Mvua yajeruhi watu 19, yabomoa nyumba 40

WATU 19 wamejeruhiwa huku nyumba 40 zikiwemo madarasa manne ya Shule ya Msingi Viwandani yameezuliwa paa kutokana na mvua kubwa. Mvua hiyo ya muda mfupi iliyoambatana na upepo mkali, ilinyesha katika kata tatu za Kizumbi, Kitangili na Ibadakuli manispaa ya Shinyanga.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Habarileo

Mvua yabomoa nyumba 300 Rorya

NYUMBA 300 katika kata tano wilayani Rorya, zimeharibiwa na mvua iliyonyesha mwishoni mwa wiki.

 

2 years ago

Habarileo

Mvua yaua, yabomoa nyumba Dar

MVUA iliyonyesha jana katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam zimesababisha athari kadhaa ikiwemo kifo cha mtu aliyejulikana kwa jina la Emmanuel Maro, mkazi wa jijini humo huku nyumba kadhaa zikibomoka na maji kujaa ndani na kusababisha wakazi kuyahama makazi yao.

 

1 year ago

Mwananchi

Mvua ya siku sita yaua 10, yabomoa nyumba 44

Tathmini ya madhara yaliyotokana na na mvua zilizonyesha kwa siku sita mfululizo wiki iliyopita mkoani hapa zimeonyesha kuwa hadi sasa watu 10 wamekufa huku  nyumba 44 zikibomoka na nyingine 218 zikizingirwa na maji.

 

2 years ago

Dewji Blog

Mvua DSM yaua mmoja, yajeruhi 2 na kuharibu nyumba 82

Mvua kubwa iliyoambatana na upepo mkali iliyonyesha katika baadhi ya maeneo jijini Dar es Salaam, imesababisha kifo cha mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Mama Shani (50) na kuharibu nyumba zipatazo 82 maeneo ya Viwege Kata ya Majohe.

Taarifa hiyo imetolewa leo na Naibu Kamishna wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamanda Lucas Mkondya wakati akizungumza na waandishi wa habari, ambapo amesema pia mvua hiyo imesababisha majeruhi ya watu wawili ambao ni Rebeca Emanuel (24) na Zulfa...

 

2 years ago

Mwananchi

Mvua yajeruhi watu 10, yaacha kaya 75 njia panda

Mvua ya mawe iliyoambatana na mawe na upepo mkali, imeziacha njia panda kaya 75 huku ikiwajeruhi watu 10 wilayani hapa.

 

5 years ago

Habarileo

Mvua yaua watu, nyumba zasombwa

MVUA iliyonyesha juzi na jana, ikiambatana na upepo mkali katika mikoa mbalimbali nchini, imeleta madhara na kusababisha vifo vya watu kadhaa. Jijini Dar es Salaam, nyumba nyingi zimebomolewa na kuzingirwa na maji, na miundombinu imekatika, ikiwemo kufunikwa kwa madaraja muhimu na adha za kila aina.

 

2 years ago

Habarileo

Mvua ya dakika 30 yaua mtoto, yabomoa nyuma 20

MVUA kubwa iliyoambatana na upepo iliyonyesha kwa dakika 30 imesababisha kifo cha mtoto mmoja na watu wengine watano kujeruhiwa, huku ikibomoa nyumba zaidi ya 20 na vyumba vitatu vya Shule ya Msingi Idilo, wilayani Mpwapwa.

 

3 years ago

Mwananchi

Mvua zabomoa nyumba 358, zaacha watu 800 bila makazi

Zaidi ya watu 800 hawana makazi baada ya nyumba walizokuwa wakiishi 358 kubomolewa na mvua zilizonyesha usiku wa kuamkia jana mkoani hapa.

 

5 years ago

Habarileo

Mafuriko yabomoa nyumba 87 wilayani Bagamoyo

JUMLA ya kaya 87 katika kitongoji cha Biga Kata ya Mkange Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani, hazina mahali pa kuishi baada ya nyumba zao kubomolewa na mafuriko yaliyotokana na mvua kubwa iliyonyesha juzi.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani