MWAKYEMBE ATEMBELEA KAMBI YA SERENGETI BOYS LEO JIJINI DAR

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Ndugu Dr. Harrison Mwakyembe, Leo Jumamosi Januari 20, 2018 ameitembelea timu ya Taifa ya Vijana chini ya miaka 16 Serengeti Boys iliyopo kambini kwenye hostel za Makao Makuu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF na kuwaachia ujumbe wa Serikali. 
Dr. Mwakyembe akitoa salamu za Serikali amewaambia Vijana wanaounda timu hiyo kuwa serikali inawaamini na wanalo jukumu la kuipeperusha vyema bendera ya Tanzania. 
Amewataka kupambana kwa ajili ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

MillardAyo

PICHA 8: Waziri Mwakyembe amewapokea Serengeti Boys leo

Timu ya taifa ya Tanzania ya vijana chini ya umri wa miaka 17 maarufu kama Serengeti Boys imewasili Tanzania leo ikitokea Gabon ilipokuwa inashiriki michuano ya mataifa ya Afrika kwa vijana chini ya umri wa miaka 17 (AFCON U-17). Serengeti Boys wamewasili Tanzania leo baada ya kutolewa na Niger kwa sheria ya head to head […]

The post PICHA 8: Waziri Mwakyembe amewapokea Serengeti Boys leo appeared first on millardayo.com.

 

11 months ago

CCM Blog

WAZIRI MWAKYEMBE ATEMBELEA OFISI ZA UHURU PUBLICATIONS LTD JIJINI DAR ES SALAAM, LEO

 Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Dk. Harrison Mwakyembe  (mwenye suti) akiongozwa na Meneja rasilimali Watu ambaye pia ni Kaimu Mhariri Mtendaji wa Uhuru Publications Ltd, Wachapshaji wa Magazeti ya Uhuru, Mzalendo na Burudani Rhoda Kangero na baadhi ya viongozi wa kampuni hiyo kwenda ofisini alipowasili, leo
 Waziri wa Habari, Sanaa, Utamadini na Michezo Dk harrison Mwakyembe  (mwenye suti) akiongozwa na Meneja rasilimali Watu ambaye pia ni Kaimu Mhariri Mtendaji wa Uhuru...

 

2 years ago

Mwananchi

Kambi ya Serengeti Boys yamkuna Kim

Mkuu wa Kitengo cha Ufundi cha Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Kim Poulsen amepongeza hatua ya kuichagua Morocco kuwa nchi itakayoweka kambi Serengeti Boys ikijiandaa na fainali za Afrika kwa vijana zitakazoanza Mei 21 hadi Juni 4.

 

2 years ago

Bongo5

Serengeti Boys kuweka kambi nje nchi

Baada ya kuifunga Congo-Brazzaville mabao 3-2 katika mchezo wa kwanza kuwania nafasi ya kucheza Kombe la Mataifa ya Afrika, timu ya taifa ya vijana, Serengeti inatarajiwa kuondoka Alhamis wiki hii kwenda kupiga kambi nje ya nchi.

serengeti-new

Hata hivyo, taratibu zinapangwa kuhakikisha kwamba timu hiyo inakwenda kupiga kambi kwenye nchi tulivu inayolingana hali ya hewa na Congo Brazzaville kadhalika chakula pamoja na mazingira.

Tanzania na Congo Brazzavile, zinatarajiwa kurudiana Oktoba 2, 2016 huko...

 

2 years ago

Mwananchi

Serengeti Boys, si kambi na kucheza tu, kuna mengine

Serengeti Boys imefanikiwa kufuzu kwa mara ya kwanza kushiriki Fainali za Kombe la soka la Mataifa ya Afrika kwa vijana chini ya miaka 17 zitakazofanyika Gabon kuanzia Mei 24 hadi Juni 4 mwaka huu.

 

2 years ago

Bongo5

Serengeti Boys waweka kambi mkoani Kagera

Timu ya taifa ya mpira wa miguu ya vijana wenye umri wa miaka 17, Serengeti Boys imeondoka kwenda mkoani Kagera wameenda na ndege ya (ATCL) kutoka Dar es Salaam, alfajiri ya Machi 26, mwaka huu kwa kambi ya wiki moja.

Serengeti Boys itakuwa kambini Bukoba hadi Aprili 2, mwaka huu ambako inatarajiwa kucheza michezo miwili ya kirafiki ya kimataifa dhidi ya timu vijana ya Burundi kwenye Uwanja wa Kaitaba, mjini Bukoba mkoani Kagera. Michezo hiyo itafanyika Machi 30, 2017 na kurudiana Aprili...

 

2 years ago

Dewji Blog

TFF kuipeleka Serengeti Boys kambi ya nje ya Nchi

Baada ya kutekeleza ahadi ya mwanzo ya kuipeleka Madagascar kwa ajili ya kambi ya kuivaa Afrika Kusini ‘Amajimbos’, Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi amepanga kutekeleza ahadi yake nyingine kwa kuipeleka timu ya taifa ya Tanzania ya vijana wenye umri wa chini ya miaka 17 ‘Serengeti Boys’ kwenye kambi tulivu, ikiwezekana nje ya nchi.

Rais Malinzi aliahidi na kutekeleza ahadi yake kuipeleka Madagascar Serengeti Boys baada ya kuitoa Shelisheli katika michuano ya...

 

2 years ago

Bongo5

Waziri Mwakyembe akabidhi bendera kwa Serengeti Boys

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Harrison G. Mwakyembe (Mb) tarehe 3 Aprili 2017 ameshiriki kwenye zoezi la kuwaaga na kuwapatia bendera ya Taifa timu ya Taifa ya mpira wa miguu ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 (Serengeti Boys).

Mhe. Mwakyembe amewaasa vijana wa Serengeti kuliwakilisha vyema Taifa kwenye michuano ya AFCON wanayotarajia kwenda kushiriki hivi karibuni.

Mhe. Mwakyembe akiongozana na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Bw. Jamal...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani