MTUNGI WA GESI WATEKETEZA NYUMBA DODOMA

Picha haihusiani na tukio halisi
Moto mkubwa unaosemekana umesababishwa na kulipuka kwa jiko la nishati ya gesi umeteketeza nyumba moja yenye vyumba sita iliyopo katika mtaa wa hazina x jijini Dodoma na kuharibu mali za baadhi ya wapangaji waliokuwa wakiishi ndani ya nyumba hiyo.
Wakizungumza na waandishi wa habari baadhi ya wapangaji wa nyumba hiyo Maimuna Hussein na Nickson Steven wamesema moto huo umetokea saa 3:40 asubuhi na kuteketeza baadhi ya mali zao.
Kwa upande wake Mkuu wa kikosi cha...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Habarileo

Mtungi wa gesi waua mtu Mwanza

MTU amekufa na wengine wawili kujeruhiwa baada ya mtungi wa gesi ya kuchomelea kupasuka, ambapo marehemu alikatika vipande vipande.

 

5 years ago

Michuzi

Vodacom na Oilcom wazindua promosheni ya Jishindie mtungi wa gesi

Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania kwa kushirikiana na kampuni ya Oilcom imezindua promosheni ya jishindie mtungi wa gesi, ambapo wateja wa Vodacom watakaojaza mafuta kwa huduma ya M-pesa kwenye vituo vya kampuni ya mafuta ya Oil Com watajishindia mtungi wa gesi.
Akiongea wakati wa uzinduzi wa promosheni hii leo katika kituo cha Oilcom cha mtaa wa Libya jijini Dar es Salaam ,Meneja Uhusiano wa Masuala ya Nje wa Vodacom Salum Mwalim,alisema kuwa promosheni hii imewalenga watumiaji...

 

3 years ago

Channelten

MOTO WATEKETEZA NYUMBA LINDI

14316791_1281639788527552_6783216049143570778_n
Watu watatu wamepoteza fahamu baada ya Nyumba waliyokuwa wakikutana kwa Ajili ya mchezo wa Kuweka na kukopa Kuteketea Moto na kukuta kisanduku cha Kuhifadhia Fedha zao za Kicoba kuungua moto.

Moto huo Ulionza majira ya saa 9 jioni Uliotokana na Kilichoelezwa kuwa ni Hitilafu ya Umeme kutokana na kuzimika zimika mara kwa mara Katika Maeneo mbalimbali ya Mji wa Lindi hii Leo Hali iliyosababisha akina mama 3 kupoteza Fahamu na Kukimbizwa katika Hospital ya Rufaa ya Sokoine, Manispaa ya...

 

2 years ago

Mwananchi

Moto wateketeza nyumba Sengerema

Nyumba za wavuvi ambazo idadi yake haijajulikana hadi sasa katika kisiwa cha uvuvi cha Nyamango Kata ya Bulyaheke  halmashauri ya Buchosa wilayani hapa, zinateketea kwa moto ambapo chanzo chake hakijajulikana.

 

4 years ago

Mtanzania

Moto wateketeza maduka, nyumba Tanga

pg1

NA AMINA OMARI, HANDENI
NYUMBA nane na maduka 30 vimeteketea kwa moto baada ya gari la mafuta lenye namba za usajili T 870 NFB kugonga nguzo ya umeme na mafuta kumwagika hali iliyosababisha kulipuka kwa moto.
Moto huo ulitokea jana katika eneo la Kivesa, barabara ya kuelekea Songe wilayani Handeni.
Imeelezwa kuwa chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi uliosababisha lori hilo kupinduka na mafuta kumwagika jirani na makazi ya watu kabla ya kuanza kusambaa barabarani.
Wakizungumza na MTANZANIA,...

 

5 years ago

GPL

MOTO WATEKETEZA NYUMBA TATU MWANANYAMALA

Picha tofauti zikionyesha moto ukiteketeza nyumba maeneo ya Mwananyamala, jijini Dar es Salaam Na Gabriel Ng’osha WAKAZI wa Mwananyamala katika…

 

5 years ago

Habarileo

Moto wateketeza nyumba, maduka Dar

NYUMBA moja imeteketea kwa moto na nyingine vyumba viwili wakati moto huo ulipozuka ghafla kwa nyakati tofauti jijini Dar es Salaam jana. Katika tukio la kwanza, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Camillius Wambura alisema moto uliteketeza nyumba moja yenye vyumba 12 eneo la Mwananyamala A juzi saa 5.30 asubuhi.

 

3 years ago

Global Publishers

Moto wa Ajabu Wateketeza Nyumba Tatu

nyumba kagera (3)

Baadhi ya vitu vikiwa vimeungua

KAGERA: Familia tatu ikiwemo ya Wilfrida Patrice katika Kijiji cha Omukagando Kata ya Mabira Wilaya ya Kyerwa mkoani hapa imejikuta katika wakati mgumu baada ya moto unaodaiwa ni wa ajabu kuteketeza nyumba zao tatu ndani ya siku nne.

nyumba kagera (1)Akizungumza kwa masikitiko mmoja wa wanafamilia ambaye hakutaka jina lake liandikwe gazetini alisema kuwa, tukio hilo lilijiri Ijumaa iliyopita ambapo mama yao (Wilfrida) alikuwa amekaa nje ya nyumba hiyo na baada ya muda mfupi...

 

5 years ago

Habarileo

Moto wateketeza maduka, nyumba ya Mbunge Makilagi

Askari wa Kikosi cha Zimamoto na Uokoaji mjini Dodoma wakijaribu kuzima moto uliokuwa ukiteketeza jengo lenye maduka ya bidhaa mbalimbali katika Barabara ya Nyerere, mjini humo usiku wa kuamkia juzi. (Na Mpigapicha Wetu).MOTO umezuka mjini Dodoma na kusababisha maafa katika maeneo mbalimbali ikiwemo nyumba ya Mbunge wa Viti Maalumu, Amina Makilagi iliyoteketea na mali mbalimbali.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani