Mtoto huanza kupata hisia akiwa tumboni mwa mama yake

Kwa kipindi kirefu tangu enzi za kale, wazazi walijitahidi kuwalea watoto wao kwa lengo la kuwafanya wazingatie maadili mema. Walitaka watoto wao tangu wakiwa wachanga wafuate mila na destruri nzuri kwa kuzirithisha kizazi hadi kizazi. Mambo yaliyokuwa yakirithishwa ni lugha, maadili mema ya upendo, ushirikiano, uadilifu na pia ujasiri.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

TAASISI ya Tiba ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) YAPIMA MOYO WA MTOTO ALIYE TUMBONI MWA MAMA YAKE

Na Veronica Romwald, Dar es SalaamTAASISI ya Tiba ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) kwa mara nyingine tena imefanya upimaji wa moyo wa mtoto aliye tumboni mwa mama yake, kuchunguza magonjwa mbalimbali ya moyo.Upimaji huo umefanywa katika taasisi hiyo na Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo wa Watoto wa JKCI, Naiz Majani.Akizungumza na waandishi wa habari, Dk. Naiz amesema kuna faida lukuki iwapo mjamzito ataamua kufanya kipimo maalumu."Tunatumia Ultra sound kama kawaida kufanya kipimo hiki,...

 

4 years ago

Mtanzania

Mtoto albino aporwa mikononi mwa mama yake

NA VICTOR BARIETY,GEITA
WATU wasiojulikana wamempora mikononi mwa mama yake, mtoto mchanga ambaye ni albino,Yohana Bahati (1), mkazi wa Kitongoji cha Ilyamchele,Kijiji cha Ilelema katika Wilaya ya Chato mkoani Geita na kutokomea naye kusikojulikana.
Katika tukio hilo mama wa mtoto huyo alijeruhiwa kwa mapanga.
Tukio hilo linalohusishwa na imani za ushirikina lilitokea Februari 15 mwaka huu usiku.
Kwa mujibu wa polisi,watu wanaodaiwa kufanya unyama huo walikuwa wawili ambao walivamia nyumbani...

 

2 years ago

Michuzi

TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) YATOA HUDUMA YA UPIMAJI WA MOYO KWA MTOTO ALIYEPO TUMBONI KWA MAMA YAKE (FETAL ECHO)

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete Prof. Mohamed Janabi akiongea na waandishi wa habari kuhusu kazi mbalimbali zinazofanywa na taasisi hiyo ikiwemo upimaji wa kina mama wajawazito moyo wa mtoto aliyepo tumboni (Fetal ECHO) ili kuangalia kama una magonjwa au la. Kutolewa kwa huduma hiyo kutasaidia kufahamu afya ya mtoto aliyepo tumboni ikiwa ni pamoja na hali ya moyo. Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo kwa watoto kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Naiz Majani...

 

4 years ago

Tanzania Daima

UJAUZITO WIKI YA 15: Mtoto anaanza kupata hisia

KATIKA wiki ya 15, mtoto anakuwa amefikia urefu wa inchi nne. Hivi sasa, majimaji yaliyopo tumboni yanaweza kuanza kupenya kwenye pua zake na kuingia kwenye sehemu ya juu ya njia...

 

3 years ago

Bongo5

Natamani kuona Hisia akiimba kuhusu mazingira, maji, elimu – asema mama yake (Anna Mgwira)

Hisia TPF_full

Mama mzazi wa muimbaji Hisia, Anna Mgwira amesema kuwa yeye ni shabiki mkubwa wa kazi za mwanaye lakini wanatofautiana tu kwenye maudhui ya nyimbo zake.

Hisia TPF_full

Mama Hisia ambaye pia alikuwa mgombea urais kwenye uchaguzi uliopita kupitia ACT, amesema kuwa yeye sio shabiki wa nyimbo za mapenzi ambazo hata mwanaye ndio anazopenda zaidi kuimba.

“Kwanza hapo tunatofautiana mi na yeye kwamba anapenda kuimbaimba nyimbo za mapenzi sana mimi sionagi kitu kipya kwenye hayo mambo.” Alisema Mama Hisia...

 

2 years ago

Mwananchi

Ripoti yapoteza matumaini mama kupata mtoto wake

Siku 35 baada ya kuwapo kwa taarifa za mama anayedai kuibiwa pacha  alipojifungua kwa upasuaji katika Hospitali ya Temeke, ripoti ya Wizara ya Afya imesema mlalamikaji alikuwa na mimba ya mtoto mmoja.

 

2 years ago

Michuzi

JK akiwa nchini India kuhudhuria Mkutano wa kupambana kupunguza vifo vya Mama na Mtoto

Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wajumbe wa Mkutano wa kupambana kupunguza vifo vya Mama na Mtoto, unaofanyika mjini Jaipur nchini India.

 

1 year ago

BBCSwahili

Mama auza maziwa yake kupata fedha za matibabu ya mwanae

Mama mmoja mdogo nchini China ameamua kuuza maziwa yake mwenyewe ya kumnyonyesha mwanae ili kuweza kupata fedha itakayomsaidia kulipia gharama za hospitali

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani