MTOTO AGUNDULIKA AKIWA AMEFUNGIWA NDANI NA WAZAZI WAKE KWA MIAKA 11 MKOANI MBEYA

Na Emanuel Madafa, MbeyaKatika hali isiyokuwa ya kawaida kijana  mwenye tatizo la ulemavu wa viungo na akili, amegundulika kufungiwa ndani  kwa zaidi ya miaka 11 na wazazi wake katika eneo la Mwambenja Kata ya Ilemi Jijini hapa.                                                                  Kijana huyo, mwenye umri wa miaka 20, ambaye amejulikana kwa jina la Fredrick Emmanuel ametajwa kuwa amekuwa akiishi ndani bila ya kutolewa nje  hali iliyochangia kwa kiasi kikubwa kudhohofisha mwili...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Channelten

Mtoto wa miaka 14 aozeshwa Mororogo DC Malinyi aagiza Polisi kumrejesha kwa wazazi wake

screen-shot-2016-12-21-at-7-51-26-pm

Serikali wilayani Malinyi mkoani Morogoro imeliagiza jeshi la polisi kumtafuta na kumfikisha mahakamani kijana aliyeatambulika kwa jina moja masemba kwa tuhuma za kumuficha binti wa miaka 14 mhitimu wa darasa la saba mwaka huu baada ya wazazi wake kumuozesha na kupokea mahari yenye thamani ya ngombe 30.

Agizo hilo limetolewa na Mkuu wa wilaya ya Malinyi majura kasika wakati akifunga mafunzo ya askari 140 wa jeshi la akiba ambapo amesema serikali haitafumbia macho ukatili unaoendelea...

 

3 years ago

Dewji Blog

Mchungaji wa kanisa akamatwa kwa tuhuma ya kumficha ndani mtoto wake kwa miaka 12

IMG_1239

Kijana mkazi wa kijiji cha Itaja tarafa ya Mgori wilayani Singida, Timotheo David (30), akiwa amelazwa wodi namba nne hospitali ya mkoa wa Singida baada ya kuletwa na jeshi la polisi siku mbili zilizopita. Inadaiwa kuwa Timotheo baada ya kuugua Malaria kali mwaka 2003 na kuchanganyikiwa akili, alifungiwa ndani chumbani toka wakati huo hadi juzi alipotolewa na polisi na kuletwa hospitalini. Kwa mujibu wa Kaimu Mganga mfawidhi hospitali ya mkoa, Dk.Napaiya Petro, Timotheo hana ugonjwa wo wote...

 

1 year ago

BBCSwahili

Mtoto azaliwa miaka 4 baada ya wazazi wake kufariki

Mwanamke aliyebeba uja uzito alimzaa mtoto huyo kutokana na mayai yaliogandishwa ya wazazi hao kabla wafariki katika ajali ya barabarani 2013.

 

5 years ago

Michuzi

MTOTO AUA WAZAZI WAKE WAWILI NA KUCHOMA MOTO NYUMBA MKOANI KILIMANJARO

Na Dixon Busagaga,Hai. 

WANANDOA wawili wameuawa kinyama baada ya mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Yusuf Njau (32),  anayeaminika kuwa ni mtoto wa wanandoa hao, kuwacharanga kwa shoka kisha kuchoma moto nyumba  yao na kutokomea kusiko julikana.    Tukio hilo la kusikitisha na la aina yake limetokea juzi majira ya saa 12:30 jioni katika kijiji cha Masama-Roo,  Kata ya Machame Mashariki, wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro baada ya kijana huyo kuchukua uamuzi huo ambao unadhaniwa ni sababu...

 

1 year ago

BBCSwahili

Chemsha bongo: Kisa cha mtoto aliyezaliwa miaka minne baada ya wazazi wake kufariki kilitokea nchi gani?

Je, umefuatilia habari zilizochapishwa na BBC Swahili kikamilifu wiki hii mtandaoni? Pima ufahamu wako na uwezo wako wa kukumbuka kwa kujibu maswali yafuatayo.

 

3 years ago

Dewji Blog

Kijana wa miaka 20 akutwa kafichwa ndani kwa miaka 11, Mbeya

Katika hali isiyokuwa ya kawaida kijana mwenye tatizo la ulemavu wa viungo na akili, amegundulika kufungiwa ndani kwa zaidi ya miaka 11 na wazazi wake katika eneo la Mwambenja Kata ya Ilemi Jijini hapa.

Kijana huyo, mwenye umri wa miaka 20, ambaye amejulikana kwa jina la Fredrick Emmanuel ametajwa kuwa amekuwa akiishi ndani bila ya kutolewa nje hali iliyochangia kwa kiasi kikubwa kudhohofisha mwili wake .

Mmoja wa majirani ambaye hakutaka jina lake litajwe amesema kuwa Kijana huyo licha ya...

 

2 years ago

Channelten

Mtoto mlemavu afungiwa ndani, Aishi ndani ya nyumba kwa miaka 8 bila kutoka nje

disability

KATIKA hali ya kusikitisha mtoto Happynes Churura amefungiwa ndani kwa zaidi ya miaka minane bila kuliona jua kutokana na kinachodaiwa na familia yake kuwa wanaona aibu kumtoa mtoto huyo mwenye ulemavu wa kupooza viungo katika kijiji cha Chala C wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa.

Channel ten baada ya kupata taarifa za kufungiwa kwa mtoto huyo mwenye ulemavu kwa miaka nane, imefika katika kijiji cha Chala C na kufanikiwa kuingia katika nyumba aliyomo mtoto Happynes Churura na kuzungumza na...

 

5 years ago

Mwananchi

Mtoto awaua kwa mapanga wazazi wake, atoweka

Kijana aliyetambulika kwa jina la Yusufu Njau (32) mkazi wa kijiji cha Roo Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, ameuawa kwa kuwakatakata mapanga wazazi wake na kisha kuchoma nyumba moto na kukimbia kusikojulikana.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani