Museveni amtaka rais wa Burundi kuzungumza na wapinzani wake

Rais wa Uganda Yoweri Museveni ametoa wito kwa mwenzake wa Burundi Pierre Nkurunziza kuheshimu Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), mpatanishi katika mgogoro unaondelea kuikabili nchi yake, na kuzungumza na upinzani ulio nje ya nchi.

RFI

Read more


Habari Zinazoendana

4 weeks ago

RFI

Museveni ajitetea kuhusu mkutano wake na wapinzani wa Kagame

Rais wa Uganda Yoweri Museveni amevunja ukimya wake kuhusu madai ya kukutana na mfanyibiashara, raia wa Rwanda Tribert Rujugiro Ayabatwa, ambaye inaelezwa ndiye chanzo cha mvutano kati ya mataifa hayo mawili jirani.

 

3 years ago

BBCSwahili

UN: Burundi inawatesa wapinzani wake

UN inasema kuwa idadi ya watu wanaoteswa na serikali nchini Burundi imeongezeka maradufu katika kipindi cha miezi mitatu ya kwanza mwaka huu

 

4 years ago

Mwananchi

Rais Museveni hafai kupatanisha Burundi

Neno “PIERRE” kwa Kifaransa lina maana ya jiwe na “NKURUNZIZA” kwa Kihutu lina maana ya habari njema. Mwaka 2005 Pierre Nkurunziza alikuwa “jiwe” lililowapa Warundi “habari njema” alipochaguliwa kuwa rais wa Burundi baada ya miaka mingi ya mapigano ya wenyewe kwa wenyewe.

 

7 days ago

CCM Blog

RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WATEULE WAKE.


Rais Dkt. John Magufuli akizungumza na Wakuu wa Mikoa, Makatibu Tawala wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri na Makatibu Tawala wa Wilaya Ikulujijini Dar es Salaam.

  


Dkt. Magufuli akiwa katika picha na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi pamoja na Wakuu wa Mikoa, MakatibuTawala wa Mikoa Ikulujijini Dar es Salaam.

 

Dkt. Magufuli akiwa katika picha na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim...

 

2 years ago

RFI

Rais Museveni aitaka EU kuacha vitisho dhidi ya Burundi na EAC

Mkutano maalumu wa wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki umetamatika jijini Dar es Salaam nchini Tanzania, huku viongozi hao wakiutaka umoja wa Ulaya kutoingilia masuala ya ndani ya kwenye nchi za ukanda.

 

4 years ago

Michuzi

RAIS MUSEVENI ATEULIWA KUWA MSIMAMIZI WA KUONGOZA JUHUDI ZA UPATANISHI MGOGORO WA BURUNDI

Taarifa ya makubaliano toka kwa Wakuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki imetolewa leo Ikulu Dar es Salaam wakati wa kuhitimisha Mkutano wa siku mbili wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya hiyo ambapo baadhi ya maadhimio waliyokubaliana ni kwamba Rais Museveni wa Uganda awe msimamizi wa juhudi za upatanishi wa makundi nchini Humo.
Akizungumza wakati wa Mkutano huo, Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Dkt. Richard Sezibera alisema kuwa Rais wa Uganda, Mhe. Yoweri Museveni apewe jukumu la...

 

2 years ago

CCM Blog

RAIS WA UGANDA YOWERI MUSEVENI AWASILI TANGA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MWENYEJI WAKE RAIS DK. JOHN MAGUFULI

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimpokea mgeni wake Rais wa Uganda Yoweri Musevi, baada ya kuwasili katika Ikulu ya Tanga kwa ajili ya uwekaji wa jiwe la Msingi la ujenzi wa  mradi mkubwa wa usafirishaji wa Mafuta ghafi kutoka Hoima nchini Uganda mpaka katika bandari ya Tanga, kesho asubuhi. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Rais wa Uganda Yoweri Musevi, Ikulu ya Tanga, leo Rais wa Jamhuri...

 

2 years ago

Michuzi

RAIS WA UGANDA YOWERI MUSEVENI AWASILI NCHINI NA KUPOKELEWA NA MWENYEJI WAKE RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Uganda,Yoweri Kaguta Museveni baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataija wa Julius Nyerere,jijini Dar es Salaam.
Rais wa Uganda,Yoweri Kaguta Museveni akikagua gwaride la heshima mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere,jijini Dar.

Makamu wa Rais Mama Samia akimkaribisha Rais wa Uganda,Yoweri Museveni mara baada ya kuwasili uwanja wa ndege mapema...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani