MTU WA PWANI: Hivi Olunga na Aishi Manula wanaishi dunia moja?

NI nadra sana kwa mwanadamu kufanikiwa kutokana na juhudi za mtu mwingine. Kufanikiwa au kufeli kwa mwanadamu kwa asilimia kubwa huchangiwa na mipangilio na juhudi zake binafsi.

Mwanaspoti

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

MillardAyo

DONE DEAL: Aishi Manula amehama Azam FC leo

Baada ya tetesi za muda mrefu kuhusiana na golikipa wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars anayeichezea club ya Azam FC Aishi Manula kuhusishwa kuwa muda wowote anaweza ihama club hiyo na kwenda kujiunga na Simba huku Singida United ikitajwa kumuwania pia. Leo June 11 2017 taarifa kutoka katika mtandao wa habari za michezo […]

The post DONE DEAL: Aishi Manula amehama Azam FC leo appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

Mwanaspoti

MTU WA PWANI: Hivi Ibrahim Ajib anatambua thamani ya jezi yake?

IBRAHIM Ajib anaujua mpira na anaweza kuwa miongoni mwa wachezaji wachache wasiowachosha watazamaji iwe uwanjani au kwenye runinga, yaani kila unapomwona anacheza, unatamani uendelee kumtazama, ni mtamu kwa soka lake.

 

3 years ago

Mwananchi

Watanzania milioni moja wanaishi ughaibuni -Serikali

Watanzania waishio nje ya nchi wanakadiriwa kufikia zaidi ya milioni, Bunge limeambiwa.

 

2 years ago

Michuzi

Tazama matangazo ya moja kwa moja kutoka Chato Mkoani Geita Hivi sasa.


Tazama matangazo ya moja kwa moja kutoka Chato Mkoani Geita ambapo Mhe. Rais John Pombe Magufuli atashuhudia makabidhiano ya nyumba 50 za watumishi wa afya za mikoa ya Geita, Kagera na Simiyu. 
Pia atashuhudia makabidhiano ya kiwanda cha alizeti za Chato. Sherehe hizo zinahudhuriwa na Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mhe. Benjamin William Mkapa na Balozi wa Japan Mhe. Masaharu Yoshida.
 Matangazo haya yatarushwa moja kwa moja na TBC1, Azam TV, TBC Taifa, Clouds TV na kupitia tovuti rasmi ya...

 

2 years ago

Michuzi

FATILIA HAPA MOJA KWA MOJA ZIARA YA RAIS DKT. MAGUFULI MKOANI PWANI LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi wa Kibaha Maili moja katika viwanja vya Bondeni Mkoani Pwani jana, wakati akiwa katika siku ya kwanza ya ziara yake ya siku tatu Mkoani humo. leo Rais Magufuli anaendelea na ziara yake mkoani humo ambapo atazindua viwanda vitatu pamoja na mradi wa maji wa Ruvu na baadae kuongea na wananchi.
UNAWEZA KUONA KUPITIA HAPA

 

2 years ago

Michuzi

Fuatilia matangazo ya moja kwa moja (Live!!!) yatakayowajia kutoka Ikulu Dar es Salaam hivi sasa.

Matangazo haya yanahusu uteuzi wa viongozi uliofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli.
Matangazo haya yatarushwa kupitia Televisheni ya Taifa - TBC1, Redio - TBC Taifa na tovuti rasmi ya Ikulu ambayo ni www.ikulu.go.tz

 

2 years ago

Michuzi

JE WAJUA KWAMBA HAPA TANZANIA HAKUNA MTU ANAYEMILIKI ARDHI MOJA KWA MOJA?.


Na  Bashir  Yakub .

Ni  kweli ardhi  umenunua  kwa  hela  yako, ni kweli kiwanja  umetafuta  mwenyewe, ni kweli wewe  ni  Mtanzania  wala sio  mgeni,  lakini  pia  ni  kweli  ukubali  kuwa  ardhi  hiyo  unaimiliki  katika  kipindi  maalum  na  sio  moja  kwa  moja/milele.

 Hapo  ulipo  unapoita  nyumbani  kwako  unapamiliki  kwa  muda  maalum na  sio  moja  kwa  moja  kama  unavyodhani. Tanzania  hakuna  anayemiliki  ardhi  moja  kwa  moja  bali  wote  tunamiliki  kwa  muda  maalum.

Hati  ya ...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani