MUME AUA MKE KWA RUNGU AKIMTUHUMU KUZAA WATOTO WA KIKE TU


Na Rhoda Ezekiel - Malunde1 blog Kigoma 
Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Selina Simon mkazi wa Kijiji cha Itumbiko Wilayani Kakonko,ameuawa kwa kupigwa rungu na fimbo sehemu mbalimbali za mwili wake ikiwemo kichwani na mume wake Ndimugwanko Mlovezi mkazi wa Itumbiko aliyemtuhumu kwanini anazaa watoto wa kike tu.
Mashuhuda wa tukio hilo wameiambia Malunde1 blog kuwa tukio  mwanamke huyo amefariki dunia Aprili 20 na kuacha mtoto mchanga.
Akizungumza baada ya kufika nyumbani kwa marehemu...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Dewji Blog

Aua mke kwa rungu akimtuhumu kuchepuka

DSC03164

Kamanda wa polisi wa mkoa, Kamishina Msaidizi, ACP. Thobias Sedoyeka akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake (hawapo pichani).

Na Nathaniel Limu, Singida

WATU wawili wamekufa mkoani Singida katika matukio tofauti yaliyotokea mwishoni mwa wiki, likiwemo la mwanamke mmoja kupigwa na rungu na mumewe kutokana na kile kinachodhaniwa kuwa ni wivu wa mapenzi.

Kamanda wa polisi wa mkoa, Kamishina Msaidizi Thobias Sedoyeka alisema kuwa tukio la kwanza lililotokea kijiji cha Songambele kata...

 

1 year ago

Malunde

MUME AUA MKE WAKE KISHA NAYE KUJIUA KWA KUJINYONGA AKIMTUHUMU KUCHEPUKAMume na mke wamefariki dunia katika kijiji cha Mwagiligili mkoani Mwanza baada ya mume Kwilokeja Boniphace (35) kumuua mkewe Shija Luchagula (30) kwa kumpiga na kumnyonga kisha naye kujinyonga kwa kile kinachosemekana kuwa ni wivu wa mapenzi. 


Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Ahmed Msangi amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema mtuhumiwa wa mauaji hayo alikuwa akimtuhumu mkewe kuwa anatoka kimapenzi nje ya ndoa hali iliyopelekea ugomvi kati yao.
"Inasemekana kuwa mtuhumiwa wa mauaji...

 

3 years ago

Habarileo

Aua mke akimtuhumu kuchelewa kupika

JESHI la Polisi mkoani Manyara, linamtafuta Paulo Mahinda, mkazi wa kitongoji cha Ndaleta wilayani Kiteto mkoani humu kwa tuhuma za mauaji ya mkewe.

 

5 years ago

Habarileo

Mume aua mke kwa kisu

WATU watano wamekufa mkoani Rukwa katika matukio tofauti, akiwemo Silvia Patrick aliyeuawa na mumewe kwa kuchomwa kisu kifuani kutokana na wivu wa mapenzi. Joseph Dominick (33) baada ya kumuua mkewe huyo mwenye miaka 26, alijaribu kujiua kwa kujichoma kisu tumboni, lakini hakufa na amelazwa katika Kituo cha Afya cha Kamasamba wilayani Momba mkoani Mbeya akiwa chini ya ulinzi.

 

4 years ago

Tanzania Daima

Mume aua mke kwa wivu wa mapenzi

NEEMA Sanga (33), mkazi wa Mngeta wilayani Kilombero mkoani hapa, ameuwawa nyumbani kwake kwa kucharangwa mapanga na anayedaiwa kuwa mumewe, Laurian Labani, kwa wivu wa mapenzi. Akizungumza na Waandishi wa...

 

5 years ago

Habarileo

Mke aua mume kwa kumvunja shingo

MWANAMKE Etina Silumba (44) mkazi wa kijiji cha Mpemba wilayani Momba anashikiliwa na polisi mkoani Mbeya, kwa tuhuma za kumuua mumewe.

 

2 years ago

Mwananchi

Mume aua mke kwa kumchoma kisu

Mkazi wa Kijiji cha Kisabe kata ya Iparamasa, Sikujua Ally (21) anadaiwa kuuawa na mumewe, Elias Laurent (25) kwa kumchoma  kisu tumboni kisha na yeye kujiua.

 

3 years ago

Mwananchi

Mke aua mume kwa kumchoma kisu shingoni

Mwanamke wa Kijiji cha Nyamatoke wilayani Serengeti, anashikiliwa na polisi kwa tuhuma ya kumuua mume wake kutokana na wivu wa mapenzi.

 

1 year ago

Malunde

MUME AUA MKE KWA KUMCHOMA KISU KUTOKANA NA WIVU WA MAPENZI


Mkazi wa barabara ya Sikonge mkoani Tabora, Kapezi Fundikira (28) ameuawa kwa kuchomwa kisu na mume wake kutokana na wivu wa mapenzi. 
Kamanda wa Polisi, Mkoa wa Tabora, Wilbroad Mutafungwa alisema tukio hilo ni la Desemba 26, mwaka huu asubuhi katika eneo la barabara ya Sikonge.
Kwamba chanzo cha mauaji hayo ni wivu wa mapenzi. Alimtaja mume wa Kapezi kuwa ni Issa Hamisi na kwamba baada ya kutenda mauaji hayo, alikimbia na juhudi za jeshi la polisi za kumtafuta zinaendelea.
Alisema polisi...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani