Mtu mmoja afariki Dunia kwa ajali ya gari

Mtu mmoja amefariki leo asubuhi na wengine 23 kujeruhiwa baada ya daladala la Gongo la Mboto kugonga treni ya Pugu saa 11 leo alfajiri katika makutano ya barabara ya Nkrumah, Kariakoo.

Kati ya Majeruhi hao 23, majeruhi  7 wako spitali ya Amana na 15 yao wako Muhimbili ambapo Kati yao watatu ni mahututi.

The post Mtu mmoja afariki Dunia kwa ajali ya gari appeared first on Zanzibar24.

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Michuzi

MTU MMOJA AFARIKI DUNIA KWA KUGONGWA NA GARI WILAYANI MOMBA.

MTU MMOJA ALIYETAMBULIKA KWA JINA LA BAKARI DAMSON(27) MKAZI WA MAJENGO AMEFARIKI DUNIA PAPO HAPO BAADA YA KUGONGWA NA GARI LENYE NAMBA ZA USAJILI ADC 3671 AINA YA TOYOTA LAND CRUISER LILILOKUWA LIKIENDESHWA NA DEREVA FRANK MATHEW SIKONGA (29) MKAZI WA CHIPAKA.
TUKIO HILO LIMETOKEA MNAMO TAREHE 15.07.2014MAJIRA YA SAA 22:00 USIKU HUKO KATIKA MTAA WA MWAKA, KATA NA TARAFA YA TUNDUMA, WILAYA YA MOMBA, MKOA WA MBEYA. CHANZO CHA AJALI BADO KINACHUNGUZWA. MWILI WA MAREHEMU UMEHIFADHIWA KITUO CHA...

 

10 months ago

Michuzi

MTU MMOJA AFARIKI DUNIA KWA AJALI YA TRENI.

MTU mmoja amefariki dunia jana  baada ya kugongwa na geti la lango la kuingilia treni Stesheni jijini Dar es Salaam, Ajali hiyo imetokea baada ya   Marehemu kunining’inia nje ya behewa wakati wa treni ya Pugu ilivyokuwa  ikitoka eneo la  stesheni majira ya jioni.
Katika Taarifa ya Kampuni ya Reli Tanzania (TRL) iliyotolewa na na Afisa ya Uhusiano Kwa niaba ya  Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TRL, Focus Makoye Sahani  imeeleza kuwa  tofauti ya usafiri wa basi ni kuwa na kondakta anaweza...

 

3 years ago

GPL

MTU MMOJA AFARIKI DUNIA BAADA YA KUGONGWA NA GARI WILAYANI MBARALI

MTEMBEA KWA MIGUU ALIYEFAHAMIKA KWA JINA LA JOFREY MWIDINDA (28) MKAZI MBUYUNI AMEFARIKI DUNIA PAPO HAPO BAADA YA KUGONGWA NA GARI LENYE NAMBA ZA USAJILI IT 3818 AINA YA TOYOTA COROLA LILILOKUWA LIKIENDESHWANA FRANK NDEGA (30) MKAZI WA SINZA JIJINI DSM. TUKIO HILO LIMETOKEA MNAMO TAREHE 30.04.2014 MAJIRA YA SAA 06:30 ASUBUHI HUKO KATIKA KIJIJI CHA MBUYUNI, KATA YA MAPOGORO, TARAFA YA RUJEWA, WILAYA YA MBARALI, MKOA WA MBEYA...

 

1 year ago

Michuzi

MTU MMOJA AFARIKI DUNIA BAADA YA GARI WALILOKUWA WAKISAFIRIA KUSHINDWA KUPANDA MLIMA NA KURUDI NYUMA

Mtu mmoja mkazi wa Mbangala – Chapwa wilaya ya Momba aliyefahamika kwa jina la Erasto Vickson [17] alifariki Dunia baada ya gari yenye namba za usajili T.806 ABY aina ya mitsubishi Fuso lori lililokuwa likiendeshwa na dereva aitwaye Masoud Wilson Nzowa kushindwa kupanda mlima na kisha kurudi nyuma.
Tukio hilo limetokea mnamo tarehe 15.03.2016 majira ya saa 09:45 asubuhi huko mtaa wa Chapwa, kata na tarafa ya Tunduma, Wilaya ya Momba, Mkoa wa Mbeya. 
Inadaiwa kuwa, marehemu ambaye alikuwa...

 

1 year ago

Michuzi

MTU MMOJA AFARIKI DUNIA KATIKA AJALI ILIYOHUSISHA MAGARI MATATU KUGONGANA JIJINI MBEYA.

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIWIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHIJESHI LA POLISI TANZANIA.
TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA.· MTU MMOJA AFARIKI DUNIA KATIKA AJALI ILIYOHUSISHA MAGARI MATATU KUGONGANA JIJINI MBEYA.
· JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA LINAWASHIKILIA RAIA WAWILI WA NCHINI ETHIOPIA KWA KOSA LA KUINGIA NCHINI BILA KIBALI.
· JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA LINAWASHIKILIA WATU 08 KWA MAKOSA MBALIMBALI.
KATIKA TUKIO LA KWANZA:MTU MMOJA [DEREVA] WA GARI LENYE NAMBA...

 

8 months ago

Zanzibar 24

Mmoja afariki kwa ajali ya gari leo asubuhi

Mtu mmoja amefariki dunia na mwengine amejeruhiwa katika ajali ya gari iliyokuwa imebeba watu  wawili wa familia moja waliokuwa wakielekea harusini Mtangani Wilaya ya Mkoani Pemba leo asubuhi.

Akizungumza na Mwanahabari wetu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kusini Pemba Mohamed Shekhan amemtaja aliyefariki dunia ni Bimkubwa Talib Omar miaka 35 na aliejeruhiwa Mariyam Talib wote wakaazi wa Msingini.

Daktari dhamana wa Hospitali ya Chake Chake Dk. Ali Habib Ali ameleza kifo cha Marehemu...

 

3 years ago

Bongo Movies

Mwongozaji wa filamu maarufu nchini George Tyson Afariki dunia kwa ajali ya gari Morogoro

Taarifa zilizotufikia hivi punde zinasema mongozaji wa filamu maarufu nchini George Otieno Tyson (Pichani) amefariki dunia kwa ajali ya gari huko Morogoro.

Taarifa hizi ambazo zimethibitishwa na watu wa karibu yake zinasema kuwa, mauti haya yamemfika baada ya gari walilokuwa wakisafiria kupata ajali na kupinduka walipokuwa wameenda kwa ajili ya kipindi cha  The mboni show ambacho yeye alikuwa ndiye muongozaji mkuu.

Wasanii na mastaa mbalimbali nchini wameoneshwa masikitiko yako juu ya...

 

1 year ago

StarTV

Ajali ya basi igunga Mtu mmoja afariki, 38 wajeruhiwa

 

Mtu mmoja amefariki dunia na wengine 38 kujeruhiwa baada ya Basi la Allys Coach lenye namba za usajili T 560 AKM lililokuwa likitokea Igunga kuelekea Mwanza kuyumba na kuanguka katika kijiji cha Igogo kata ya Nanga wilayani Igunga Mkoani Tabora.

Ajali hiyo imetokea majira ya saa 12 na nusu asubuhi na chanzo chake kikidaiwa kuwa ni mwendo kasi wa dereva kutaka kulipita gari la mizigo.

Ajali hizi zimekuwa zikigharimu maisha ya watu na wengine kuwaachia ulemavu wa kudumu,sababu zikielezwa ni...

 

2 months ago

Michuzi

MTU MMOJA APOTEZA MAISHA KATIKA AJALI YA GARI WILAYANI MAKETE


Makete: Lori lenye namba za usajili T 721 BVV lililokuwa limebeba mawe likiwa limepinduka katika kijiji cha Masisiwe na kusababisha majeruhi na kifo cha mtu mmoja ambaye alikuwa katika lori hilo
Taarifa za awali kutoka eneo la tukio zinasema kuwa lori hilo lilipoteza muelekeo ghafla kisha likaanza kupinduka kwa kubiringika mara kadhaa umbali unaokadiriwa kuwa zaidi ya mita 80 kutoka barabarani
Ajali hiyo inadaiwa kutokea kati ya saa nane na saa tisa alasiri hii leo


Baadhi ya mashuhuda...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani