Mtoto auawa kwa kuchapwa fimbo na Baba yake kisa kugoma kwenda shule

Jeshi la Polisi katika Wilaya ya Pader, nchini Uganda, linamshikilia Bwana Omony Odokonyero (30) kwa tuhuma za kusababisha kifo cha mwanae mwenye umri wa miaka saba kilichotokana na kuchapwa  fimbo.

Kwa mujibu wa gazeti la Daily Monitor limeripoti Juni 7 2018, katika kijiji cha Omakigira, ambapo mtoto huyo aliyejulikana kwa jina la Richard Odokonyero, mwanafunzi wa shule ya msingi Pader Ogom alipigwa na fimbo baada ya kukataa kwenda shule akitaka kupelekwa kwa bibi yake.

Mwenyekiti wa Kijiji...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

11 months ago

Malunde

BABA AUA MTOTO KISA KAGOMA KWENDA SHULE

Polisi katika wilaya ya Pader nchini Uganda wamemkamata mwanaume mwenye miaka 30 baada ya kumpiga mtoto wake wa miaka 7 kwa fimbo mpaka kufa kisa tu mtoto huyo amekataa kwenda shule.
Richard odokonyero mwenye miaka 7 alikuwa akisoma katika shule ya msingi Pader kabla ya uhai wake kukatishwa na baba yake Denis Omony Juni 6,2018.
Mwenyekiti wa eneo hilo Charles Otto Lalobo amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema kuwa baba huyo aligeuka hayawani na kumshambulia mwanae kwa fimbo kichwani...

 

5 years ago

GPL

MTOTO AUAWA NA BABA YAKE KWA KUPIGWA NGUMI MKOANI MBEYA

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya,SACP Ahmed Msangi. KATIKA TUKIO LA KWANZA:
MTOTO ALIYEFAHAMIKA KWA JINA LA VANESA PATRICK NJOJO (03) MKAZI WA ISISI, WILAYANI MBARALI ALIUAWA KWA KUPIGWA NGUMI NA BABA YAKE MZAZI AITWAYE PATRICK NJOJO (23) MKAZI WA ISISI. TUKIO HILO LIMETOKEA MNAMO TAREHE 26.04.2014 MAJIRA YA SAA 23:45 USIKU HUKO KATIKA KIJIJI CHA ISISI, KATA NA TARAFA YA RUJEWA, WILAYA YA MBARALI, MKOA WA MBEYA. INADAIWA KUWA...

 

2 years ago

Malunde

MTOTO WA MIAKA MIWILI AUAWA KWA KUNYONGWA NA BABA YAKE WA KAMBO

Picha haihusiani na habari hapa chini

MTOTO Agatha Raphael(2) aliyekuwa akiishi katika kijiji cha Mao wilayani Kalambo mkoani Rukwa amefariki dunia baada ya kunyongwa na baba yake wa kambo.Mwandishi wa Malunde1 blog,Sumbawanga Walter Mguluchuma anasimulia kisa hiki.

Tukio la kunyongwa kwa mtoto huyo lilifanyika Mei 16 mwaka huu majira ya saa 11:00 jioni kijiji cha Mao kata ya Mbuluma tarafa ya Matai,wilaya ya Kalambo, mkoa wa Rukwa.
Akitoa taarifa za tukio hilo Kamanda wa polisi mkoa wa Rukwa...

 

5 years ago

Tanzania Daima

Baba aua mtoto kwa fimbo

WATU watatu wamefariki dunia katika matukio tofauti mkoani hapa likiwemo la mtoto Irene Mbembela (7), mkazi wa Sogea-Tunduma, wilayani Momba, kuuawa kwa kupigwa fimbo na baba yake mzazi. Irene ambaye...

 

3 years ago

Global Publishers

Mwanza: Watano wafariki kwa ajali, baba wa kambo amuua mtoto kwa fimbo!

TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MWANZA KWA VYOMBO VYA HABARI LEO TAREHE 28.06.2016

 

5 years ago

Michuzi

MTOTO WA KIKE ABURUZWA NA BABA YAKE MTAA MZIMA KWENYE PIKIPIKI KWA KUTOKWENDA SHULE


Mtoto Anastazia Jumanne akiwa amefungwa  mikono yake kwenye pikipiki kwa mpira
Na Valence Robert-Geita
Mtoto Anastazia Jumanne (12) ambaye ni mwanafunzi wa shule ya msingi katika wilaya na mkoa wa Geita amefanyiwa ukatili wa kutisha baada kufungwa mpira kwenye pikipiki na baba yake mzazi na kisha kuanza kumburuza mtaani. Tukio hilo la kusikitisha limetokea jana majira ya sa tatu asubuhi katika moja ya mitaa ya mjini humo ambapo inadaiwa kuwa binti huyo anayesoma darasa la nne katika shule...

 

4 years ago

Vijimambo

Polisi auawa akiokoa mtoto asiuawe na baba yake mzazi

Kamanda wa Polisi mkoani Dodoma, David Misime.
Askari Polisi PC Joseph Swai, ameuawa wakati akimwokoa mtoto wa miezi minane, aliyekuwa akiteswa na baba yake mzazi katika mtaa wa Chang'ombe Juu mjini hapa.

Kamanda wa Polisi mkoani Dodoma, David Misime, alisema tukio hilo lilitokea jana saa 5:00 asubuhi na kumtaja mtoto aliyekuwa anateswa kuwa ni Valerian Mallya.

Alisema awali, polisi huyo alipigiwa simu na Mtendaji wa mtaa wa Chang'ombe Juu, akimjulisha kuwa amepokea taarifa kutoka kwa Oliva...

 

12 months ago

Malunde

BINTI AUAWA KWA KUKATWA PANGA NA BABA YAKE MASAA MACHACHE KABLA YA HARUSI YAKE

Binti Oyinye Aguluka ameuawa kwa kukatwa na panga na baba yake mzazi, Cletus Aguluka, masaa machache kabla ya harusi yake.

Binti huyo ambaye anaishi nchini Nigeria yalimkuta masahibu hayo akiwa amelala usingizini, baada ya baba yake aliyekuwa amelewa kuja na panga na kumshambulia.
Mama Mzazi wa marehemu aliyetambulika kwa jina la Georgina amesema mume wake alirudi usiku akiwa amelewa na kuwauliza watoto wake mahali ilipo tochi yake, lakini hakuna ambaye alimjibu kutokana na kwamba walikuwa...

 

3 years ago

Habarileo

Askari JWTZ auawa kwa fimbo

ASKARI wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), kikosi cha 212 kilichopo Milambo mkoani hapa, ameuawa kwa kipigo kutoka kwa wafugaji akiwa eneo lake la ujenzi.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani