MUUZA NYAMA ARUSHA AJINYAKULIA KITITA CHA SH MILIONI MOJA KUTOKA BIKO

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

MSHINDI WA 12 WA DROO KUBWA YA TATU MZUKA,FAINESY MATIHOLO AJINYAKULIA KITITA CHA MILIONI 65.

Fainesy Matiholo akishangilia ushindi wake wa kitita cha Milioni 65 akiwa baba na Mama yake Tabora Mjini.
Fainesy Matiholo, mkazi wa Tabora Mjini ambaye amekuwa akicheza Tatu Mzuka huku akiwaa kuwa itatokea siku aibuke msndini basi, siku hiyo ikawa ni Jumapili iliyopita ambapo akaibuka kuwa mshindi wa 12 wa droo kubwa ya Tatu Mzuka na kujinyakulia kitita cha shilingi za Kitanzania Milioni 65.
Bi. Matiholo amekabidhiwa zawadi yake ya ushindi na Mkuu wa Wilaya ya Tabora Mheshimiwa Queen...

 

2 years ago

Michuzi

Mkulima wa Handeni Tanga ajinyakulia Sh Milioni 20 za Biko


MAMBO yamezidi kunoga katika bahati nasibu ya ‘SMS’ ya Biko, ‘Ijue Nguvu ya Buku’, baada ya mkulima kutoka wilayani Handeni, mkoani Tanga, Yahaya Ally Khamis, kuibuka kidedea kwa kuzoa Jumla ya Sh Milioni 20 kutoka kwenye bahati nasibu hiyo inayozidi kushika kasi nchini Tanzania, ikiwa ni droo yake ya 15 tangu kuanzishwa kwake.

Bahati nasibu hiyo imechezeshwa leo jijini Dar es Salaam na Balozi wa Biko, Kajala Masanja kwa kushirikiana na mwakilishi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha ...

 

4 years ago

Michuzi

EFM YAKABIDHI KITITA CHA SH. MILIONI MOJA KWA SHINDI WA SHINDANO LA KUBUNI MANENO YA KANGA

 Meneja  wa Mawasiliano  Efm, Denis Ssebo akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani juu ya kumpata mshindi wa  shindano la kubuni maneno ya Kanga kupitia kipindi cha UHONDO ambacho huruka hewani kila siku za Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa sita mchana hadi saa tisa alasiri, kikiwa na Matangazaji mahiri Dina Marios, kikao hicho kimefanika leo jijini Dar es Salaam, katikati ni mshindi wa shindano hilo Sekela Richard na wakulia ni Matangazaji wa Efm  Radio Dina Marios. Matangazaji...

 

2 years ago

Michuzi

Washindi kumi wajinyakulia kitita cha Milioni 62 kutoka M-Bet

Vijana kumi kutoka mikoa mbalimbali nchini wamejinyakulia kitita cha shilingi Milioni 62, kupitia matokeo ya kubashiri mechi yanayoendeshwa na Kampuni ya M-bet.
Mmoja wa washindi kati ya kumi(10)akiongea na mtandao huu jana kwa niaba ya wenzake wakati wa hafla fupi ya kukabidhiwa hundi yao iliyofanyika jijini Dar es Salaam, Godson Nzinyangwa (28)Mkazi wa Mkoa wa Arusha amewashauri watanzania wote hususani vijana wenzake wenye umri unaoruhusiwa kisheria kujitokeza kubashiri matokeo ya mechi...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani