Mtoto aliyezaliwa na VVU aishi bila ya virusi kwa miaka minane

Wanasayansi Afrika Kusini wamebaini kwamba mtoto aliyeambukizwa virusi vya Ukimwi, ameishi kwa miaka minane na nusu bila viini hivyo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

BBCSwahili

Mtoto aliyekuwa HIV aishi bila viini hivyo kwa miaka 9

Wanasayansi kutoka Afrika Kusini wamebaini kwamba mtoto aliyeambukizwa virusi vya HIV ameishi kwa miaka minane na nusu bila viini hivyo.

 

3 years ago

Habarileo

Mtoto aishi miaka 15 bila sehemu ya haja kubwa

MTOTO Flora William wa kijiji cha Mandi wilayani Babati, Manyara aliyezaliwa akiwa na ulemavu wa kutokuwa na sehemu ya haja kubwa, ameendelea kuteseka kwa miaka 15 sasa kutokana na wazazi wake kutokuwa na uwezo wa kuwezesha matibabu yake.

 

2 years ago

Channelten

Mtoto mlemavu afungiwa ndani, Aishi ndani ya nyumba kwa miaka 8 bila kutoka nje

disability

KATIKA hali ya kusikitisha mtoto Happynes Churura amefungiwa ndani kwa zaidi ya miaka minane bila kuliona jua kutokana na kinachodaiwa na familia yake kuwa wanaona aibu kumtoa mtoto huyo mwenye ulemavu wa kupooza viungo katika kijiji cha Chala C wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa.

Channel ten baada ya kupata taarifa za kufungiwa kwa mtoto huyo mwenye ulemavu kwa miaka nane, imefika katika kijiji cha Chala C na kufanikiwa kuingia katika nyumba aliyomo mtoto Happynes Churura na kuzungumza na...

 

5 years ago

Dewji Blog

Mtoto Shigela aliyezaliwa na VVU aaga Dunia jijini Mwanza

10342004_1886404071498512_8618777191309208307_n

Marehemu Shigela ezni za uhai wake akihojiwa na Mtangazaji wa Kipindi cha Mimi na Tanzania Hoyce Temu.

Mtoto Shigela amefariki dunia asubuhi ya leo tarehe 29/05/2014 nyumbani kwao mkoani Mwanza akisumbuliwa na maradhi ya Moyo.

Mtoto Shigela alikuwa ni mmoja kati ya watoto waliozaliwa na VVU na kipindi cha Mimi na Tanzania kilimtangaza na alipatiwa misaada mingi toka kwa Watanzania .

Bado msaada wako unahitajika kukamilisha mipango ya mazishi kwa mtoto wetu mpendwa Shigela.

Namba ya simu ya...

 

5 years ago

GPL

MASKINI! MTOTO SHIGELA ALIYEZALIWA NA VVU AAGA DUNIA JIJINI MWANZA‏

Marehemu Shigela enzi za uhai wake akihojiwa na Mtangazaji wa Kipindi cha Mimi na Tanzania, Hoyce Temu. Mtoto Shigela amefariki dunia jana asubuhi tarehe 29/05/2014 nyumbani kwao mkoani Mwanza akisumbuliwa na maradhi ya moyo. Mtoto Shigela alikuwa ni mmoja kati ya watoto waliozaliwa na VVU na kipindi cha Mimi na Tanzania kilimtangaza na alipatiwa misaada mingi toka kwa Watanzania . Bado msaada wako unahitajika kukamilisha...

 

3 years ago

Global Publishers

Mtoto wa Miaka 4 aishi na maiti ya mama yake kwa siku 2

maittiBryan Allen akiwa na mama yake Shaleena Hamilton (enzi za uhai wake).maitinBryanmaitiiBaiskeli aliyozawadiwa Bryan.

Bryan Allen is “doing well” after he survived 48 hours, after his mom died. Thought mom was sleeping @news4buffalo pic.twitter.com/UZXUma2c6S

— Marissa Perlman (@MPerlman4) December 14, 2015

Bryan won’t be here, but here’s his new bike pic.twitter.com/pOjtb55QFu — Aaron Besecker (@AaronBesecker) December 14, 2015

Donations have come from police, people dropping off at districts, other...

 

5 years ago

Mwananchi

Baba wa miaka 54 aoa mtoto wa miaka minane

Polisi Wilaya ya Bunda, wanamshikilia baba mwenye umri wa miaka 54 kwa tuhuma kuoa mwanafunzi wa kike wa umri wa miaka minane.

 

2 years ago

Channelten

Virusi vya Ukimwi kwa mtoto mmoja Afrika Kusini vyaonekana kupungua bila matumizi ya dawa

12

Idara ya taifa ya afya ya Marekani NIH imesema mtoto mwa miaka 9 aliyegunduliwa kuwa na virusi vya ukimwi akiwa na mwezi mmoja, na kupatiwa dawa ya kupambana na virusi hivyo akiwa mchanga, ameweza kutuliza virusi hivyo kwa muda wa miaka nane na nusu bila kutumia dawa.

Mkurugenzi wa NIH Bw Anthony Fauci amesema hali hii inaimarisha imani kuwa kama watoto wachanga wakipatiwa matibabu, wanaweza kuepushwa kupata tiba ya muda mrefu na kuamshwa kwa kinga mwili ya kupambana na virusi.

Kumekuwepo...

 

5 years ago

Habarileo

Mtoto aishi ndani ya boksi miaka 3

MTOTO wa miaka minne (jina limehifadhiwa), amedhulumiwa haki yake ya utu na kuteswa kwa zaidi ya miaka mitatu, kwa kufungiwa ndani ya boksi kama mnyama, ili asimuambukize mama mlezi virusi vinavyosababisha Ukimwi. Unyama huo wa kusikitisha, umefanyika muda wote huo kwa mtoto huyo Morogoro mjini katika mtaa wa Azimio bila kuripotiwa popote, huku wakazi na majirani wa nyumba hiyo wakisikia akikohoa na kulia usiku, na baba yake mzazi akiendelea na maisha kwa kumuogopa mkewe.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani