Mwanachi yatoa wateule 13 tuzo za Ejat

Kampuni ya Mwananchi Communications imendelea kung'ara kwenye tuzo za umahiri zinazotolewa na Baraza la Habari Tanzania (MCT) kwa kufanikiwa kuingiza fainali jumla ya kazi 13 kati ya 36 zinazowaniwa kwenye upande wa magazeti.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Mwananchi

Mwananchi yatoa wateule 13 tuzo za Ejat

Kampuni ya Mwananchi Communications imendelea kung'ara kwenye tuzo za umahiri zinazotolewa na Baraza la Habari Tanzania (MCT) kwa kufanikiwa kuingiza fainali jumla ya kazi 13 kati ya 36 zinazowaniwa kwenye upande wa magazeti.

 

4 years ago

Tanzania Daima

MCT yataja wateule wa tuzo EJAT

BARAZA la Habari Tanzania (MCT) limetangaza majina ya wateuliwa wa kinyang’anyiro cha tuzo za umahiri wa uandishi wa habari Tanzania (EJAT) 2013 huku waandishi wawili wa Tanzania Daima wakiwa miongoni...

 

2 years ago

Mwananchi

MCL yaongoza wateule tuzo za EJAT

Baraza la Habari Tanzania (MCT) limetangaza majina 84 ya waandishi wa habari walioingia kwenye kinyang’anyiro cha kuwania tuzo ya Umahiri wa Uandishi wa Habari Tanzania (EJAT) mwaka 2015 huku Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), ikiongoza kwa kutoa washindani 14 ikifuatiwa na TV 1 yenye wanahabari saba.

 

1 month ago

Malunde

ORODHA YA MAJINA YA WAANDISHI WA HABARI WATEULE TUZO ZA UMAHIRI WA UANDISHI WA HABARI - EJAT 2017

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
WATEULE WA EJAT 2017
Dar es Salaam, Aprili 18 2018
Jopo la majaji nane lililokaa kuanzia April 4 hadi 11, 2018 kupitia jumla ya kazi za kiandishi 545  zilizokuwa katika makundi 16 ya kushindaniwa katika Tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari Tanzania (EJAT) 2017, limemaliza kazi yake. 

Jopo liliongozwa na mwenyekiti wake, Ndimara Tegambwage. Wajumbe wake wengine walikuwa  Rose Haji (Katibu), Hassan Mhelela, Hamis Mzee, Selemani Mpochi, Pudenciana Temba, Kiondo Mshana...

 

3 years ago

Habarileo

965 kuwania tuzo za EJAT

KAZI 965 zimepelekwa kushindania tuzo 21 za shindano la sita la Tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari (EJAT) huku kazi 42 zikitoka Kampuni ya Tanzania Standard Newspapers Limited (TSN).

 

2 years ago

Mwananchi

MCL yatikisa tuzo za Ejat

Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL) imetwaa tuzo saba za Umahiri wa Uandishi wa Habari nchini (Ejat) kati ya 17 zilizotolewa na Baraza la Habari Tanzania (MCT) kwa upande wa magazeti.

 

2 years ago

Mwananchi

Pazia tuzo za Ejat lafunguliwa

Baraza la Habari Tanzania (MCT) limetangaza kuanza mchakato wa kutoa tuzo za umahiri wa uandishi wa habari (Ejat)  kwa waandishi waliofanya vizuri katika makundi mbalimbali 2016.

 

4 years ago

Mwananchi

Wanahabari MCL waongoza uteuzi Tuzo za Ejat 2013

Waandishi wa Habari wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL) inayochapisha magazeti ya Mwananchi, Mwanaspoti na The Citizen wanaongoza katika orodha ya wateule wa Tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari 2013 (Ejat 2013) kwa kuingiza majina 15 kati ya 76 ya wateule watakaotunukiwa zawadi zao Machi 14 mwaka huu.

 

2 years ago

Channelten

MCT imezindua rasmi tuzo za umahiri wa Uandishi wa Habari Tanzania EJAT mwaka 2016

screen-shot-2016-11-15-at-6-12-26-pm

Baraza la Habari Tanzania MCT limezindua rasmi tuzo za umahiri wa Uandishi wa Habari Tanzania EJAT mwaka 2016 huku kukiwa na makundi mawili mapya ya kushindaniwa ambayo ni Uandishi wa Habari wa Data na Uandishi wa Habari za Jinsia, Watoto na Wazee.

Akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es salaam Katibu Mtendaji wa MCT Kajubi Mukajanga amesema mwaka huu kutakuwa na makundi 19 ya kushindaniwa kutoka 22 ya mwaka jana.

Mukajanga amebainisha kuwa hii itakuwa ni mara nne kamati ya...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani