Mtoto azaliwa kutoka kwa wazazi tasa

Mtoto mmoja amezaliwa kutoka kwa wazazi walio tasa nchini Ukraine kwa kutumia mbegu za watu watatu

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

BBCSwahili

Mtoto azaliwa kutoka kwa mbegu za watu 3

Mtoto wa kwanza aliyetengezwa kwa kutumia mbinu ya uzazi wa mbegu za watu watatu amezaliwa ,wanasayasi wamefichua

 

1 year ago

BBCSwahili

Mtoto azaliwa miaka 4 baada ya wazazi wake kufariki

Mwanamke aliyebeba uja uzito alimzaa mtoto huyo kutokana na mayai yaliogandishwa ya wazazi hao kabla wafariki katika ajali ya barabarani 2013.

 

2 years ago

BBCSwahili

Leseni ya mtoto kutoka kwa wazazi 3 yatolewa Uingereza

Madaktari mjini Newcastle nchini Uingereza wamepewa leseni ya kwanza nchini Uingereza kutengeza watoto kutoka kwa wanawake wawili na mwanamume mmoja

 

3 years ago

Mwananchi

Mtoto aliyetengenezwa kwa mbegu za watu watatu azaliwa

Kwa mara ya kwanza duniani, mtoto aliyetengezwa kwa kutumia mbinu ya uzazi wa mbegu za watu watatu amezaliwa. Jarida la kisayansi la New Scientist, limeeleza kuwa mtoto huyo wa kiume mwenye umri wa miezi mitano ana chembe chembe za DNA kutoka kwa mama yake, baba yake pamoja na jeni za mfadhili.

 

3 years ago

Mtanzania

Mtoto azaliwa kwa vinasaba vya watu watatu

dr-zhang-drupal

MEXICO CITY, MEXICO

WANASAYANSI wamethibitisha kuwa mtoto wa kwanza kabisa duniani amezaliwa kwa kutumia mbinu tata inayojumuisha vinasaba kutoka kwa watu watatu tofauti katika kiinitete.

Mtoto huyo mvulana alizaliwa nchini Mexico miezi mitano iliyopita na wazazi kutoka Jordan.

Anaripotiwa kuwa katika hali nzuri kiafya, kwa mujibu wa ripoti maalumu iliyochapishwa kwenye jarida la New Scientist.

Dk. John Zhang wa New Hope Fertility Centre mjini New York na timu yake walifanya utaratibu huo...

 

4 years ago

BBCSwahili

Mtoto mkubwa azaliwa Marekani

Mwanamke mmoja nchini Marekani amejifungua mtoto mwenye uzito wa paundi 14.1 sawa na kilo 6.4kg.

 

4 years ago

GPL

MTOTO WA AJABU AZALIWA SHINYANGA

Muonekano wa mtoto huyo. Na GABRIEL NG’OSHA WAKAZI wa Mkoa wa Shinyanga wamekumbwa na mshituko baada ya mama mmoja mwenyeji wa Ndembezi mkoani humo kujifungua mtoto wa ajabu, Amani limeinasa. Tukio hilo lilijiri usiku wa kuamkia Machi 12, mwaka huu katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga.
Kwa mujibu wa watu waliomwona mtoto huyo waliliambia Amani kwamba, alizaliwa akiwa na masikio yote kwenye shingo, kuanzia kidevuni...

 

4 years ago

BBCSwahili

Mtoto azaliwa bila pua

''Alipozaliwa daktari alimweka kifuani mwangu. Nilipomwangalia kwa karibu, nilisema ' Hana pua'. Walimchukua na kutoka naye.

 

5 years ago

Mtanzania

Mtoto wa ajabu azaliwa Dar

Hospitali ya Mwananyamala

Hospitali ya Mwananyamala

NA VERONICA ROMWALD, DAR ES SALAAM

MTOTO wa ajabu anayedaiwa kuzaliwa katika Hospitali ya Mwananyamala, Dar es Salaam ameibua mjadala mkubwa katika jamii.

Taarifa zilizoenea jana katika mitandao ya kijamii zilionyesha picha ya sura ya mtoto huyo akiwa na umbo la binadamu, lakini macho yake na sura akiwa anafanana na chura.

MTANZANIA ilifika katika Hospitali ya Mwananyamala na kukuta taarifa zikiwa zimezagaa kuhusu tukio hilo linalovuta hisia za watu.

Inadaiwa mtoto...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani