Mujuru kuanzisha chama Zimbabwe

Aliyekuwa makamu wa rais nchini Zimbabwe Joice Mujuru amethibitisha kwa chombo cha habari cha AFP kwamba ataanzisha chama chake.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

BBCSwahili

Zimbabwe:ZANU-PF chamtimua Bi Mujuru

Aliyekuwa makamu wa rais nchini Zimbabwe Joice Mujuru amefukuzwa katika chama tawala ZANU-PF.

 

4 years ago

StarTV

Zimbabwe:ZANU-PF yamtimua Bi Mujuru

Aliyekuwa makamu wa rais nchini Zimbabwe Joice Mujuru amefukuzwa katika chama tawala ZANU-PF.

Chama hicho kinasema alipanga njama za kumuondoa mamlakani rais Robert Mugabe mbali na kukiharibia jina chama hicho- madai ambayo ameyakana hapo mbeleni .

Bi Mujuru alipigana vita vya Guerilla pamoja na Mugabe miaka ya sabini dhidi ya uongozi wa weupe na alionekana kama mrithi wake,kabla ya kukosana naye mwaka uliopita swala lililomfanya kufutwa kazi kama makamu wa rais mnamo mwezi...

 

2 years ago

BBC

Zimbabwe's Tsvangirai and Mujuru in anti-Mugabe alliance

Opposition leader Morgan Tsvangirai and ex-VP Joice Mujuru will join forces in next year's poll.

 

3 years ago

BBCSwahili

Mujuru abuni chama kumpinga Mugabe

Aliyekuwa mwandani wa rais wa Zimbabwe Robert Mugabe amezindua chama chake kitakachompinga rais huyo.

 

3 years ago

BBCSwahili

Zimbabwe kuanzisha dola kama za Marekani

Taifa la Zimbabwe linatarajiwa kuchapisha dola zake kama zile za Marekani ili kukabiliana na upungufu wa fedha nchini humo.

 

5 years ago

Mtanzania

Shibuda kuanzisha chama chake

Mbunge wa Maswa Magharibi, John Shibuda

Mbunge wa Maswa Magharibi, John Shibuda

Fredy Azzah na Esther Mbussi, Dodoma

MBUNGE wa Maswa Magharibi, John Shibuda, amesema anajipanga kuanzisha chama chake au kuhamia chama mbadala ili kuwatumikia wananchi wa Maswa kisiasa baada ya kuondoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).

Amesema anawaomba radhi wananchi wa jimbo lake kwa kuinadi na kuwaletea Chadema kama chama mbadala kumbe ni bati lililotoboka na kupakwa rangi na wakati huo huo wakamfanya mgambo wakati yeye alitoka Chama...

 

3 years ago

Dewji Blog

Ma-DJ watakiwa kuanzisha chama cha kuwasimamia

Wasanii wa wanofanya kazi ya u-dijey watakiwa kujisajili katika Chama kwa lengo kujenga misingi imara ya taalum hiyo.

Hayo yamesemwa leo Jijini Arusha na Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo alipozindua chama hicho rasmi katika mkutano wa wadau wa kisekta uliyofanyika katika ofisi za Mkuu wa Mkoa ambapo alikutana na wadau mbalimbali.

“Kuanzishwa kwa chama hiki kuanashiria ni kwa kiasi gani wadau wa sekta ya sanaa wameelewa umuhimu wa kurasimisha kazi zao na hili litaongeza tija...

 

1 year ago

BBCSwahili

Sababu za Moise Katumbi kuanzisha Chama akiwa Afrika Kusini

Mfanyabiashara maarufu kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Moise Katumbi ambaye sasa amejitosa kwenye ulingo wa siasa, azindua chama chake akiwa Afrika Kusini.

 

3 years ago

Mwananchi

Profesa Lipumba: Sina mpango kuhama CUF wala kuanzisha chama

Aliyekuwa mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amesema hana  mpango wa kuhamia chama chochote pia hana mpango wa kuanzisha chama chake.  

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani