Mwalusako: TFF siyo sehemu ya majaribio chagueni viongozi wanaojua matatizo ya mpira

Mchezaji wa zamani wa Yanga na Taifa Stars, Lawrence Mwalusako amewaambiwa wagombea na wapiga kura katika uchaguzi mkuu wa Shirikisho la Soka nchini (TFF) kuwa shirikisho hilo siyo sehemu ya majaribio na anayeingia hapo lazima afuate misingi ya soka.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

CCM Blog

KINANA: CHAGUENI VIONGOZI WATAKAOWASAIDIA SIYO WATAKAOSHUGHULIKA NA SHIDA ZA MATUMBO YAO


Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimnadi mgombea Udiwani kata ya Ngarenanyuki, Arumeru mkoani Arusha, Mwalimu Zakaria Nnko, wakati wa mkutano wa kufunga kampeni za uchaguzi mdogo wa udiwani katika kata hiyo, uliofanyika kwenye Viwanja vya Mpira vya Shule ya Ngarenanyuki, leo Januari 21, 2017.

Akimnadi Mgombea huyo, Kinana amewataka Watanzania kujenga tabia ya kuchagua  viongozi watakaowasaidia na kuacha kuchagua ambao wakishapata madaraka wanashughulikia shidao za matumbo yao badala ya...

 

1 year ago

Malunde

MSAIDIZI WA LISSU : MAHAKAMA SIYO SEHEMU YA MAJARIBIO..WATENDAJI WOTE WAIHESHIMU

Makamu wa Rais wa chama cha wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Godwin Ngwilimi amemtaka Jaji Mkuu wa Tanzania pamoja na watendaji wote wa sheria kuiheshimu mahakama kwani ni sehemu ambayo ukienda mwishowe haki inapatikana.
Akizungumza jana wakati alipokuwa kwenye maadhimisho ya wiki ya sheria ambapo ameonya mahakama zisitumike kuonea watu wengine huku akikazia kuwa mahakama haipaswi kuwa sehemu ya majaribio kwani siyo maabara.
"Msiruhusu hata mara moja kwani mnalindwa na Katiba. Msimamie hayo...

 

3 years ago

Bongo5

TFF yapiga marufuku michezo ya kubahatisha kwa viongozi wa mpira

tff

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) inapenda kuwakumbusha wanafamilia wa mpira wa miguu juu ya ibara ya 59 kifungu kidogo cha 11 kinachotamka.
TFF Family members shall at all times comply with the following ethical principles “To not take part in betting connected with football and do not tolerate any form of manipulation or unlawful influencing of match results”.

tff

Hivyo wanafamilia ya mpira wa miguu Tanzania wanakumbushwa kuheshimu Katiba ya TFF Kwa kutoshiriki katika michezo ya...

 

5 years ago

Tanzania Daima

‘Chagueni viongozi wenye kazi’

KATIBU Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, amewataka wananchi kuchagua viongozi wenye kazi zao binafsi, badala ya kuchagua  viongozi wasiojishughulisha. Kinana alitoa rai hiyo juzi wakati akiwahutubia wananchi...

 

5 years ago

GPL

USIJIDANGANYE, NDOA SIYO MAJARIBIO!-2

NDOA ni kitu chenye thamani kubwa sana katika maisha ya binadamu. Jambo na la msingi zaidi kwa wahusika ambao wanahitaji kuunganika katika ndoa ni upendo.
Lazima wote wawe wana hisia za kweli kutoka ndani ya mioyo yao. Ndoa si jambo la kukurupuka wala kuamua kuingia kwa maana ya kufanya majaribio. Siyo sahihi hata kidogo.
Wiki iliyopita nilianza kwa kueleza mambo ya msingi ya kuzingatia wakati ukimtaka mwenzi wa maisha yako....

 

5 years ago

GPL

USIJIDANGANYE NDOA SIYO MAJARIBIO!-3

LEO tunahitimisha mada yetu. Kuna baadhi ya marafiki huingia kwenye ndoa wakiwa na matumaini ya kujifunza – hata kama hana mapenzi na mwenzi wake. Hilo ni kosa kubwa. Hakuna kujifunza ndani ya ndoa. Wiki mbili zilizopita nilifafanua mambo mengi ya msingi lakini kubwa zaidi nilikazia kuwa, ndoa si tendo la majaribio. Linahitaji kujipanga na kuwa na uhakika na mwenzi unayekwenda kuungana naye.
Tuendelee kujifunza marafiki...

 

4 years ago

Habarileo

Waumini wa dini chagueni viongozi bora -Madenge

MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Mahmoud Madenge amesema uhuru na raha ya kuabudu vitaendelea kuwepo, endapo waumini wa dini mbalimbali watashiriki Uchaguzi Mkuu ujao kwa kuchagua viongozi wanaoshughulikia matatizo ya wananchi.

 

2 years ago

Mwananchi

Chagueni viongozi wenye shughuli za kufanya- Kadutu

Wakati wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wakisema hawako tayari kupangiwa safu ya viongozi, mbunge amewataka kuchangua wenye shughuli za kufanya badala ya wanaoshinda vijiweni.

 

4 years ago

Habarileo

‘Vijana chagueni viongozi wenye maslahi kwa taifa’

WIZARA ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo imehimiza vijana kuhakikisha wanachagua viongozi wenye maslahi kwa taifa katika uchaguzi mkuu Oktoba 25, mwaka huu. Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Profesa Elisante Ole Gabriel alitoa mwito huo jijini Dar es Salaam jana katika maadhimisho ya Siku ya Vijana Duniani.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani