Mtoto azaliwa miaka 4 baada ya wazazi wake kufariki

Mwanamke aliyebeba uja uzito alimzaa mtoto huyo kutokana na mayai yaliogandishwa ya wazazi hao kabla wafariki katika ajali ya barabarani 2013.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

BBCSwahili

Chemsha bongo: Kisa cha mtoto aliyezaliwa miaka minne baada ya wazazi wake kufariki kilitokea nchi gani?

Je, umefuatilia habari zilizochapishwa na BBC Swahili kikamilifu wiki hii mtandaoni? Pima ufahamu wako na uwezo wako wa kukumbuka kwa kujibu maswali yafuatayo.

 

1 year ago

BBCSwahili

Mtoto wa kwanza azaliwa kisiwani Brazil baada ya miaka 12

Huwa ni marufuku kwa wanawake kujifungulia kisiwani humo na mama wa mtoto anasema hakufahamu kwamba alikuwa anabeba mimba.

 

2 years ago

BBCSwahili

Mtoto azaliwa kutoka kwa wazazi tasa

Mtoto mmoja amezaliwa kutoka kwa wazazi walio tasa nchini Ukraine kwa kutumia mbegu za watu watatu

 

3 years ago

Michuzi

MTOTO AGUNDULIKA AKIWA AMEFUNGIWA NDANI NA WAZAZI WAKE KWA MIAKA 11 MKOANI MBEYA

Na Emanuel Madafa, MbeyaKatika hali isiyokuwa ya kawaida kijana  mwenye tatizo la ulemavu wa viungo na akili, amegundulika kufungiwa ndani  kwa zaidi ya miaka 11 na wazazi wake katika eneo la Mwambenja Kata ya Ilemi Jijini hapa.                                                                  Kijana huyo, mwenye umri wa miaka 20, ambaye amejulikana kwa jina la Fredrick Emmanuel ametajwa kuwa amekuwa akiishi ndani bila ya kutolewa nje  hali iliyochangia kwa kiasi kikubwa kudhohofisha mwili...

 

2 years ago

Channelten

Mtoto wa miaka 14 aozeshwa Mororogo DC Malinyi aagiza Polisi kumrejesha kwa wazazi wake

screen-shot-2016-12-21-at-7-51-26-pm

Serikali wilayani Malinyi mkoani Morogoro imeliagiza jeshi la polisi kumtafuta na kumfikisha mahakamani kijana aliyeatambulika kwa jina moja masemba kwa tuhuma za kumuficha binti wa miaka 14 mhitimu wa darasa la saba mwaka huu baada ya wazazi wake kumuozesha na kupokea mahari yenye thamani ya ngombe 30.

Agizo hilo limetolewa na Mkuu wa wilaya ya Malinyi majura kasika wakati akifunga mafunzo ya askari 140 wa jeshi la akiba ambapo amesema serikali haitafumbia macho ukatili unaoendelea...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Mtoto mdogo ahofiwa kufariki baada ya kuzama mto Ngerengere

Mtoto wa darasa la kwanza Mkoani Pwani aliyetambulika kwa jina la Karim Salum anahofiwa kufariki Dunia baada ya kuzama wakati alipokuwa akiogelea kwenye maji ya Mto Ngerengere.

Wananchi wameendelea na jitihada za utafutaji wa mwili wa mtoto huyo ambao mpaka sasa bado haujapatikana.

The post Mtoto mdogo ahofiwa kufariki baada ya kuzama mto Ngerengere appeared first on Zanzibar24.

 

5 years ago

Michuzi

MTOTO ANATAFUTWA NA WAZAZI WAKE

Mimi Reppyson Ishababaki na mke wangu Elida Fundi. Tunapenda kutoa taarifa ya kupotea kwa mtoto wetu kipenzi Meryline Reppyson. Ameibiwa jana jioni na mtu tusiyemfahamu na hatujampata mpaka sasa hivi.
 Tunawaomba Watanzania na watu wote mtusaidie kumtafuta mtoto wetu. Maneno yanayosemwa kwamba kachukuliwa na baba yake si ya kweli kwani mimi ndiye baba yake mzazi na tunaishi pamoja na mke wangu. 
Asanteni sana kwa msaada wenu na Mungu awabariki.

 

2 years ago

Zanzibar 24

Aliyeondoka nyumbani kwa muda wa miaka miwili na nusu abainika kufariki baada ya kukutwa mifupa yake ndani ya karo

Tukio moja  la kusikitisha limetokea Kiembe samaki ambapo mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Samira Sultan aleyeondoka nyumbani kwa muda wa miaka miwili na nusu imebainika kuwa amefariki baada ya kukutwa mifupa ya mwili wake ndani ya karo ya nyumba aliyokua akiishi.

Tukio hilo  limebainika baada ya karo ya nyumba hiyo kujaa na kulazimika kufukuliwa  na ndipo ilipoonekana mifupa ya baadhi ya viungo vyake vikiwemo bupuru la kichwa mifupa ya mikono, mkoba wake wa kwapani na baadhi ya nguo za...

 

3 years ago

Michuzi

MTOTO HUYU ANATAFUTWA NA WAZAZI WAKE

MWANAFUNZI Evelina Edwin Kazaura (13), (pichani) wa shule ya msingi Dodoma mlimani, Manispaa ya Dodoma amepotea katika mazingira ya kutatanisha.
Kwa mujibu wa mzazi wa mwanafunzi huyo, Joyce Nchimbi, alisema mtoto huyo alitoweka nyumbani miezi mitatu iliyopita akiwa amevaa nguo hiyo.
Alisema mara ya mwisho alionekana mitaa ya Railways akiwa na wanafunzi wenzake lakini baada ya hapo hajaonekana tena.
Joyce alisema juhudi za kumtafuta mtoto huyo kwa ndugu na jamaa hazikufanikiwa na kutoa taarifa...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani