- 1 HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI APRILI 22,2017
- 2 Mke Wa Chameleon Adai Talaka Mahakamani
- 3 MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI APRIL 22,2017
SIKU KAMA YA LEO
Apr 22, 2017POPULAR ON YOUTUBE
Mtoto Hudhaifa Shatry atoa ujumbe wa kuwasisitiza wazazi Watanzania kuongea na watoto wao Kiswahili Ughaibuni

Michuzi
Habari Zinazoendana
9 months ago
Michuzi
AFYA YA MTOTO MWENGE YAIMARIKA; RC NCHIMBI AWAASA WAZAZI JUU YA KUWAPA WATOTO WAO MAJINA
Afya ya mtoto Mwenge aliyenusurika kifo baada ya kutumbukizwa chooni na kukaa humo kwa zaidi ya saa 14 kabla ya kuokolewa akiwa hai, inaendelea kuimarika huku akiendelea kupatiwa matibabu katika hospitali ya Kiomboi Wilayani Iramba.
Mtoto Mwenge alitupwa chooni na mama yake mzazi Winfrida Lori (23) mwanafunzi katika Chuo cha Uuguzi cha Kiomboi Wilayani Iramba ambapo mama huyo amekiri kujifungua mtoto huyo wa kiume katika Kijiji cha Luono Julai 3, saa mbili usiku kisha kumfunga vitambaa...
12 months ago
CCM Blog
1 year ago
Ippmedia18 Jan
Watanzania watakiwa kuanzisha mapinduzi ya kifikra kwa kuondoa utumwa wa kuongea lugha ya Kiswahili.
Balozi wa lugha kiswahili hapa nchini, na mke wa rais mstaafu wa awamu ya nne Mama Salma Kikwete ametoa ushauri huo wakati wa hotuba yake katika hafla ya utoaji wa tuzo ya kwanza inayotambua mchango wa watunzi na waandishi wa fasihi ya lugha ya kiswahili ya Mabati cornell ya fasihi ya kiafrika ambayo imefanyika kwa mara ya kwanza jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na wasomi wa lugha ya kiswahili kutoka vyuo mbalimbali duniani.
Day n Time: Jumanne Saa 2:00...
1 year ago
Zanzibar 2424 Jan
WAZAZI wa watoto wanaoishi nyumba za maendeleo Pemba watakiwa kuwakanya watoto wao
WAZAZI wenye watoto wanaoishi kwenye nyumba za maendeleo kisiwani Pemba, wametakiwa kuwaangalifu na kuwapiga marufuku watoto wao kuacha mtindo wa kupururuka kwa kutumia makalio, wanaposhuka ngazi za nyumba hizo.
Watoto hao wamebainika kupururuka kuanzia hata ngazi ya nne wanaposhuka chini na wakati mwengine wakiwa zaidi ya watatu jambo ambalo linaweza kusababisha maafa pindi wakianguka.
Wazkiungumza na mwandishi wa habari hizi kwa nyakati tofauti majirani wa nyumba hizo, wamesema imekuwa ni...
10 months ago
Channelten12 Jun
Wazazi na Walezi nchini wamekumbushwa umuhimu wa kutoa malezi bora kwa watoto wao ili kuwaepusha watoto kujiingiza kwenye makundi yasiyofaa
Wazazi na Walezi nchini wamekumbushwa umuhimu wa kutoa malezi bora kwa watoto wao ili kuwaepusha watoto kujiingiza kwenye makundi yasiyofaa, hususan ya utumiaji dawa za kulevya na ulevi
Mkurugenzi wa Saluni ya Chapchap Erands Antonia Munish iliyopo kigamboni jijini Dar es Salaam wakati wa hafla ya kuwafariji na kuwaweka sawa kisaikolojia waathirika wa utumiaji wa dawa za kulevya pamoja na pombe wanaopatiwa huduma ya kuboresha afya zao kwenye nyumba ya waathirika wa matumizi ya dawa ya...
4 years ago
GPL
WAZAZI WASUSA MAITI YA MTOTO WAO
3 years ago
Mwananchi26 May
Watoto 600 wapotezana na wazazi wao
3 years ago
Tanzania Daima17 Nov
Wazazi waaswa kuwalinda watoto wao
WAZAZI wametakiwa kuwapokea vizuri na kuwalea kwa maadili wanafunzi wanaohitimu kidato cha nne wakati wakisubiri matokeo yao ya kwenda kidato cha tano. Rai hiyo imetolewa jana na Mkuu wa Wilaya...
3 years ago
Habarileo31 Dec
Wazazi wahimizwa kufuatilia watoto wao
WAZAZI wametakiwa kufuatilia nyendo za watoto ili kudhibiti kuporomoka kwa maadili kunakosababishwa na utandawazi.