswahili nchini

Katika Afrika ya Mashariki, tangu enzi za ukoloni mpaka sasa, Kiswahili kinaonekana kutamalaki zaidi Tanzania kuliko nchi nyingine.

 

2 years ago

Bongo5

Nyerere Day: Mastaa wa muziki na filamu wamuenzi Mwalimu Nyerere kwa nukuu hizi

Leo watanzania wanaadhimisha miaka 17 toka Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere amefariki dunia. Alifariki tarehe 14 Oktoba, 1999 huko Uingereza alipokuwa kwenye matibabu.
17 Sep 1976, Dar es Salaam, Tanzania --- Pres. Julius K. Nyerere of Tanzania at news conference at State House in Dar es Salaam. --- Image by © Bettmann/CORBIS

Kitaifa maadhimisho haya yanaenda sambamba na uzimwaji wa Mwenge wa uhuru Mkoani Simiyu, ambapo mgeni rasmi ni Rais wa Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein Mkoani Simiyu.

Kwa upande wa staa wa muziki na filamu pamoja na wadau mbalimbali nchini, wameadhimisha siku hii kwa kuandika nukuu mbalimbali za Baba wa Taifa....

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Steve Nyerere alivyoigiza sauti ya Mwalimu Nyerere mbele ya Waziri mkuu Majaliwa

Ni time ya kukutana na Mchekeshaji Mtanzania Steve Nyerere ambaye tumekua tukimuona mara nyingi akisimama kuchekesha kwa kuigiza sauti za viongozi hasa Hayati Mwalimu Nyerere ambapo hii ilikua Dodoma, unaweza kumtazama kwenye hii video hapa chini VIDEO: Ulipitwa na hii ya Jamaa anaemuigilizia Mstaafu Jakaya Kikwete sauti? tazama kwenye hii video hapa chini

The post VIDEO: Steve Nyerere alivyoigiza sauti ya Mwalimu Nyerere mbele ya Waziri mkuu Majaliwa appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

Michuzi

BENKI YA BIASHARA YA MWALIMU, MCB YATOA SEMINA KWA WASHIRIKI WA KONGAMANO LA KISWAHILI, CHUO CHA KUMBKUMBU YA MWALIMU NYERERE JIJINI DAR ES SALAAM

 Naibu waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mh. Anastazia Wambura, akitoa hotuba ya ufunguzi wa chilumbo, (kongamano) la Kiswahili, lililofadhiliwa na benki ya MCB, na kufanyika chuo cha kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Kigamboni jijini Dar es Salaam. Washiriki wakiwa kwenye ukumbi wa Utamaduni palikofanyika chilumbo Naibu waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mh. Anastazia Wambura, (kushoto), akipena mikono na Meneja Masoko na Uhusiano wa MCB, Bi. Rahma Ngassa, mara baada...

 

3 years ago

Michuzi

HARUSI YA MTOTO WA MTEMVU, AMINA MTEMVU YAFANA UKUMBI WA DIAMOND JUBILEE JIJINI DAR ES SALAAM

Bwana Harusi Masoud Masoud akimwekea mkewake Amina Mtemvu mkono kichwani wakati wa harusi yao iliyofanyika  Ukumbi wa Diamond Jubilee VIP Holl.(PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Bwana Harusi Masoud MasoudBi harusi Amina Mtemvu akiwa katika tabasamu baada ya hafla ya harusi yake iliyofanyika katika Ukumbi wa Diamond Jubilee (VIP) Holl, Dar es Salaam   Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi akiagana na aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Temeke wakati wa hafla ya ya harusi ya Amina Mtemvu iliyofanyika Ukumbi wa...

 

4 years ago

Tanzania Daima

Tunakukumbuka Mwalimu Nyerere

LEO Tanzania inaadhimisha miaka 15 ya kifo cha Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere, aliyefarikidi dunia 14/10/1999 nchini Uingereza. Kwa namna ya pekee tunawatakia Watanzania wote maazimisho mema, lakini kubwa kuliko...

 

4 years ago

Tanzania Daima

Mwalimu Nyerere hatotoweka

KADI yangu ya chama cha TANU Na.C.875903 ya 20.04.1971, tawi la Bank-NBC- Dar es Salaam, na pia kumbukumbu yangu ya kuwa mwanachama wa kikundi cha ‘Tanu Youth League’ tokea 1968...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani