Mtoto wa miaka mitatu apoteza maisha baada ya kutumbukia kwenye shimo Unguja

Ismail Makame Juma mwenye umri wa miaka mitatu amefariki dunia  papo hapo baada ya kutumbukia kwenye shimo la karo lilojaa maji nyuma ya nyumba Huko Chaani Ketwa Mkoa wa Kaskazini Unguja.


Akitoa maelezo juu ya tukio hilo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kaskazini Unguja Haji Abdallah Haji amesema kuwa tukio hilo limetokea 12-05-2019 majira ya saa nne asubuhi huko chaani Ketwa. “ametumbukia mtoto wa kiume mwenye umri miaka mitatu katika shimo la karo lilopo nyuma ya nyumba”amesema Kamanda...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Zanzibar 24

Mtoto wa mwaka mmoja apoteza maisha baada ya kutumbukia kwenyeshimo lililo jaa maji Unguja

Taarifa kutoka kwa watu wakaribu ya eneo hilo nakuthibitishwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kaskazini Unguja Hasina Ramadhan Tawfiik imeeleza kuwa mtoto huyo ametumbukia katika shimo lililo jaa maji lililochimbwa kwaajili ya kukandikia nyumba hapo jana majira ya saa sita za mchana huko Chaani Kubwa Mkoa wa Kaskazini Unguja.

Kamanda Hasina amemtaja marehemu huyo kuwa ni Suleiman Mussa Silima ambae anaumri wa mwaka mmoja na miezi sita amefariki Dunia alipokua ameingia katika shimo ambalo...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Mtoto wa kike apoteza maisha baada ya kuzama kwenye ndoo ya maji

Mtoto mmoja wa kike mwenye umri wa mwaka mmoja na nusu Khadija Said Mbaruok mkaazi wa Kichunjuu shehia ya Mizingani wiliya ya mkoani mkoa wa kusini Pemba amefariki dunia baada ya kuzama katika ndoo iliyokua na maji. 
Tukio hilo limetokea jana majira ya saa 12:45 maghribi mara baada ya mama mzazi wa mtoto huyo Fatma Hafidh alipokua akisali na baada ya kumaliza na kutoka nje ndipo alipomuona mtoto wake akiwa katika ndoo hiyo.

Akizungumza kwa majonzi baba mzazi wa mototo huyo Saidi Mbarouk...

 

3 years ago

Dewji Blog

NEWS ALERT: Mtoto wa miaka 5 apoteza maisha baada ya kubakwa na watu wasiojulikana Mkoani Kigoma!

Kamanda wa Polisi mkoani Kigoma SACP Ferdinand Mtui akizungumzia tukio la mtoto kubakwa.2

Kamanda wa Polisi Mkoani Kigoma SACP Ferdinand Mtui akizungumza na waandishi wa Habari (hawapo pichani) juu ya tukio la kubakwa kwa mtoto wa miaka 5, lililotokea jana mkoani humo. (Picha na mwanahabari wetu)

Na Mwandishi Wetu

[KIGOMA] Mtoto mmoja alitambulika kwa  majina, Asifiwe Amos mwenye miaka mitano (5) na mkazi wa kijiji cha Katuguru Wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma amefariki dunia baada ya kubakwa na watu wasiojulikana na kupelekea kifo chake hicho.

Akizungumza na Waandishi wa...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Mtoto wa miaka 3 akutwa amefariki ndani ya shimo la karo Unguja

Tukio hilo limetokea juzi jioni huko Kwamtipura mkoa wa Mjini Magharib Unguja ambapo mtoto huyo alitoweka nyumbani kwao na hakuonekana hadi siku yapili yake kwani alikutwa ndani ya shimo la karo akiwa amepoteza maisha.

Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mjini Unguja Hassan Nassir Ali amemtaja marehemu huyo kuwa ni Nakhla Ameir Muhammed na kwayule aliesababisha kufanya uzembe wa tukio hilo hatua za kisheria zitachukuliwa zaidi yake.

“Hatuwezi kuchukua mabati mabovu...

 

4 years ago

Dewji Blog

Mtoto Tabia Mkulukute apoteza maisha baada ya kugongwa na gari na kuzikwa leo Bunju A

Mtoto Tabia ambaye aliyegongwa na gari Pichani mwenye gauni la njano, enzi ya uhai wake.


Gari la  Ofisa Mtendaji Mtaa wa Bunju ‘B’ Abdillah Mkeyenge lilivyoharibiwa.

Ofisa Mtendaji Mtaa wa Bunju ‘B’ Abdillah Mkeyenge  akizungumza na wanahabari mkasa ulivyo tokea kama alivyoona.

2 (3)

Maeneo ya jirani ya kituo hicho taswira ilivyokuwa ikionekana.

Wananchi wakiwa ng’ambo ya Barabara wakiangalia jinsi kituo kilivyochomwa moto.

Mwanahabari Jamaly Hashimu wa kituo cha TBC akipata taarifa...

 

5 years ago

Michuzi

RIDHIWANI KIKWETE AHANI MSIBA WA WATOTO WAWILI WALIOPOTEZA MAISHA BAADA YA KUTUMBUKIA KWENYE KISIMA CHA MAJI,KIWANGWA

 Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM,Ridhiwani Jakaya Kikwete (kushoto) akiwa na Bw. Geofrey Nestory pamoja na Mkewe,Renata Pascal ambao ni Wazazi wa Watoto wawili,Jesca Geofrey (5) na Redempta Geofrey (2) waliopoteza maisha hivi karibuni kwa kutumbukia kwenye kisima cha maji,wakati alipofika Nyumbani kwa wazazi hao ambao ni Wakazi wa Kijiji cha Msinune,Kata ya Kiwangwa leo Machi 22,2014 kuhani msiba wa Watoto hao.Wazazi hao walimueleza Ndg....

 

3 years ago

Michuzi

MTOTO WA MIAKA MITATU AFARIKI DUNIA PAPO HAPO BAADA YA KUGONGWA NA GARI.

 JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA LINAWASHIKILIA WATU WAWILI KWA KOSA LA KUPATIKANA NA BHANGI.Katika Tukio la Kwanza:

Mtoto wa miaka mitatu aliyefahamika kwa jina la JANET PONSIAN mkazi wa Matemela Wilaya ya Mbarali Mkoani Mbeya alifariki dunia papo hapo baada ya kugongwa na Gari yenye namba za usajili T.957 CWJ aina ya Isuzu Journey ikiendeshwa na dereva aliyefahamika kwa jina la ELIABU MYEKO (33) mkazi wa Makambako Mkoa wa Njombe.


Tukio hilo limetokea mnamo tarehe 01.05.2016 majira ya saa 17:45...

 

1 year ago

Malunde

MUOSHA MAGARI AKATWA MASIKIO YOTE KWA KISU BAADA YA KULAWITI MTOTO WA MIAKA MITATU SHINYANGAKamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Shinyanga ACP Simon Haule akizungumza na waandishi wa habari leo Disemba 21,2017.-Picha na Kadama Malunde - Malunde1 blog
****Kijana aliyejulikana kwa jina la Msigala Salum (24) amekatwa masikio yote mawili baada ya kumlawiti mtoto mwenye umri wa miaka mitatu katika eneo la Majengo Mapya kata ya Lubaga manispaa ya Shinyanga mkoani Shinyanga.
Tukio hilo limetokea Disemba 20,2017 majira ya saa tatu asubuhi ambapo kijana huyo anayejishughulisha na shughuli ya...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Afariki baada ya kuzama kweye shimo lenye maji Unguja

Mtu mmoja mwanye umri wa maika 18 amefariki dunia baada ya kuzama kweye shimo lenye maji.

Tukio hilo limetokea jana majira ya saa 8 mchana huko Kiwambamvua wilaya ya Kaskazini B, mkoa wa Kaskazini Unguja.

Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo Sheha wa shehiya ya Kiwambamvua Moh’d  Ali  Ame amesema kijana huyo amezama kwa muda mrefu hadi wao kufikiwa na taarifa hiyo na baada ya kuzipata taarifa hizo aliripoti kwa Mkuu wa wilaya na vikosi vya Polisi ili kushirikiana kumuokoa kijana huyo.

Nae...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani