MTIBWA SUGAR YAFUNGUKA KUHUSU KUUZA MECHI ZAKE

Klabu ya soka ya Mtibwa Sugar inayoshiriki ligi kuu soka Tanzania bara imesema haijawahi kulipwa na klabu yoyote ili ifungwe kama ambavyo imekuwa ikidaiwa na baadhi ya mashabiki wa mchezo huo nchini.
Hayo yamebainishwa na kocha mkuu wa timu hiyo Zuberi Katwila wakati akiongea kuelekea mchezo wa leo jioni wa ligi kuu dhidi ya Simba utakaopigwa kwenye uwanja wa Jamhuri Morogoro.
''Nadhani ushindi wetu dhidi ya Azam kwenye robo fainali ya FA na ushindi dhidi ya Singida United sasa umefuta kauli...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Magoli ya mechi ya Yanga vs Mtibwa Sugar October 12, Full Time 3-1

dsc_0113

October 12 2016 klabu ya Yanga ilicheza mchezo wake wa saba wa Ligi Kuu na klabu ya Mtibwa Sugar katika uwanja wa Uhuru Dar es Salaam, Yanga ambao wapo chini ya kocha muholanzi wamefanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 3-1, magoli ambayo yalifungwa na Obrey Chirwa dakika ya 45, Simon Msuva dakika ya 68, Donald Ngoma dakika ya 80 wakati goli […]

The post VIDEO: Magoli ya mechi ya Yanga vs Mtibwa Sugar October 12, Full Time 3-1 appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

MillardAyo

Cheki video ya vituko vya mashabiki na magoli ya mechi ya Mtibwa Sugar 1-2 Yanga Mapinduzi Cup 2016 …

Usiku wa January 7 ulipigwa mchezo wa mwisho wa Kundi B katika michuano ya Kombe la Mapinduzi 2016, kwa kuzikutanisha klabu za Mtibwa Sugar ya Manungu Turiani dhidi ya klabu ya Dar Es Salaam Young Africa. Timu zote hizo zilikuwa zimefanikiwa kuingia hatua ya nusu fainali ya michuano hiyo. Lakini mchezo haukuwa rahisi, ulikuwa ni […]

The post Cheki video ya vituko vya mashabiki na magoli ya mechi ya Mtibwa Sugar 1-2 Yanga Mapinduzi Cup 2016 … appeared first on TZA_MillardAyo.

 

2 years ago

Zanzibar 24

Azam ngoma bado mbichi, mechi saba mfululizo bila ushindi: Ubaoni Azam 1-1 Mtibwa Sugar

Baada ya kutoka sare na Yanga, gonjwa la sare laendelea kuitafuna klabu ya Azam Fc ikicheza kwenye uwanja wa Azam Complex,Chamazi nje kidogo ya jiji la Dar es salaam imetoshana nguvu sawa na Mtibwa Sugar kwa kufungana bao 1-1.

Dakika ya 2 Mshambuliaji mwenye mwili uliojengeka Rashid Mandawa aliwanyanyua mashabiki wa Mtibwa Sugar kwa kufunga bao safi kwa njia ya kichwa akiunganisha krosi ya Issa Rashind hata hivyo Azam walisawazishwa kupitia kwa kiungo wao mkabaji Himid Mau kwa njia ya...

 

3 years ago

MillardAyo

Cheki Video ya magoli ya Mtibwa Sugar dhidi ya Azam FC, Mtibwa wakimbadilikia refa baada ya goli lao kulikataa

Mchezo wa pili wa Kundi B wa michuano ya Mapinduzi 2016 ulichezwa usiku wa January 3 kwa kuzikutanisha klabu za Mtibwa Sugar dhidi ya Azam FC. Huu ni mchezo ambao ulimalizika kwa sare ya goli 1-1, baada ya Azam FC kusawazisha goli, lakini pia kuna goli lilifungwa na Mtibwa Sugar lilikataliwa na muamuzi na kuleta […]

The post Cheki Video ya magoli ya Mtibwa Sugar dhidi ya Azam FC, Mtibwa wakimbadilikia refa baada ya goli lao kulikataa appeared first on TZA_MillardAyo.

 

11 months ago

Malunde

TUME YA UCHAGUZI (NEC) YAFUNGUKA KUHUSU UPOTOSHWAJI WA CHADEMA KUHUSU KUHAMISHA VITUO JIMBO LA KINONDONI

Hussein Makame, NECTume ya Taifa ya Uchaguzi imesema uamuzi wa kuhamisha vituo 46 vya kupigia kura katika jimbo la Kinondoni umezingatia matakwa ya kanuni za Uchaguzi kwa kuvishirikisha vyama vyote vya siasa ikiwemo Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).
Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Uchaguzi Bw. Kailima Ramadhani jijini Dar es Salaam, kufuatia taarifa za upotoshaji zilizotolewa na baadhi ya magazeti zinazodai kuwa Chadema hakikushirikishwa katika uamuzi wa kuhamisha vituo...

 

5 years ago

GPL

TANZANIA YAFUNGUKA KUHUSU MICHEPUKO‏

Kila Kona ya Nchi,Jambo Kuu linaloongelewa sasa ni MICHEPUKO! Kwa mara ya kwanza Tanzania imefunguka kuhusu mambo yanayosababisha Michepuko kwenye mahusiano na namna Michepuko hiyo inavyofichwa! Kupitia FACEBOOK Page ya Michepuko www.facebook.com/Michepuko ,Twitter @Michepuko na nstagram @Michepuko... WaTanzania wamepata Nafasi ya kuongea kwa uwazi kabisa kuhusu Sababu za Michepuko, Namna ya kuivumbua na Jinsi ya kuiepuka...

 

3 years ago

Habarileo

Mtibwa Sugar yaichapa Mafunzo

TIMU ya soka ya Mtibwa Sugar jana ilipata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mafunzo katika muendelezo wa mechi za michuano ya kombe la Mapinduzi inayofanyika kwenye uwanja wa Amani mjini hapa.

 

4 years ago

Mwananchi

Azam yaichakaza Mtibwa Sugar

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu, Azam wamelizamisha jahazi la Mtibwa Sugar kwa kuichapa mabao 5-2 jana kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi.

 

5 years ago

Tanzania Daima

Mtibwa Sugar kambini kesho

TIMU ya Mtibwa Sugar ya Manungu Turiani mkoani Morogoro, inatarajiwa kuingia kambini kesho kujiwinda na mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Mtibwa ilimaliza mzunguko wa kwanza ikiwa nafasi...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani