Mwamuzi wa kike asimamia mechi ya wanaume Ujerumani

Bibiana Steinhaus amekuwa mwanamke wa kwanza mwamuzi kusimamia mechi ya Ligi ya Kuu ya Ujerumani, Bundesliga baada yake kusimamia mechi kati ya Hertha Berlin na Werder Bremen.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

MWAMUZI WA KIKE TANZANIA KUCHEZESHA AFCON YA KINAMAMA

Shirikisho la Mpira wa Miguu barani Afrika (CAF), limemteua Jonesia Rukyaaa – Mwamuzi wa soka kutoka Tanzania kuwa miongoni mwa waamuzi wa kati 10 watakaochezesha mechi za Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa wanawake zitakazofanyika kwa wiki mbili kuanzia Novemba 19, mwaka huu.

Kwa uteuzi huo, Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), amempigia simu Jonesia kumpongeza kwa hatua hiyo ambayo ni sehemu kubwa ya mafanikio ya soka la Tanzania kufanya vema katika medani za ...

 

6 months ago

BBCSwahili

Mwamuzi ashindwa penalti itapigiwa wapi Ujerumani

Itakuwaje ukiwa mwamuzi na uamue penalti inafaa kupigwa lakini ukose eneo ambalo huwa la kupigiwa mikwaju hiyo?

 

2 years ago

Bongo5

Mwamuzi wa kike Jonesia wa Tanzania achakuguliwa kuchezesha Kombe la Dunia

jonesia

Mwamuzi wa kike wa Kimataifa wa Tanzania mwenye beji ya FIFA, Jonesia Rukyaa ameteuliwa kuungana na waamuzi kutoka nchini Kenya kuchezesha mchezo wa kuwania kufuzu kwa Fainali za Kombe la Dunia kwa Wanawake wenye umri chini ya miaka 17 (WWC-Q 17) mwishoni mwa mwezi huu.

jonesia

Jonesia Rukyaa atakua mwamuzi wa akiba katika mchezo huo kati ya Misri dhidi ya Cameroon utakaochezwa jijini Cairo wikiendi ya tarehe 25,26,27 Machi, 2016.

Mwamuzi wa kati katika mchezo huo atakua ni Carolyne Wanjala...

 

2 years ago

Global Publishers

Mashabiki ‘wamteka’ mwamuzi mechi ikiendelea

ndondo

Mohammed Mdose, Dar es Salaam

MASHABIKI wa timu ya Friends Rangers, jana Jumanne uvumilivu uliwashinda baada ya kuchukua maamuzi magumu ya ‘kumteka’ mwamuzi wa pembeni aliyekuwa akichezesha mchezo wao dhidi ya Misosi FC kwenye Uwanja wa Makurumla, Magomeni, Dar.

Mchezo huo wa hatua ya 32 Bora ya michuano ya Sports Extra Ndondo Cup, ulimalizika kwa Misosi kuibuka na ushindi wa bao 1-0 lilofungwa na Idd Selemani dakika ya 31.

Championi lililokuwepo uwanjani hapo, liliwashuhudia mashabiki hao...

 

1 year ago

BBCSwahili

Mwanamke mwamuzi stadi wa mechi kutoka Burundi

Suavis amekuwa refa kwa miaka sita alianza kucheza soka akiwa shuleni.

 

1 year ago

BBCSwahili

Messi apigwa marufuku mechi nne kwa kumtukana mwamuzi

Nyota wa Argentina Lionel Messi amepigwa marufuku mechi nne za kimataifa kwa kumtukana mwamuzi msaidizi wakati wa mechi kati ya taifa lake na Chile siku ya Alhamisi mjini Buenos Aires.

 

2 years ago

Bongo5

Gonzalo Higuain afungiwa mechi nne kwa kosa la kumsukuma mwamuzi

TURIN, ITALY - MARCH 17:  Gonzalo Higuain of SSC Napoli celebrates after scoring the opening goal during the Serie A match between Torino FC and SSC Napoli at Stadio Olimpico di Torino on March 17, 2014 in Turin, Italy.  (Photo by Valerio Pennicino/Getty Images)

Mchezaji wa klabu ya Napoli, Gonzalo Higuain amefungiwa mechi 4 kwa kosa la kumsukuma mwamuzi katika mchezo dhidi ya Udinese uliofanyika jumamosi iliyopita.

TURIN, ITALY - MARCH 17: Gonzalo Higuain of SSC Napoli celebrates after scoring the opening goal during the Serie A match between Torino FC and SSC Napoli at Stadio Olimpico di Torino on March 17, 2014 in Turin, Italy. (Photo by Valerio Pennicino/Getty Images)

Mbali ya Kifungo cha michezo hiyo 4 mshambuliaji huyu, ametozwa faini ya kiasi Euro 20,000.

Katika mchezo huo Higuian alitolewa kwa kadi nyekundu baada ya kupata Kadi za Njano ya Pili kwa kumcheza faulo Felipe wa Udinese.

Kukosekana kwa mshambuliaji huyo kutoka Argentina ni pigo kwa Napoli ambao wanagombea Ubingwa wa Italy wakiwa na...

 

1 year ago

Bongo5

Huyu ndio mwamuzi atakae chezesha mechi ya Liverpool dhidi ya Chelsea

Mwamuzi Mark Clattenburg ameteuliwa kuchezesha mechi ya Chelsea dhidi ya Liverpool katika uwanja wa Anfield wiki ijayo.

Chelsea watasafiri hadi Anfield wiki ijayo siku ya Jumanne (Januari 31) wakiwa na pointi 10 dhidi ya timu ya Jurgen Klopp.

Clattenburg ana historia kadhaa anapo chezesha mechi za Chelsea, mechi ya mwisho msimu uliopita katika uwanja wa Stamford Bridge dhidi ya Tottenham Hotspur ikizua utata.

Kadi kumi na mbili za njano zilitolewa katika pambano hilo, na vitendo vya vurugu...

 

1 year ago

Bongo5

Mwamuzi aondolewa kuchezesha mechi za ligi kuu Tanzania Bara msimu huu wa 2016/2017

Kamati ya Bodi ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi za Tanzania (Kamati ya Saa 72), imemwondoa Mwamuzi wa kati, Ahmada Simba katika orodha ya waamuzi watakaochezesha mechi za Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu huu wa 2016/2017.

Hatua hii imefikiwa baada ya utetezi wa Mwamuzi Simba kudai kwamba hakuona tukio la Mchezaji wa Young African, Obrey Chirwa ambaye alifunga bao ambalo hata hivyo, mwamuzi alilikataa na kumwonya mchezaji kwa kadi njano.

Tukio hilo lilitokea katika mchezo ambao...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani