Mwanachuo ajinyonga hadi kufa kwa kutumia tai

Mwanafunzi wa Chuo cha Utumishi wa Umma Tawi la Tabora kinachojulikana kwa jina la Uhazili,  Raphael Kadesha miaka 22  amejinyonga hadi kufa kwa kutumia tai ya kuvaa shingoni.

Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora Graifton Mushi amethibitisha tukio hilo na kusema limetokea jana saa 4 asubuhi ambapo marehemu alifunga tai juu ya kitanda chake na kujinyonga kwa sababu ambazo hadi sasa bado hazijabainika na Jeshi la Polisi linaendelea na uchunguzi kujua nini kilimfanya mwanachuo huyo kuchukua...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Zanzibar 24

Ajinyonga hadi kufa kwa tuhuma za wizi wa Bata.

Mwanamke mmoja aliyetambulika kwa jina Constansia James mkazi wa kijiji cha Kisorya, tarafa ya Nansimo wilaya ya Bunda, amejiua kwa kujinyonga baada ya tuhuma za wizi wa Bata.

Imeelezwa kuwa Marehemu aliiba bata huyo kwa jirani yake aitwaye Venaida Charles ambapo baada ya kufuatiliwa aligundulika yeye ndiye mwizi na aliamuriwa kulipa fidia kwa jirani yake, na ndipo alipoamua kujinyonga masaa machavhe baada ya hukumu hiyo.

Afisa Mtendaji wa kata ya Kisorya, Revocutus Luheneja amesema kifo...

 

1 year ago

Malunde

AJINYONGA HADI KUFA KWA KUTUHUMIWA KUIBA BATA WA JIRANI YAKE


Mwanamke Costansia Kadogo James (37), mkazi wa kijiji na kata ya Kisorya, tarafa ya Nansimo wilaya ya Bunda mkoani Mara, amejinyonga hadi kufa kwa kutumia kamba.

Mama huyo alijinyonga baada ya kutuhumiwa kuiba bata mmoja, mali ya jirani yake na kusababisha vifaranga vinne kati ya saba vya bata huyo kufa na kutakiwa wazazi wake wamlipe fidia mwenye bata.
Ofisa Mtendaji wa Kata ya Kisorya, Revocatus Luheneja, alithibitisha kutokea kwa tukio hilo juzi katika kijiji cha Kisorya kati ya saa kumi na...

 

4 years ago

Habarileo

Ajinyonga hadi kufa kwa gauni la mkewe kwa wivu

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kagera, Henry Mwaibambe MKAZI wa kijiji cha Nyakabanga kata ya Butelankuzi, Bukoba vijijini, Eliud Charles (30) anadaiwa kujinyonga hadi kufa kwa kutumia gauni la mkewe, Velidiana Eliud kutokana na wivu wa mapenzi.

 

3 years ago

Bongo5

Mwinjilisti ajinyonga hadi kufa baada ya kumuua mwanaye kwa madai alikuwa anafanya ufuska

Mwinjilisti wa Kanisa la African Inland Church (AICT), Charles Kazereng’wa (45), amejinyonga hadi kufa, baada ya kumuua mwanaye, Malita Charles (15) kwa kumpiga akimtuhumu kujihusisha na ufuska.
kitanzi

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Geita, Mponjoli Rodson amelithibitishia gazeti hili kutokea kwa matukio hayo juzi jioni.

Hata hivyo, alisema kuwa asingeweza kulizungumzia suala hilo kwa undani kwa sababu alikuwa kwenye sherehe za uzinduzi wa Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani ambayo kitaifa inafanyika...

 

5 years ago

Tanzania Daima

Ajinyonga hadi kufa Dar

WATU wawili wamefariki dunia jijini Dar es Salaam katika matukio tofauti likiwemo la kujinyonga. Akithibitisha kutokea kwa vifo hivyo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Camillius Wambura alisema juzi saa...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Ajinyonga hadi kufa kisa mapenzi

Mwanaume mmoja mkazi wa kitongoji cha Ndondobya kijiji cha Fubu, Kyela mkoani Mbeya, Labson George miaka 22, amejinyonga hadi kufa kwa kutumia mtandio kwa madai aliyekuwa mpenzi wake wa muda mrefu kukataa kuoana naye. Akithibitisha tukio hilo mwenyekiti wa Kijiji hicho, Abdul Mwamafupa, alisema kijana huyo alikuwa na uhusiano wa muda mrefu na Violet Joseph na inadaiwa alipomweleza kuwa waoane, alikataa na ndipo George alimnyang’anya mtandio na kutokomea kusikojulikana hadi alipokutwa saa...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Mtoto wa miaka 11 ajinyonga hadi kufa

Mtoto wa miaka 11 mkaazi wa kijiji cha Ongata Rongai amejinyonga hadi kufa baada ya ombi lake la kuhamishwa shule kukataliwa huko nchini Kenya.

Taarifa zinasema kuwa uamuzi wa kujiua kwa mtoto huyo umekuja baada ya mama yake kumuambia hana uwezo wa kumpeleka shule binafsi anayotaka, na kumtoa kwenye shule ya umma aliyokuwa akisoma.

Baada ya mama yake kutoka kwenda dukani moto huyo ambaye ni wa kwanza kuzaliwa kwenye familia ya watoto watatu, alichukua kamba na kujinyonga...

 

2 years ago

Dewji Blog

Mwalimu Mkuu wa Sekondari ajinyonga hadi kufa

Mwalimu mkuu wa shule ya sekondari Tumuli wilaya ya Iramba mkoani hapa, Richard Neligwa Makala (58), amefariki dunia baada ya kujinyonga.

Kamanda Jeshi la Polisi mkoani hapa,ACP Debora Magiligimba alisema tukio hilo limetokea Februari, 26 mwaka huu saa moja asubuhi huko katika kijiji cha Tumuli tarafa ya Kinyangiri.

Alisema mwalimu huyo alitumia kamba aliyoitengeza yeye mwenyewe kwa vipande vya vyiandarua na kisha kuifunga juu ya mti.

“Baada ya kuifunga juu ya mti,alijifunga shingoni na...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Mkuu wa Shule ya Sekondari ajinyonga hadi kufa

Mkuu wa Shule ya Sekondari Migukulama iliyopo Halmashauri ya Buchosa wilayani Sengerema, Benerdicto Lweikiza mwenye miaka 45 amejinyonga kwa kutumia kamba hadi kufa akiwa chumbani kwake. Taarifa za kujinyonga kwa mwalimu huyo zilianza kusambaa wilayani Sengerema na kuthibitishwa na Mkurugenzi Mtendaji wa  Halmashauri ya Buchosa, Crispin Luanda. “Ni kweli mwalimu huyo amejinyonga alikuwa mkuu wa Shule ya Sekondari Migukulama na amefikia uamuzi huo majira ya saa tisa mchana wa leo (jana)...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani