- 1 HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI APRILI 22,2017
- 2 Mke Wa Chameleon Adai Talaka Mahakamani
- 3 MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI APRIL 22,2017
SIKU KAMA YA LEO
Apr 22, 2017POPULAR ON YOUTUBE
MTOTO AKRAM MBAROUK AMEPOTEA ANATAFUTWA NA WAZAZI WAKE

Mtoto Arkam Salim Mbarouk (anayeonekana kwenye picha) mwenye umri wa miaka 12 amepotea tokea tarehe 19 April, 2017 mida ya jioni (alasiri) wakati anakwenda madrasa (maeneo ya Makongo Juu) na hajaonekana mpaka sasa.
Mara ya mwisho alivaa kanzu ya msikitini rangi ya kijivu na pensi nyekundu. Tafadhali tunaomba utakapomuona popote au kupata taarifa zake uwasiliane nasi kwa namba hizi zifuatazo
0782412840 AU 0659296329 AU 0713251344,
0718237250 AU 0713484838 AU 0655188918 AU 0658023243 AU 0713483436 AU 0784675774.
TAFADHALI TUNAOMBA SAMBAZA UJUMBE HUU KWENYE MAGROUP MENGINE KADRI IWEZEKANAVYO.
Michuzi
Habari Zinazoendana
2 years ago
Michuzi
Mtoto Amepotea, anatafutwa na wazazi wake

Miaka: 12, mweupe
Kawaida anaishi na babu mzaa mama yake kijiji cha Kikore wilayani Babati Mkoa wa Manyara. Anasoma Kikore shule ya Msingi darasa la saba.Alitoweka nyumbani kwa babu yake tarehe 16/10/2015, mida ya saa nane mchana akiaga anaelekea sokoni.
Atakayemuona atoe taarifa kituo cha Polisi kilicho karibu nae au piga simu 0717924389 (Asha Mlei – Mama Mzazi; CCBRT, DSM)/0683075536 (Mzee Ally Kature Ally – Babu)
2 years ago
Michuzi
MTOTO LUQMAN ALLY AMEPOTEA NA ANATAFUTWA NA WAZAZI WAKE.

MTOTO LUQMAN ALLY AMEPOTEA NA ANATAFUTWA NA WAZAZI WAKE.Luqman Ally (14)(Pichani) anatafutwa na wazazi wake, amepotea tar 13 Juni mwaka huu, anasoma shule ya Msingi Mbagala Islamic Darasa la Sita iliyopo Mbagala jijini Dar es Salaam.
Mara ya kwanza alitoroka wiki mbili zilizopita na akapatikana katika kituo cha kulelea watoto wanaoishi katika mazingira Magumu cha Chad kilichopo Mazese.
Taarifa imetolewa katika kituo cha Polisi cha Majimajitu Mbagala jijini Dar es Salaam kwa RB .NO...
3 years ago
Michuzi
MSAADA TUTANI: MTOTO NAELIJWA LUTHER KIMBWEREZA AMEPOTEA NA ANATAFUTWA NA WAZAZI WAKE

4 years ago
Michuzi
MTOTO ANATAFUTWA NA WAZAZI WAKE

Tunawaomba Watanzania na watu wote mtusaidie kumtafuta mtoto wetu. Maneno yanayosemwa kwamba kachukuliwa na baba yake si ya kweli kwani mimi ndiye baba yake mzazi na tunaishi pamoja na mke wangu.
Asanteni sana kwa msaada wenu na Mungu awabariki.

2 years ago
Michuzi
MTOTO HUYU ANATAFUTWA NA WAZAZI WAKE

Kwa mujibu wa mzazi wa mwanafunzi huyo, Joyce Nchimbi, alisema mtoto huyo alitoweka nyumbani miezi mitatu iliyopita akiwa amevaa nguo hiyo.
Alisema mara ya mwisho alionekana mitaa ya Railways akiwa na wanafunzi wenzake lakini baada ya hapo hajaonekana tena.
Joyce alisema juhudi za kumtafuta mtoto huyo kwa ndugu na jamaa hazikufanikiwa na kutoa taarifa...
2 years ago
Michuzi
MTOTO APOTEA, ANATAFUTWA NA WAZAZI WAKE

1 year ago
Michuzi
Msaada tutani: Mtoto Arkam Salim Mbarouk amepotea, familia inamtafuta

Asalaamu alaykum. Mtoto wetu Arkam Salim Mbarouk (anayeonekana kwenye picha) mwenye umri wa miaka 12 amepotea tokea tarehe 19 April, 2017 mida ya jioni (alaasiri) wakati anakwenda madrasa (maeneo ya Makongo Juu) na hajaonekana mpaka sasa. Mara ya mwisho alivaa kanzu ya msikitini rangi ya kijivu na pensi nyekundu. Tafadhali tunaomba utakapomuona popote au kupata taarifa zake uwasiliane nasi kwa namba hizi...
11 months ago
Michuzi09 May
ANATAFUTWA NA WAZAZI WAKE

MTOTO HUYU PICHANI ANAITWA LINDA RAYMOND KOMBE AMEPOTEA NYUMBANI KWAO KINONDONI MKWAJUNI TAR 6/05/2017 KATIKA MAZINGIRA YA KUTATANISHA,YEYOTE ATAKAYEMUONA AWASILIANE NA WAZAZI WAKE KWA NAMBA 0714 282527, 0654 700777. ZAWADI NONO ITATOLEWA KWA ATAKAYEFANIKISHA KUPATIKANA KWAKE

2 years ago
MichuziKIJANA EDIMUND JOSEF ANATAFUTWA NA WAZAZI WAKE
Amesoma shule ya Msingi...