Mv Kazi rasmi kazini

Dar es Salaam. Wizara ya Ujenzi, Miundombinu, Mawasiliano na Uchukuzi imeahidi kuendelea kutafuta njia mbalimbali kukabiliana na changamoto ya usafiri hasa katika maeneo yanayotegemea vivuko.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Michuzi

MWENYEKITI WA UVCCM AINGIA RASMI KAZINI

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Kheri D James akisalimiana na Mtumishi wa Makao Makuu ya Umoja wa Vijana  wa CCM Bi.Sheila Alipowasili katika Ofisi ndogo ya Makao Makuu ya Umoja wa Vijana Wa CCM Upanga.
 Kaimu Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana(UVCCM) Taifa Ndg.Shaka Hamdu Shaka (kwanza kushoto)akimtambulisha Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Ndg.Kheri D James kwa Makatibu wasaidizi wakuu alipowasili ofisi ndogo za UVCCM Upanga.
 Kaimu Katibu Mkuu wa Umoja...

 

1 year ago

Malunde

OSHA YASISITIZA KADA YA USALAMA KAZINI KUTAMBULIKA RASMI

Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) unakusudia kuishawishi serikali na waajiri katika sekta binafsi hapa nchini kuitambua kada ya Usalama na Afya mahali pa kazi na kuiweka katika mfumo rasmi wa ajira.
Mpango huo uliwekwa wazi na Kaimu Mtendaji Mkuu wa OSHA Bi.Khadija Mwenda, alipowahutubia wahitimu wa Kozi ya Taifa ya Usalama na Afya Mahali pa Kazi katika hafla ya kufunga kozi hiyo Februari 23,2018 jijini Dar es salaam. Kozi hiyo pamoja na nyingine zinazohusu Usalama na Afya...

 

3 years ago

Mwananchi

AJIRA NA KAZI: Jinsi unavyoweza kujiamini ukiwa kazini

Vijana wengi nchini na hata nchi za Afrika Mashariki, wanakosa fursa nyingi za ajira kutokana na uwezo mdogo wa kujiamini, licha ya kuwa na vyeti vyenye alama nzuri ya ufaulu.

 

3 years ago

Michuzi

WAKUU WA WILAYA WA MKOA WA ARUSHA WAAPISHWA RASMI LEO TAYARI KWA KUANZA KAZI RASMI

 Mkuu mpya wa wilaya ya Arusha Mrisho Gambo akiongea na wadau mbalimbali waliouthuria katika sherehe za kuapishwa kwa wakuu wa wilaya wapya wa wilaya tano zilizopo mkoa ndani ya mkoa wa Arusha ,ambapo mkuu huyu wa wilaya aliwataka wadau mbalimbali pamoja na wananchi kumpa ushirikiano katika kufanya kazi ,huku akisisitiza kuwa swala ya siasa pamoja na mambo ya kisiasa yameisha sasa hivi ni muda wa kufanya kazi tu(Habari picha na Woinde Shizza, Arusha ) Wakuu wa wilaya za mkoa wa Arusha...

 

2 years ago

Michuzi

WATUMISHI WANNE WA WAFUKUZWA KAZI ,WATANO WAREJESHWA KAZINI – RUVUMA

BARAZA la Madiwani wa Halmashauri ya wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma limewafukuza kazi watumishi wake wanne, kutokana na makosa mbalimbali yakiwemo ya utoro kazini na kuisababishia halmashauri hiyo hasara ya shilingi milioni 46,680,000. 
 Waliofukuzwa kazi ni Mosta Ndunguru ambaye ni Afisa tabibu na Bapara Mwang’ombe Mhudumu wa afya ambapo wote kwa pamoja wamefukuzwa kwa makosa ya utoro kazini. Walioisababishia hasara halmashauri hiyo ya shilingi milioni 46,680,000 ni maofisa misitu wasaidizi,...

 

3 years ago

Bongo5

Ruge akanusha Gerald Hando na PJ kuacha kazi, azungumzia nidhamu kazini

12393597_217509611919516_1319126647_n

Mkurugenzi wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba, Alhamisi hii amekanusha uvumi ambao ulizagaa katika mitandao ya kijamii kuwa watangazaji wa kituo hicho, Gerald Hando, Abel Onesmo na PJ, wameacha kazi.
12393597_217509611919516_1319126647_n

Akizungumza katika kipindi cha Power Breakfast‬ cha Clouds Fm, Ruge amesema hana taarifa kama Gerald Hando na PJ wameacha kazi.

“Kwa nafasi yangu kama mkurugenzi, taarifa nilizonazo ni kwamba tuna mikataba na wafanyakazi hao ambayo inaisha leo tarehe 31. Sehemu kubwa ya wafanyakazi wetu...

 

12 months ago

Zanzibar 24

Aliyekaidi kuwarudisha kazini wenye elimu ya darasa la saba asimamishwa kazi

Kaimu Afisa Utumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli mkoani Tanga, Protas L Dibogo amesemamishwa kazi akituhumiwa kukaidi agizo la serikali la kuwarejesha kazini baadhi ya watumishi ambao waliondolewa kimakosa kwa kutokuwa na elimu ya kidato cha nne.

Uamuzi wa kusimamishwa kazi umetangazwa na Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo, Peter Nyalali wakati akizungumza na watumishi waliosimamishwa kazi, huku akiwahakikishia kuwarejesha kazini kama serikali ilivyoagiza.

“Masharti yanaonyesha kwamba...

 

2 years ago

Zanzibar 24

PICHA: Mkutano wa mapitio ya sheria za kazi na usalama kazini za mwaka 2005 Pemba

WashirikiI wa mkutano wa kuzifanyia mapitio sheria za kazi na usalama kazini, zote za mwaka 2005, wakiangalia sheria hizo, kwenye mkutano ulioandaliwa na Tume ya kurekebisha sheria Zanzibar, na kufanyika skuli ya sekondari Micheweni Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).

 

Mwanasheria kutoka Tume ya Kurekebisha sheria Zanzibar, Khamis Mwita Khamis akiwasilisha marekebisho ya sheria ya usalama kazini, kwa wadau wa sheria wa wilaya ya Micheweni kisiwani Pemba, wakati tume hiyo ilipokutana na...

 

3 years ago

Dewji Blog

Naibu Katibu Mkuu mpya Mambo ya Ndani aanza kazi rasmi na kuwataka watumishi kutekeleza kauli mbiu ya Hapa Kazi Tu

Pix 1

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi aliyeteuliwa hivi karibuni, John Mngodo, akijitambulisha kwa Watumishi  mara baada ya kuanza kazi rasmi  katika Wizara hiyo. Kulia kwake ni Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu, Lilian Mapfa na kushoto ni Mwenyekiti wa TUGHE,  Obedi Mbaga.

Pix 2

Mkurugenzi wa Idara ya Sheria katika Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Marlin Komba akijitambulisha mbele ya Naibu Katibu Mkuu mpya, John Mngodo (hayupo pichani) wakati wa Mkutano...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani