MUSOMA VIJIJINI WAWEKA WAZI MATUMIZI MFUKO WA JIMBO

Wajumbe wa Kamati ya Mfuko wa Jimbo la Musoma Vijijini wameagizwa kuhakikisha wanakagua utekelezaji wa miradi ya kilimo ya vikundi vilivyokabidhiwa vifaa kutoka kwenye mfuko huo ili kujiridhisha.
Agizo hilo limetolewa hivi karibuni na Mbunge wa Jimbo hilo, Profesa Sospeter Muhongo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati husika wakati wa mkutano wa hadhara wa kuainisha matumizi ya fedha za Mfuko wa Jimbo kwa Awamu ya Pili uliofanyika katika kijiji cha Tegeruka, Musoma Vijijini.
Ilielezwa kwamba...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

12 months ago

CCM Blog

JIMBO LA MUSOMA VIJIJINI - WATANZANIA WENYE CHIMBUKO (ROOTS) LA MUSOMA VIJIJINI WAAMUA KUSHIRIKIANA NA NDUGU ZAO WA VIJIJINI KUTOKOMEZA UMASKINI WAO

Leo, Jumatano, 2.5.2018, Wafanyabiashara, Wafanyakazi, Wasomi na Wataalamu waliozaliwa au wazazi waliozaliwa Kijiji cha Mkirira, Kata ya Nyegina, Jimbo la Musoma Vijijini wameshirikiana na Mbunge wa Jimbo (Prof Sospeter Muhongo), Diwani wa Kata (Mhe Majira) na Wanakijiji wa Kijiji cha Mkirira kuchanga jumla ya Tshs 1.6 Milioni na Mifuko ya Saruji 238 kwa ajili ya UJENZI WA ZAHANATI YA KIJIJI CHA MKIRIRA. Michango inaendelea.

Lengo ni kukamilisha Jengo  hilo kabla ya Desemba 2018.
Jimbo...

 

3 years ago

Michuzi

Profesa Muhongo akabidhi gari Nne za Wagonjwa wilayani Musoma, Jimbo la Musoma Vijijini

Waziri wa Nishati na Madini na Mbunge wa Musoma Vijijini, Profesa Sospeter Muhongo (kushoto) akikabidhi leseni na funguo ya gari ya wagonjwa (ambulance) kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Musoma, Flora Yongolo (katikati) na anayeshuhudia ni Mkuu wa wilaya ya Musoma, Dkt. Vicent Naane (kulia). Gari hizo Nne aina ya Suzuki Maruti alizikabidhi katika  vijiji vya Masinono, Kurugee, Mugango na Nyakatende na kufikisha idadi ya gari Tano za wagonjwa alizozitoa katika Jimbo hilo.Waziri wa Nishati na...

 

2 years ago

Channelten

Prof Muhongo aendesha zoezi la matibabu bure kwa wananchi wa jimbo la Musoma Vijijini

prof

Waziri wa nishati na madini ambaye pia ni mbunge wa jimbo la musoma vijijini Prof. SOSPETER MUHONGO ameendesha zoezi la matibabu bure kwa wananchi zaidi ya mia moja hamsini kutoka vijiji vya Nyambono na Kwikuba vilivyopo Musoma vijijini mkoani Mara ambapo madaktrari bingwa watano kutoka nchini china wapo jimboni humo kwaajili ya kutoa matibabu bure kwa wananchi.

Akizungumza wakati wa zoezi la utoaji wa huduma hiyo linalofanyika kwa mara ya nne jimboni humo Prof. Muhongo amewataka wananchi...

 

1 year ago

Michuzi

JIMBO LA MUSOMA VIJIJINI - WASOMI, WAZAWA NA WAPENDA MAENDELEO WAUNGANA KUJENGA ZAHANATI BUTATA

Na Verdiana Mgoma, Msaidizi wa Mbunge

WASOMI na wananchi wapenda maendeleo waishio nje na ndani ya Kijiji cha Butata wameungana pamoja ili kufanikisha ujenzi wa zahanati katika kijiji chao ili kuondoa adha kubwa ya ukosefu wa huduma za kiafaya kijijini hapo.

Awali akizungumza na Msaidizi wa Mbunge ambae ni mwandishi wa habari hizi, Mwenyekiti wa Kijiji cha Butata Ndugu Cleophace M. Kasala ameeleza kuwa Wananchi wa Kijiji cha Butata wamekuwa na muamko katika suala la ujenzi wa zahanati...

 

4 years ago

Bongo5

Uongozi wa MDB waweka wazi ‘mkuki wa moyoni’ waliochomwa na Young Dee

Uongozi wa Millian Dollar Boys unaomiliki studio za Authentic za jijini Dar es Salaam umesikitishwa na kitendo cha ukosefu wa fadhila na shukrani, kilichofanywa na rapper Young Dee aliyekuwa chini yake. Millian Hivi karibuni Young Dee alidai kuwa uongozi huo pamoja na mambo mengine ulimzuia kuwa member wa kundi la Mtu Chee. CEO wa kampuni […]

 

4 years ago

Michuzi

ZIARA YA KATIBU MKUU NDUGU KINANA NDANI YA JIMBO LA MOSHI VIJIJINI,LEO KUUNGURUMA JIMBO LA VUNJO MKOANI KILIMANJARO

Wakazi wa  eneo la Kwa Mangi kata ya Kibosho Kati  wakimsikiliza   Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana alipokuwa akiwahutubia,Kinana aliwaeleza wananchi hao kuwa kuna baadhi ya watu wanaotaka nafasi za Uongozi wamekuwa wakijipitisha pitisha kuomba uongozi,hivyo amewaonya na kuwatahadharisha kutojipitisha pitisha kugombea nafasi za uongozi kabla ya muda kuisha na kutangazwa.  Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa  Kwa Mangi kata ya Kibosho Kati ambapo...

 

3 years ago

Mtanzania

Muhongo azindua tovuti Musoma Vijijini

muhongoNA MWANDISHI WETU, MUSOMA

MBUNGE wa Musoma Vijijini, Profesa Sospeter Muhongo (CCM), amezindua tovuti ya Jimbo la Musoma Vijijini ili wadau mbalimbali wa ndani na nje ya nchi wapate taarifa mbalimbali kuhusu jimbo hilo.

Uzinduzi wa tovuti hiyo ulifanyika katika Kijiji cha Saragana, wilayani Musoma ambapo wananchi na viongozi mbalimbali wa Halmashauri ya Musoma Vijijini walihudhuria.

“Badala ya kusubiri kuangalia runinga au magazeti, tovuti hii itasaidia shughuli mbalimbali za jimbo ikiwamo...

 

3 years ago

Michuzi

JAPAN YAWASAIDIA WANANCHI WA MUSOMA VIJIJINI

Balozi wa Japan nchini Tanzania, Masaharu Yoshida (kulia) na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Musoma, Flora Rajabu Yongolo, wakisaini hati za makubaliano ya msaada wa shilingi za Tanzania milioni 170 uliotolewa na Serikali ya Japan kusaidia Mradi wa upanuzi wa Kituo cha Afya cha Murangi kilichopo wilayani Musoma, mkoani Mara. Wanaoshuhudia (waliosimama) ni Waziri wa Nishati na Madini na Mbunge wa Musoma Vijijini, Profesa Sospeter Muhongo (kushoto) na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Mara ambaye...

 

2 years ago

Michuzi

MASHINDANO YA MITUMBWI MUSOMA VIJIJINI YAMALIZIKA

Mashindano ya Mitumbwi Musoma Vijiji yaliyoshirikisha Kata 12 yamemalizika kwa Kata ya Etaro kuibuka na ushindi na hivyo kujinyakulia fedha tasilimu milioni moja pamoja na kombe.
Mashindano hayo yaliandaliwa hivi karibuni na Mbunge wa Musoma Vijijini, Profesa Sospeter Muhongo kwa ajili ya kuuaga mwaka 2016 na kuukaribisha mwaka 2017 ambapo washindi wa pili ambao ni Kata ya Nyakatende walijinyakulia shilingi 750,000 na washindi wa tatu ambao ni Kata ya Suguti kujinyakulia shilingi 500,000 na...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani