Muathiriwa wa shambulio la tindi kali India apata mchumba

Mwanamke mmoja aliyejulikana kwa jina la  Lalita Ben Bansi ambae ni Muathiriwa wa shambulio la tindi kali India amefanikiwa kupata mchumba na kuolewa  huko India.

Msichana huyo mwenye umri wa miaka 26 Alifanikiwa kumpata mume baada ya kupiga simu nambari iliokoseka na kusema kufanikiwa kupata mpenzi ni kama miujiza.

“Bi Bansi alipiga simu yangu kwa bahati mbaya miezi mitatu iliyopita. Nilimpigia tena baada ya siku 15,” Bwana Singh, mwenye umri wa miaka 27, anayefanya kazi na kampuni ya CCTV...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

BBCSwahili

Mwanamke aponea mashambulizi 5 tofauti ya tindi kali India

Mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 35 amekuwa chini ya ulinzi wa polisi kufuatia mashambulizi ambayo yanatokana na mzozo wa umiliki wa mali.

 

2 years ago

Zanzibar 24

Aponea kifo baada ya kumwagiwa tindi kali.

Mwanamke mwenye umri wa miaka 35  nchini India  jimbo la Uttar Pradesh  aliye nusurika kubakwa na kundi la wanaume na matukio manne tofauti ya kutaka kushambuliwa kwa tindi kali, ameshambuliwa tena huko Lucknow nje ya makazi ya wanawake  na mtu ambaye alimwagia tindi kali.

Inadaiwa kubakwa na kundi la wanaume na kumwagiwa tindi kali mara tatu mwaka 2008, 2012 na mwaka 2013 kutokana na mgogoro wa umiliki wa mali jambo lililopelekea mwanamke huyo kuwa chini ya ulinzi wa polisi kwa usalama wa...

 

3 years ago

BBCSwahili

Amchoma kwa tindi kali baada ya kukataa kumuoa Pakistan

Mwanamme mmoja wa umri wa makamu, anatibiwa katika hospitali moja nchini Pakistan baada ya kuchomwa kwa tindi kali iliyomsababishia majeraha ya asilimia hasini.

 

3 years ago

BBCSwahili

Tindi kali yamtia mashakani katika kilabu ya ngono Australia

Mzee mmoja wa miaka 62 amekamatwa baada ya kuweka tindi kali katika chupa ya mafuta ya kulainisha kwa kiingereza 'Lubricant' katika kilabu ya ngono nchini Australia.

 

2 years ago

BBCSwahili

Watu sita wajeruhiwa kwenye shambulizi la tindi kali London

Watoa huduma za dharura waliwatibu wanaume sita katika eneo hilo na watatu kati yao wakapelekwa hospitalini

 

3 years ago

Bongo5

Aliyekuwa mchumba wa Wizkid apata ujauzito

wizkid-and-tania

Aliyekuwa mchumba wa staa wa Nigeria, WizKid, Tania Omotayo amepost picha ikimuonyesha akiwa mjamzito.

02_08075105_6e5bfc_2729405a

Ikiwa ni mwaka mmoja kupita tangu wawili hao kuvunja mahusiano yao ya kimapenzi, Tania amepost picha na kuandika, “@marveleuphoria somebody cannot eat in peace again? Well maybe sha pregnant with amala and ewedu 😁.”

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali...

 

2 years ago

Malunde

HATIMAYE MWANAUME ALIYEZALIWA BILA MAPAJA APATA MCHUMBA


Mrembo Chelsee Stuart (19) akiwa na mumewe Nathan Hrdlicka (34) wakiwa kwenye pozi la mahaba.
Mwanaume huyo aliyetambulika kwa jina la Nathan Hrdlicka (34) alimpata mpenzi wake huyo aitwae Chelsee Stuart (19) kupitia mtandao wa facebook na baadae kukutana nae mjini Santa Fe nchini Mexico na kumvisha pete ya uchumba rasmi.
Nathan mwenye urefu wa futi 4.6 alikuwa akitaniwa na watu mtaani kwake kuwa ni mbilikimo na kujikuta akikataliwa na kila mwanamke aliyejaribu kumchumbia.
Hata hivyo,...

 

2 years ago

Mwananchi

Wafuasi wa itikadi kali watajwa shambulio la Iran

Wizara ya Mambo ya Ndani nchini hapa, imesema kuwa washukiwa wa mashambulio yaliyofanyika Jumatano dhidi ya vituo muhimu vya kitaifa wanahusishwa na Waislamu wenye msimamo mkali nchini Saudi Arabia.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani