Museveni na Bashir kuzungumza kuhusu Sudan K

Rais wa Uganda Yoweri Museveni anatarajiwa kuzuru nchini Sudan siku ya jumanne kwa mazungumzo na rais Omar El Bashir ikiwa ni ziara yake ya kwanza kwa taifa hilo jirani tangu mwaka 2005.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

3 months ago

RFI

Museveni amtaka rais wa Burundi kuzungumza na wapinzani wake

Rais wa Uganda Yoweri Museveni ametoa wito kwa mwenzake wa Burundi Pierre Nkurunziza kuheshimu Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), mpatanishi katika mgogoro unaondelea kuikabili nchi yake, na kuzungumza na upinzani ulio nje ya nchi.

 

4 years ago

BBC

Bashir re-elected Sudan leader

Sudan's President Omar al-Bashir, accused of war crimes in Darfur, is re-elected with 94% of the vote, official results say.

 

3 years ago

BBC

Sudan's Bashir 'to step down in 2020'

Sudan's President Omar al-Bashir tells the BBC he will step down in 2020 when his current term ends, and denies recent reports of abuses in Darfur.

 

3 years ago

StarTV

Museveni asimamisha msafara kisha aketi barabarani kuzungumza na simu.

MUSE1

Rais wa Uganda bwana Yoweri Kaguta Museveni alizua kihoja katika kijiji kimoja karibu na mpaka wa Uganda na Tanzania aliposimamisha msafara wake wa magari iliapokee simu faraghani.

Amini usiamini Rais Yoweri Museveni, alishuka kutoka kwenye gari lake rasmi akachukua kiti chake na kukiweka kando kando ya barabara mpya ya Isingiro ikipitia kijiji hicho cha Kyeirumba hadi Tanzania na kupokea simu faraghani.

MUSE

Mzee Museveni kama vile baba wa taifa alitumia muda wake kufanya shughuli hiyo huku...

 

4 years ago

BBC

Sudan's Bashir reshuffles key posts

Sudanese President Omar al-Bashir forms a new government after elections boycotted by the main opposition parties and tarnished by a poor turnout.

 

4 years ago

TheCitizen

S.Africa bans Sudanís al-Bashir from leaving

Johannesburg. A South African judge yesterday banned Sudanese President Omar al-Bashir from leaving the country after the International Criminal Court called for him to be arrested at a summit in Johannesburg.

 

4 years ago

BBCSwahili

Bashir amewasili mjini Khartoum Sudan

Rais Omar al-Bashir amewasili nchini Sudan kutoka Afrika Kusini licha ya mahakama nchini humo kutaka kumzuia hadi kesi dhidi yake isikizwe

 

4 years ago

BBC

Sudan election: Will Bashir be snubbed by his people?

Will Sudan's leader be snubbed by his people at the polls?

 

4 years ago

BBCSwahili

Bashir kugombea tena urais Sudan

Chama tawala nchini Sudan kimemteua Rais Omar al-Bashir kuwa mgombea wake katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Aprili mwaka ujao.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani