Mwaka 2016 haukuboresha maisha ya wananchi- Zitto

Dar es Salaam. Kiongozi wa ACT- Wazalendo, Zitto Kabwe amesema mwaka 2016 ulikuwa wa utumbuaji na majipu na kusahau kuongoza na kuboresha maisha ya wananchi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Mwananchi

Mwaka 2016 haukuboresha maisha ya wananchi- Zitto

Kiongozi wa ACT- Wazalendo, Zitto Kabwe amesema mwaka 2016 ulikuwa wa utumbuaji na majipu na kusahau kuongoza na kuboresha maisha ya wananchi.

 

2 years ago

MillardAyo

Orodha ya vitabu alivyosoma Zitto Kabwe mwaka 2016

zitto

Upo ule usemi kwamba ukitaka kumficha jambo mtu mweusi basi weka ujumbe kwenye vitabu, hawezi kuuona na eti hilo ni jibu kwamba waafrika hatuna utaratibu wa kusoma vitabu. Hii ni tofauti kwa mwanasiasa maarufu na mbunge wa Kigoma Ujiji, Zitto Zubeir Kabwe ambaye mpaka kufikia sasa ameshasoma vitabu 53. Kupitia ukurasa wake wa Facebook, Zitto […]

The post Orodha ya vitabu alivyosoma Zitto Kabwe mwaka 2016 appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

Michuzi

MPANGO WA SAUTI ZA WANANCHI UNASAIDIA KUBORESHA MAISHA YA WANANCHI-AIDAN EYAKUZE

 Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Twaweza Bw.Aidan Eyakuze akishiriki katika kikao alipowasilisha juu ya Mapango wa Sauti za Wananchi unaotekelezwa na Taasisi hiyo, ambapo alisema kwa kiasi kikubwa mpango huo umesaidia kuinua maisha ya watanzania hasa kwenye maeneo ya Sekta ya Afya na Mawasiliano.Wakati wa Vikao vya Mkutano wa Nne wa Mpango wa Uendeshaji wa Serikali kwa Uwazi(OGP) Nchini Ufaransa, Kushoto ni Mshiriki wa Mkutano huo Bw. Badru Rajabu. Wajumbe wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji...

 

4 years ago

Mwananchi

Zitto: Maisha yetu hatarini

Siku moja kabla ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) kuwasilisha bungeni, ripoti ya uchunguzi wa IPTL kuhusu ufisadi katika akaunti ya Escrow, Mwenyekiti wa kamati hiyo, Zitto Kabwe amesema amekuwa akipata vitisho ili kuzuia ripoti hiyo.

 

2 years ago

Bongo Movies

Zitto Alia na Serikali Ugumu wa Maisha

Mbunge wa Kigoma Mjini kwa tiketi ya ACT Wazalendo Mhe. Zitto Kabwe amefunguka na kuililia serikali juu ya ukali wa maisha nchini kufuatia gharama za maisha kupanda.

Zitto Kabwe

Mhe. Zitto Kabwe ameitaka serikali ifanye juhudi na jitihada kupunguza au kumaliza kabisa ukali wa maisha kwa wananchi kwani

“Mtwara unga wa ugali ( sembe) Sasa tshs 2000 – 2200 kwa kilo moja. Gharama za maisha ya mwananchi zimeongezeka sana kutokana na uhaba wa chakula maeneo mengi ya nchi yetu. Juhudi zifanyike...

 

2 years ago

Mtanzania

MWAKA 2016 WAWEKA REKODI YA KUWA MWAKA WENYE JOTO ZAIDI

pic ukameKiwango cha joto kwa mwaka 2016 kimeweka rekodi yakuwa ni mwaka wa joto zaidi ukilinganisha na miaka ilyopita kama vile 2015.

Kwa mujibu wa tawkimu kutoka Shirika la Anga la Marekani (NASA) na Ofisi ya Hali ya Hewa ya Uingereza (UK Met Office) zimeainisha hali ya joto kidunia imeongezeka mara dufu mwaka 2016 kutokana na dunia kukumbwa na kipindi cha El Nino.

Kwa mujibu wa wanasayansi, El Nino ni hali ya kuongezeka kwa joto kwenye mstari wa Ikweta katika bahari ya Pacific, kipindi ambacho...

 

2 years ago

Dewji Blog

UNICEF: Mwaka 2016 ulikuwa mwaka wa mateso kwa watoto nchini Syria

Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) limesema mwaka 2016 ulikuwa mwaka mbaya kwa watoto nchini Syria, kwa kuwa mamia ya watoto waliuawa wakati watoto zaidi ya milioni sita nchini humo wakiishi kwa kutegemea misaada ya kibinadamu huku 250,000 wakikosa misaada hiyo.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na shirika hilo siku ya Jumatatu ya Machi 13, 2017, watoto 652 walikufa katika vita inayoendelea hadi sasa ambapo siku ya Jumatano itaingia mwaka sita.

“Kiwango cha mateso...

 

3 years ago

BBCSwahili

Mwaka 2016 'una uwezo' wa kuvunja rekodi ya mwaka wenye joto zaidi ulimwenguni

Mwaka 2016 unadhaniwa kuwa mwaka wenye joto zaidi ulimweguni ,kulingana na data za hapo awali

 

2 years ago

Channelten

Mwaka mmoja katika kuifufua ATCL, Wafanikiwa kupunguza hasara kwa mwaka 2016/17

ATCL+picha

Shirika la Ndege la Tanzania ATCL limefanikiwa kupunguza hasara iliyopatikana mwaka wa fedha 2015/16 ya shilingi billioni ishirini hadi kufikia shilingi billioni 4.4 katika mahesabu yake ya mwaka wa fedha 2016/17 ikiwa ni mwaka mmoja tu toka serikali ianze rasmi jitihada za kulifufua shirika hilo Octoba mwaka jana.

Aidha maboresho hayo yamechangia kukuwa kwa biashara ndani ya shirika hilo, ambapo hivi sasa ATCL inamiliki soko la ndani kwa asilimia 24.

Mkurugenzi mkuu wa shirika la ndege la...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani