Mwakyembe: Haiwezekani tena Tanzania iambulie patupu michezo ya Jumuiya ya Madola

Mwaka wa 1982 huko Brisbane, Australia, ndiyo Tanzania ilinawiri zaidi kwenye michezo hii ilipomaliza katika nafasi ya 12 na dhahabu moja fedha mbili na shaba mbili.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Timu ya Tanzania kwenye michezo ya Jumuiya ya Madola yakaribishwa rasmi leo katika kijiji maalum cha michezo hiyo Glasgow

Waogeleaji wa Tanzania Mariam Foum, Hilal Hemed na Ammaar Ghadiyali wakiwa tayari kwa michuano jijini Glasgow. Timu ya Tanzania kwenye michezo ya Jumuiya ya Madola imekaribishwa rasmi leo katika kijiji maalum cha michezo hiyo Glasgow,  Uskochi.Timu ya Tanzania kwenye michezo ya Jumuiya ya Madola imekaribishwa rasmi leo kayika kijiji maalum cha michezo hiyo Glasgow,  Uskochi.

 

5 years ago

Michuzi

TIMU YA TANZANIA KATIKA MICHEZO YA JUMUIYA YA MADOLA YATUA JIJINI GLASGOW, SCOTLAND

 Timu ya Tanzania kwenye Michezo ya Jumuiya ya Madola imewasili katika  uwanja wa ndege wa Kimataifa Glasgow, Scotland jana usiku wa kuamkia leo kwa ndege ya Shirika la ndege la Falme za Kiarabu (Emirates).

 Jumla ya wanamichezo 42 waliwasili Uwanjani hapo na kupokelewa  na Afisa Ubalozi wa Tanzania London Bw. Amos Msanjila. Pamoja na mapokezi na shamrashamra za wenyeji, baadhi ya Watanzania waishio Glasgow walikuwepo Uwanjani hapo wakipeperusha bendera za Tanzania kuwahamasisha wanamichezo...

 

5 years ago

Michuzi

Bendera ya Tanzania yameremeta katika sherehe za ufunguzi wa Michezo ya Jumuiya ya madola Glasgow, Scotland

 Jina la Tanzania linameremeta wakati wanamichezo wetu walipopita katika maandamano ya ufunguzi wa Michezo ya Jumuiya ya Madola kwenye sherehe kabambe za ufunguzi katika Uwanja wa Celtic Park jijini Glasgow, Scotland, uliobeba watazamaji 40,000 huku watu bilioni 1 wakiangalia live sherehe hizo kupitia katika TV zao. Takriban  mashabiki 100,000, na wanamichezo 4,000 kutoka katika nchi 71 zitakazoshindana wapo hapo kwa michezo hiyo ambapo hii ni mara ya 20 kufanyika toka ianzishwe. Sehemu ya...

 

4 years ago

BBCSwahili

Michezo ya Jumuiya ya madola kuandaliwa AK

Mji wa Durban nchini Afrika Kusini utakuwa mji wa kwanza barani Afrika kuandaa mashindano ya Jumuiya ya Madola mwaka wa 2022

 

10 months ago

BBCSwahili

Zimbabwe yaomba kujiunga tena na Jumuiya ya Madola

Rais Mnangagwa ambaye aliingia madarakani mwezi Novemba mwaka uliopita amesema mara kwa mara kuwa anataka kujenga uhusiano wa kimataifa

 

5 years ago

BBCSwahili

Michezo ya Jumuiya ya Madola kuanza-Glascow

Mashindano ya Jumuiya ya Madola kufunguliwa rasmi hii leo mjini Glascow, Scotland na Malkia wa Uingereza

 

5 years ago

Mwananchi

Bingwa wa Michezo ya Jumuiya ya Madola anayeosha magari

Maisha yangu yalianza kuwa magumu baada ya kutolewa amri nifukuzwe kazi ndani ya saa 24,” ndivyo anaanza kusimulia kwa huzuni bingwa wa uzani wa bantam na bondia pekee aliyewahi kuiletea Tanzania medali ya dhahabu ya Michezo ya Jumuiya ya Madola, Michael Yombayomba ‘Golden Boy’ .

 

2 years ago

Michuzi

Vijana wa Kitanzania Washindana Michezo ya Jumuiya ya Madola

Vijana wa Kitanzania wenye umri wa kuanzia miaka 14 hadi 17 wameshiriki katika michezo ya Mbio Fupi (800m) na ndefu (3000m) na pia kwenye kuogelea katika Mashindano ya Jumuiya ya Madola (The Commonwealth of The Bahamas) yaliyoanza Julai 13-23, 2017 huko Bahamas, ambapo waliweza kutika hatua ya fainali na kufanya vizuri. Kijana wetu mmoja mwenye umri wa miaka 17 anayeitwa Francis Damiano Damas alishinda nafasi ya tatu kwenye fainali za mita 3000 na kuchukua medali ya shaba. Vijana hawa na...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani