Mtoto mdogo ahofiwa kufariki baada ya kuzama mto Ngerengere

Mtoto wa darasa la kwanza Mkoani Pwani aliyetambulika kwa jina la Karim Salum anahofiwa kufariki Dunia baada ya kuzama wakati alipokuwa akiogelea kwenye maji ya Mto Ngerengere.

Wananchi wameendelea na jitihada za utafutaji wa mwili wa mtoto huyo ambao mpaka sasa bado haujapatikana.

The post Mtoto mdogo ahofiwa kufariki baada ya kuzama mto Ngerengere appeared first on Zanzibar24.

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Zanzibar 24

Mwili wa mtoto mdogo umeokolewa baharini Pemba baada ya boti kuzama

MWILI WA MTOTO MDOGO MWENYE UMRI KATI YA MIAKA 2 HADI 3 UMEOKOLEWA BAHARINI NA CHOMBO KILICHOKUWA KITOKEA TANGA KUJA PEMBA KUFATIA BOTI ILIO KUWA IKITOKEA TANGA KUJA PEMBA KUZAMA

WAKIZUNGUMZA NA ZANZIBAR24  BANDARINI WESHA NAHODHA NA MABAHARIA WA JAHAZI YA MASWABIRINA YENYE NAMBA ZA USAJILI T 0026 IKIONGONGOZWA NA NAHODHA ADIBU HAJI MOSI HAPA WANAELEZEA JINSI WALIVYO FANIKIWA KUKOA MWILI WA MTOTO HUYO MDOGO WAKIUME WALIOUKUTA UKIELEA HUKU WAKISIMULIA JINSI SIKU YA JANA BAHARI ILIYO KUWA...

 

1 year ago

CCM Blog

MAMIA YA WAHIJIRI WAHOFIWA KUFARIKI BAADA YA BOTI KUZAMA KATIKA BAHARI YA MEDITERANIA

Wahajiri zaidi ya 200 wanahofiwa kuwa wamefariki dunia katika bahari ya Mediterania katika muda wa juma hili, kulingana na ushahidi uliotolewa na manusura na baada ya maiti kadhaa ikiwemo mtoto mdogo kuopolewa kwenye ufukwe wa pwani ya Libya.Manusura hao waliookolewa na kufikishwa Sicily nchini Italia waliwaeleza walinzi wa pwani ya nchi hiyo hapo jana kuwa zaidi ya watu 60 wanahofiwa kuwa wamekufa na viwiliwili vitatu viliopolewa siku ya Jumamosi.

Hata hivyo baadhi ya manusura...

 

5 years ago

Habarileo

NEMC yasema maji ya Mto Ngerengere si salama

BARAZA la Taifa la Usimamizi na Hifadhi ya Mazingira (NEMC) limesema vipimo vya maji machafu yanayotoka katika viwanda vilivyopo eneo la Kihonda Manispaa ya Morogoro na kuelekezwa Mto Ngerengere, yamekuwa na kemikali zenye sumu ambayo ni hatari kwa maisha ya viumbe hai wanaotumia maji hayo.

 

2 months ago

BBCSwahili

Mtoto azaliwa miaka 4 baada ya wazazi wake kufariki

Mwanamke aliyebeba uja uzito alimzaa mtoto huyo kutokana na mayai yaliogandishwa ya wazazi hao kabla wafariki katika ajali ya barabarani 2013.

 

1 year ago

Zanzibar 24

Mtoto wa kike apoteza maisha baada ya kuzama kwenye ndoo ya maji

Mtoto mmoja wa kike mwenye umri wa mwaka mmoja na nusu Khadija Said Mbaruok mkaazi wa Kichunjuu shehia ya Mizingani wiliya ya mkoani mkoa wa kusini Pemba amefariki dunia baada ya kuzama katika ndoo iliyokua na maji. 
Tukio hilo limetokea jana majira ya saa 12:45 maghribi mara baada ya mama mzazi wa mtoto huyo Fatma Hafidh alipokua akisali na baada ya kumaliza na kutoka nje ndipo alipomuona mtoto wake akiwa katika ndoo hiyo.

Akizungumza kwa majonzi baba mzazi wa mototo huyo Saidi Mbarouk...

 

2 months ago

BBCSwahili

Chemsha bongo: Kisa cha mtoto aliyezaliwa miaka minne baada ya wazazi wake kufariki kilitokea nchi gani?

Je, umefuatilia habari zilizochapishwa na BBC Swahili kikamilifu wiki hii mtandaoni? Pima ufahamu wako na uwezo wako wa kukumbuka kwa kujibu maswali yafuatayo.

 

1 year ago

Zanzibar 24

Watu wanne wahofiwa kufariki Dunia kwa kuzama maeneo ya Kibonde mzungu

Kwa habari zilizotufikia muda huu ni kwamba Watu wanne wahofiwa kufariki Dunia kwa kuzama maeneo ya Kibonde mzungu.

Tutaendelea kukujuulisha habari hizi zinayoendelea

The post Watu wanne wahofiwa kufariki Dunia kwa kuzama maeneo ya Kibonde mzungu appeared first on Zanzibar24.

 

2 years ago

Bongo5

Video: Shilole Ft Man Fongo – Mtoto Mdogo Mdogo

Msanii Shilole ameachia video yake mpya ya wimbo “Mtoto Mdogo Mdogo”, akiwa amemshirikisha Man Fongo. Video imefanywa na director Khalfani.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!Share on Whatsapp

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani