Music: AT – Ayo kwa Ayo

AT

Msanii AT King wa Mziki wa Mduara kutoka Zanzabar ameachia wimbo mpya unaitwa “Ayo kwa Ayo” Producer Fraga

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

MillardAyo

3:38 Polisi DSM, kuhusu Kiongozi wa CHADEMA aliyenyongwa Millard Ayo 142 views New 7:27 Mabasi ya Mwendo Kasi yanazidi kuongezwa, 70 yalivyoshushwa Bandarini leo Millard Ayo 90 views New 5:12 Nasikia kuna Mabaunsa, Hakuna baunsa mbele ya serikali’-

Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi Dr. Mwigulu Nchemba leo amefanya ziara mkoani Kagera kwa lengo la uzinduzi wa vitambulisho vya Taifa NIDA, ambapo amewasihi Watanzania kuhakikisha wanajiandikisha ili kuepukana na matatizo yanayoweza kuwakuta hapo baadae. Akiongea na wananchi Waziri Mwigulu amegusia suala la mauaji ya kada wa CHADEMA ambaye pia alikuwa Katibu wa […]

 

3 years ago

Bongo5

Music: Ayo Jay feat. Chris Brown & Kid Ink – Your Number (Remix)

Chris Brown and Kid Ink are trying to get “Your Number” as they join forces with Nigerian singer-songwriter Ayo Jay on his new remix.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!Share on Whatsapp

 

2 years ago

Bongo5

Alikiba leo kutumbuiza kwenye SXSW Music Festival, Texas akiwa na mastaa wa Jamaica, Ayo Jay na Charly Black

Hitmaker wa Aje, Alikiba, Ijumaa hii ataungana na mastaa mbalimbali kutoka pande tofauti za duniani kutumbuiza kwenye tamasha kubwa liitwalo, SXSW Music Festival.

Tamasha hilo linafanyika kwa siku kadhaa huko Austin, Texas nchini Marekani. Alikiba ni sehemu ya orodha iliyopendekezwa na tamasha jingine la Passport Experience (litafanyika Septemba 3, Atlanta, GA) lililoanzishwa na Akon pamoja na meneja wa Ludacris, Chaka Zulu.

Kwenye orodha hiyo, Kiba anaungana na mastaa wa Jamaica, Ayo Jay...

 

4 years ago

GPL

KEKI YA JOKATE KWA MILLARD AYO YAIBUA MAMBO!

‘Mtu wa Nguvu’ Millard Ayo na Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ wakifurahia jambo kwenye ‘bethidei’ yake.  Stori: Hamida Hassan na Musa Mateja/Ijumaa
Keki iliyoandaliwa na Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ kwa ajili ya kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa ‘bethidei’ ya Millard Ayo ‘Mtu wa Nguvu’ imeibua mambo kwa mashabiki wao. TUJIUNGE NYUMBANI KWA MILLARD
Ishu hiyo ilijiri Januari 26, mwaka huu ambapo Jokate alidaiwa...

 

2 years ago

Michuzi

TCRA YAZIPIGA PINI MICHUZI TV, AYO TV NA GLOBAL TV, YAANDAA KANUNI KWA TV MTANDAO

Na Sultani Kipingo, Globu ya Jamii

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imezitaka Michuzi TV, AYO TV na Global TV kusitisha huduma zao za TV mtandaoni hadi hapo kanuni za usajili rasmi ambazo mamlaka hiyo imesema inaandaa  kwa huduma hizo zitapokuwa tayari.

Barua hiyo, iliyosainiwa na Mkurugenzi Mkuu Mhandisi James Kilaba tarehe 30 January mwaka huu, imevitaka vyombo hivyo ambavyo vinapendwa sana nchini na nje ya nchi kuacha mara moja kutoa huduma za TV mtandaoni."Kwa mujibu wa section 13...

 

2 years ago

MillardAyo

Ayo TV MAGAZETI: Hasira 5 za Lowassa kwa Serikali, CCM, Madudu ya elimu Bungeni

Kila siku asubuhi ungana na AyoTV ili kusomewa habari zote kubwa kwenye Magazeti ya Tanzania  ambapo leo May 14, 2017 yupo David King, ukibonyeza play kwenye hii video hapa chini atakusomea zote kubwa za leo. ULIKOSA UCHAMBUZI WA MAGAZETI KUTOKA AYO TV MAY 13 2017? UNAWEZA KUIANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI.

The post Ayo TV MAGAZETI: Hasira 5 za Lowassa kwa Serikali, CCM, Madudu ya elimu Bungeni appeared first on millardayo.com.

 

1 year ago

MillardAyo

Ayo TV MAGAZETI: Aliyemponza Trafiki kufukuzwa asakwa, Mambo 7 yaliyomng’oa Zari kwa Diamond

Karibu Ayo TV, kila alfajiri unasomewa habari kubwa kutoka kwenye magazeti ya Tanzania ambapo cha kufanya ni kubonyeza ‘SUBSCRIBE‘ ili uwe unapata notification kila habari mpya inapowekwa. Bonyeza hapa chini kusomewa magazeti ya leo February 12, 2018 na Janeth Mesomapya  MAGAZETI: CHADEMA yazuia bao la mkono, Fuvu la miaka 100 lakutwa Ofisi za Mawakili

 

4 years ago

GPL

MILLARD AYO ATEMBELEA GLOBAL JANA

Mtangazaji wa Clouds FM, Millard Ayo (mwenye kofia) akielezwa jambo na Mhariri Kiongozi wa Championi, Saleh Ally (kushoto) alopotembelea Global Publishers jana. Aliyekaa ni msanifu kurasa, Shafii Hashim. Mhariri wa Risasi Jumamosi, Erick Evarist (kulia) akimfafanulia jambo na Millard Ayo (kushoto) na Saleh Ally (katikati).…

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani