MUME WA ZARI DIAMOND PLATNUMZ ATOA NENO KIFO CHA MZAZI MWENZA NA ZARI IVAN

Alfajiri ya leo May 25, 2017 ziliripotwa taarifa za kifo cha aliyekuwa Baba wa watoto wa Zari The Boss Lady Ivan Semwanga ambaye ni mfanyabiasha maarufu kutoka Uganda.
Watu mbalimbali wametuma salamu zao za rambirambi kwa msiba huo akiwemo Diamond Platnumz ambaye ni mpenzi wa sasa wa Zari na wakiwa na watoto wawili, Diamond aliweka picha ya mshumaa na kuandika maneno manne ‘mbele yako, nyuma yetu‘

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

MillardAyo

Maneno ya Diamond baada ya kifo cha Ivan, mzazi mwenzake na Zari

Alfajiri ya leo May 25, 2017 ziliripotwa taarifa za kifo cha aliyekuwa Baba wa watoto wa Zari The Boss Lady Ivan Semwanga ambaye ni mfanyabiasha maarufu kutoka Uganda. Watu mbalimbali wametuma salamu zao za rambirambi kwa msiba huo akiwemo Diamond Platnumz ambaye ni mpenzi wa sasa wa Zari na wakiwa na watoto wawili, Diamond aliweka picha […]

The post Maneno ya Diamond baada ya kifo cha Ivan, mzazi mwenzake na Zari appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

Malunde

UJUMBE WA TAJIRI WA UGANDA IVAN 'MUME WA ZAMANI WA ZARI' KABLA YA KIFO CHAKE

Leo May 25, 2017 zimeripotiwa taarifa za kifo cha Ivan Semwanga “Ivan Don” mfanyabiashara maarufu kutoka nchini uganda na aliyekuwa mume wa mrembo Zari the Boss Lady, ambaye amefariki baada ya kuugua ghafla takriban wiki moja sasa.
Taarifa za kifo cha Ivan zimethibitishwa na Zari ambaye alizaa naye watoto watatu wa kiume, alikuwa akijulikana zaidi kutokana na kuwa na uwezo mkubwa kifedha, aina ya maisha aliyokuwa akiishi ikiwemo kutoa misaada ya fedha kila mwezi kwa watu wenye matatizo...

 

2 years ago

Bongo Movies

Zari Asimulia Alivyokiona Kifo cha Ivan

SIKU chache baada ya mfanyabiashara maarufu nchini Uganda, Ivan Ssemwanga ‘Ivan Don’ kuzikwa, aliyekuwa mkewe Zarina Hassan ‘Zari the Boss Lady’ ameeleza namna alivyokiona kifo cha Ivan Don.

Zari akiwa na Ivan enzi za penzi lao

Akizungumza na mtandao mmoja wa burudani, Zari alisema alipewa taarifa na madaktari mapema baada ya hali ya Ivan kubadilika.

Zari alikuwa akijibu swali aliloulizwa na mtandao huo iwapo tetesi kuwa aliyekuwa mumewe Ivan alikufa kwa sumu au lah.

“Ivan alikuwa na presha...

 

2 years ago

Malunde

DIAMOND PLATNUMZ KUHUDHURIA MAZISHI YA MUME WA ZAMANI WA ZARI?

Mwanamuziki,Diamond Plantinumz  alikuwa  nchini Kenya kwa ajili ya tamasha la Koroga ambalo lilifanyika jana  Jumapili Mei 28,2017

Diamond aliwahutubia wanafunzi wa chuo kikuu cha Nairobi na kuzungumzia kifo cha aliyekuwa mme wa mkewe wa sasa, Ivan Ssemwanga
Ssemwanga alifariki akiwa amelazwa katika hospitali moja nchini Afrika Kusini baada ya kukumbwa na mshtuko wa moyo****Mwanamuziki, Diamond Plantinumz amezungumzia kifo cha aliyekuwa mme wa mkewe ,Zari Hassan ambaye alifariki juma...

 

3 years ago

Bongo5

Diamond atoa sababu ya kukacha All White Party ya Zari, adai hamwogopi Ivan

12331821_581056238708518_2014578137_n

Diamond Platnumz alikuwepo, Kampala, Uganda usiku ambao Zari alikuwa akifanya party yake ya All White lakini hakutokea. Ex wa Zari, Ivan Ssemwanga na wapambe wake walikuwepo. Watu walihisi kuwa Diamond aliogopa kwenda kumpa kampani mama wa mtoto wake Tiffah ili kuepusha shari na kambi ya Rich Gang ya Ivan.

12393995_452078625002488_1209409778_n

Hata hivyo muimbaji huyo wa Utanipenda amedai kuwa hakukacha party hiyo bali makubaliano aliyokuwa nayo na promota wa show yake ya Ijumaa (siku moja baada ya all white party) yalimtaka...

 

2 years ago

MillardAyo

Baba mzazi wa Zari aelezea alivyoguswa na msiba wa Ivan

Mfanyabiashara maarufu Uganda Ivan Ssemwanga ‘Ivan Don’ ambaye alikuwa mume wa zamani na baba watoto wa Zari the Boss Lady, hatimaye amezikwa Kampala, Uganda May 30, 2017 huku akiacha simanzi nyuma yake…mmoja wa watu waliohuzunishwa na kifo hicho ni Mzee Hassan baba yake Zari ambaye alimuelezea Ivan. “Msiba umenigusa sana. Nilipoanza kusikia eti mtoto wangu aliteleza kwa ajili […]

The post Baba mzazi wa Zari aelezea alivyoguswa na msiba wa Ivan appeared first on...

 

2 years ago

MillardAyo

Maneno ya Wema Sepetu baada ya kifo cha Mzazi mwenzake na Zari

Kifo cha mfanyabiashara maarufu na aliyekuwa mume wa Zari The Boss lady, Ivan Semwanga ni moja kati ya habari zinazozungumzwa sana kwenye mitandao ya kijamii kwa kugusa hisia za wengi. Baada ya Zari kuthibtisha kifo cha aliyekuwa mume wake, watu mbalimbali wamekuwa wakituma salamu zao za pole kwa familia wakionesha kusikitika kwa kuguswa na msiba […]

The post Maneno ya Wema Sepetu baada ya kifo cha Mzazi mwenzake na Zari appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

Zanzibar 24

Mume wa zamani wa Zari “ Ivan Don” kuzikwa leo

Jumatatu hii mwili wa Ivan Ssemwanga kuagwa na kufanyiwa ibada takatifu, mama wa watoto watatu  Zari Hassan apata nafasi ya kuzungumza machache na waliohudhuria.

Katika misa ya mazishi iliyofanyika kwenye kanisa la Namirembe mijini Kampala, Uganda Jumatatu hii, Zari alionekana akiwa ametulia na akizungumza na wanawena wakati alipopewa nafasi hiyo ya kuzungumza mama huyo alisema haya-:

“Sitomhuzunikia Ivan,” alisema. “Nitasherehekea maisha yake. Muda mrefu, tulitengana kwasababu ya tofauti...

 

2 years ago

Malunde

Tanzia: MAMA MZAZI WA ZARI THE BOSS LADY 'MAMA MKWE WA DIAMOND PLATNUMZ' AFARIKI DUNIA

Mama mzazi wa Zari The Boss Lady ambaye ni mpenzi na mzazi mwenza wa mwimbaji wa Bongofleva Diamond Platnumz amefariki dunia asubuhi hii baada ya kuumwa.
Kupitia Instagram yake asubuhi hii Zari amethibitisha kifo cha mama yake akiandika>>>”It’s with deep sorrow that my family and I announce the death of our lovely mother who passed on this morning. May her soul rest in peace, May Allah forgive you your sins and grant you Jana. You will forever be loved our Old Sun, us as your kids were given...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani