Mwalimu aliyemfungia mtoto kabatini azidi kubanwa

MWALIMU ya wa shule ya msingi Medeli ya Jijini Dodoma Anita Kimako (33) mkazi wa Area ‘C’ anayedaiwa kukifungia  kabatini kichanga  cha miezi mitano na kumjeruhi binti wake wa kazi, anatarajiwa kufikishwa mahakamani kwa tuhuma za kujeruhi huku tuhuma za kukifungia kichanga kabatini zikiendelea kufanyiwa uchunguzi na Jeshi la polisi mkoa wa Dodoma. Anaripoti Dany ...

MwanaHALISI

Read more


Habari Zinazoendana

5 months ago

Malunde

POLISI DODOMA WAKANUSHA MTOTO WA MTOTO KUFUNGIWA KABATINI

Wakati binti wa kazi akieleza jinsi mwanaye mwenye umri wa miezi mitano alivyofungiwa kabatini na mwajiri wake mkoani Dodoma kwa muda wa miezi sita, Jeshi la Polisi mkoani humo limekanusha madai ya mtoto huyo kufungiwa kabatini.
Binti huyo wa miaka 15, jana Desemba 30, 2018 akiwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma alidai kufanyiwa ukatili kwa kupigwa na kufanyishwa kazi hadi usiku wa manane na bosi wake anayedaiwa kuwa ni mwalimu na kwamba amekuwa akimwambia amfungie hadi usiku...

 

5 years ago

Mtanzania

Sitta azidi kubanwa

Samuel Sitta

Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba ambaye pia ni Waziri wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta

NA WAANDISHI WETU

MWENYEKITI wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, amezidi kuandamwa baada ya Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kumtaka kusitisha mara moja mchakato wa Katiba unaoendelea.

Kituo hicho, kimesema Bunge hilo linapaswa kusitishwa hadi muafaka utakapofikiwa kati ya makundi mawili yanayosigana.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Mkurugenzi wa  LHRC,...

 

4 years ago

Mwananchi

Lipumba azidi kubanwa mahakamani

Ofisa Operesheni wa Polisi Temeke, Muhudhnwari Msuya ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa, Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba alikiri kupokea barua ya polisi iliyowazuia kufanya maandamano na mkutano Mbagala Zakhem, lakini alikaidi.

 

4 years ago

BBCSwahili

Waziri Mkuu wa Ugiriki azidi kubanwa

Waziri mkuu wa ugiriki Alexis Tsipras wa Ugiirik anazidi kukabiliwa na upinzani kwa hatua mpya na kali za malipo alizokubali.

 

3 years ago

Raia Mwema

Askofu Kweka azidi kubanwa mgogoro wa ardhi na bintiye

ASKOFU mstaafu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) amezidi ‘kukabwa koo’ kuhusiana

Paul Sarwatt

 

4 years ago

GPL

ODAMA AZIDI KUMFICHA BABA WA MTOTO!

Imelda Mtema STAA anayejitambua ndani ya gemu la filamu Bongo, Jennifer Kyaka ‘Odama’ amefungua kinywa chake kuwa watu wanaosubiri amnadi baba watoto wake watakuwa wamechelewa sana kwani hana mpango huo kwa sasa. Staa anayejitambua ndani ya gemu la filamu Bongo, Jennifer Kyaka ‘Odama’. Akichonga na Amani Odama alisema, kila kitu katika maisha kina mpangilio wake hivyo wakati utakapofika atamtambulisha baba wa mtoto wake...

 

3 years ago

Habarileo

Mtoto aliyegongwa na gari azidi kuchangiwa

FAMILIA ya mtoto Wilson Jackson inayoomba msaada wa matibabu kwa ajili ya mtoto wao anayekabiliwa na matatizo kwenye kichwa na ubongo yaliyotokana na ajali ya kugongwa na gari, imekabidhiwa Sh 500,000 zilizotolewa na msamaria mwema kwa ajili ya kodi ya nyumba ya mwaka.

 

5 years ago

Mwananchi

Mtoto aliyezamia katika ndege azidi kuzua utata

Sakata la mtoto aliyezamia ndege kutoka Dar es Salaam kwenda Zanzibar, Karine Godfrey (ambaye sasa imefahamika kwa jina la Happiness Rioba )limechukua sura mpya baada ya mama yake mzazi, Sara Zefhania kujitokeza na kusema kuwa mwanaye hakupanda ndege.

 

2 years ago

Bongo Movies

Jina la Mtoto wa Hamisa Mobetto Lazua Utata, Diamond Azidi Kuhusishwa

Mtoto wa mwanamitindo Hamisa Mobetto Jumatatu hii ametimiza siku saba toka azaliwe Agosti 8 mwaka huu ambapo amepewa jina la Abdul Naseeb. Jina ambalo limeanza kumaliza maswali mengi ya mashabiki ambao walitaka kumjua baba wa mtoto huyo.

Awali mrembo huyo alifungua akaunti ya Instagram kwa jina ‘Tanzania Baby’ lakini Jumanne hii alibadilisha jina na kuandika ‘Abdul Naseeb’ ambapo kwa sasa akaunti hiyo tayari ina wafuasi zaidi 50,000.

Mobetto kupitia Instagram alipost picha yake ya wakati ni...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani