Mwakyembe:Bifu la Diamond na Ali Kiba wacha liendelee

Waziri wa habari utamaduni na michezo DKT. Harrison Mwakyembe amesema bifu la Diamond na Ali Kiba linafaa kuendelea sababu linaleta tija kwenye muziki.

“Kama kuna ushindani kati ya Alikiba na Diamond ambao ni kiuweledi, kitaaluma basi mimi nafikirii tungeuendeleza zaidi, hamna sababu ya kuwasuluhisha, waendelee kushindani vizuri tupate muziki bora.”

“Kwa hiyo mimi naomba Watanzania wachukulie mvutano huo ni mzuri katika tasnia, mradi mimi sijasikia watu wameshikiana mapanga,”...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Mwananchi

Ali Kiba afunguka kuhusu bifu na Diamond

Hatimaye staa wa Bongofleva Ali Kiba amekiri kuwa yuko katika bifu na mwanamuziki mwenzie Diamond Platnumz kwa zaidi ya miaka mitatu sasa.

 

1 year ago

Malunde

DIAMOND AELEZA BIFU YAKE NA ALI KIBA ILIVYOSUKWA ‘KUMUUA KIMUZIKI’

Diamond Platinumz amedai kuwa uhasama kati yake na Ali Kiba ulipikwa na chombo kimoja cha habari kwa lengo la kumuondoa kwenye ramani ya muziki.

Bosi huyo wa WCB amefunguka katika mahojiano na Lil Ommy wa Times FM, ambapo amedai kuwa uhasama huo ulikuwa miongoni mwa mbinu za muda mrefu zilizoshindwa za kutaka kumuua kimuziki.

Amesema kuwa baada ya kugundua mbinu hiyo, alikutana na Ali Kiba jijini Nairobi na akazungumza naye kuhusu hilo na wakakubaliana hakuna tofauti kati yao.

Diamond ambaye...

 

3 years ago

Bongo Movies

Mzee Yussuf Awataka Ali Kiba na Diamond Wazipige Kama Kweli Wana Bifu

Mzee Yussuf ni miongoni mwa wasanii ambao hawaamini kama Diamond na Ali Kiba wana beef kutokana na wawili hao kutokutana pamoja na kuonyesha tofauti zao.

DIAMOND NA MZEEYUSUF

Mzee Yusuph akiwa na Diamond

Akizungumza na Bongo5 Jumamosi hii, Mzee Yussuf amesema beef ya Diamond na Ali Kiba zinakuzwa na mashabiki lakini sio beef kweli.

“Mimi Ali Kiba na Diamond sidhani kama wana beef kweli,” alisema Mzee Yussuf. “Bado siamini kwa sababu ni watu ambao hawakutani tukaona kama kweli ni beef kweli zikapigwa ngumi watu...

 

3 years ago

Mtanzania

Bifu la Diamond, Kiba linalipa

Diamond Platnumz

Diamond Platnumz

Na CHRISTOPHER MSEKENA,

MOJA ya mbinu inayotumiwa na nyota mbalimbali wa muziki duniani ni ile ya kutengeneza bifu bandia na kuwahusisha mashabiki wao. Mbinu hiyo inasaidia kuuza idadi kubwa ya nakala za kazi za sanaa za wasanii hao wenye bifu.

Asikwambie mtu! Hapo ndipo wasanii wengi wanapiga hela. Wakati mashabiki wanatupiana vijembe vilivyojaa kejeli za hapa na pale kuhusu bifu hilo bandia, ndiyo kazi za wasanii hawa zinapopata nafasi sokoni.

Hali hiyo inafanya wasanii...

 

4 years ago

GPL

MAGUFULI AMALIZA BIFU LA KIBA, DIAMOND

Mwandishi wetu Ikiwa imebaki siku moja kabla ya uchaguzi mkuu, hatimaye mgombea wa nafasi ya urais kwa leseni ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Pombe Magufuli amemaliza yale mabifu sugu kati ya manguli wawili wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba na Nasibu Abdul Diamond Platnumz na lile la Wema Isaac Sepetu na Aunt Ezekiel, Ijumaa linaweza kuripoti. ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1KsV75W ...

 

2 years ago

Bongo Movies

Idris Aingilia Bifu la Diamond, Dimpoz, Kiba

WAKATI gumzo la mvu­tano na kutupi­ana vijembe kwa wasanii watatu, Diamond Plat­numz, Ommy Dimpoz na Ali Kiba likiendelea, mshindi wa shindano la Big Brother Afrika 2014, Idris Sultan naye ametoa neno kuhusiana na hicho kina­choendelea.

IDRISS231

Wasanii hao wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba‘King Kiba’ na Omari Nyembo ‘Ommy Dimpoz ’ wamekuwa  wakionekana kuwa karibu siku za hivi karibuni na kutupiana vi­jembe na rafiki wao wa zamani, Nasibu Abdul ‘Diamond’, hali iliyo­fanya kuwa na mgawanyiko wa...

 

12 months ago

Zanzibar 24

Bifu la Diamond na Kiba nalifurahia sana – Mpoto

Mwanamuziki  Mrisho Mpoto maarufub ‘Mjoma’, amesema anatamani  ‘uhasama’ uliopo kati ya  Diamond Platnumz na Alikiba uendelee kuwepo daima.

Mpoto amesema uhasamu wao umekuwa wa manufaa katika muziki wa Bongo Fleva na burudani kwa ujumla na kwamba anaona wakipatana  watapoteza ladha ya muziki huo wa Tanzania unaokuja  juu.

“Yaani mwenzenu hilo bifu la Diamond na Kiba nalifurahia sana, limeleta utamu katika muziki, ninachoomba tu libaki katika soko la muziki na lisiwe lile la kushindwa hata...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani