Mwanafunzi adai alijifunza kulawitiwa toka kwa wazazi wake

Wananchi mbalimbali wa mjini hapa mkoani Kilimanjaro, wakiwamo wasomi na viongozi wa dini, wametaka uchunguzi wa watoto wadogo kudhalilishwa kingono ufanyike katika shule zote za msingi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Bongo5

Mwanafunzi awatuhumu wazazi wake kumfunza kulawitiwa ‘nilikuwa nawaona baba na mama wanafanya’

Wananchi mbalimbali wa mkoani wa Kilimanjaro, wakiwamo wasomi na viongozi wa dini, wametaka uchunguzi wa watoto wadogo kudhalilishwa kingono ufanyike katika shule zote za msingi.
ubakaji

Hoja yao imetokana na taarifa kuwa baadhi ya watoto wa kiume katika Shule ya Msingi Kaloleni wamelawitiwa na wa kike kufanya mapenzi na watu wazima.

Hata hivyo, baada ya Gazeti la Mwananchi kufanya mahojiano na baadhi ya wanafunzi, mmoja alikiri kufanyiwa kitendo hicho na mwanafunzi mwenzake kwenye makalavati ya...

 

1 year ago

Bongo5

Linah adai wazazi wake walimkataa mpenzi wake aliyempatia ujauzito

Msanii wa muziki Linah Sanga ambaye kwa sasa ni mjamzito amefunguka kwa kudai kuwa wazazi wake walimkataa mpenzi wake wa sasa kwa kigezo cha dini.

Muimbaji huyo ambaye amelelewa katika misingi ya dini ya kikristo, amekiambia kipindi cha XXL cha Clouds Fm kuwa haikuwa rahisi kwa wazazi wake kumkubali mwanaume huyo.

“Mwanzoni wazazi wangu walimkataa mpenzi wangu kisa ni dini tofauti na mimi, lakini sasa hawana pingamizi,” alisema Linah. “Tumeunganisha damu na kwenye mahusiano naamini upendo,...

 

2 years ago

MillardAyo

AUDIO: Wanafunzi waliodaiwa kulawitiwa Moshi wafikia 35, wazazi wazungumza

wanafunzi

Siku kadhaa zimetolewa taarifa kuwa baadhi ya watoto wa kiume katika shule ya msingi Kaloleni iliyopomo Moshi Mkoanu Kilimanjaro wamelawitiwa na wale wa kike kufanya mapenzi na watu waziama. Imeelezwa kuwa idadi ya wanafunzi wa kiume wanaodaiwa kulawitiwa na wa kike kufanya mapenzi wakiwa katika umri mdogo pamoja na kubakwa katika shule ya msingi kaloleni […]

The post AUDIO: Wanafunzi waliodaiwa kulawitiwa Moshi wafikia 35, wazazi wazungumza appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

Bongo5

Aunt Ezekiel adai hahitaji marafiki tena, Iyobo na Cookie ni kama wazazi wake

Baada ya urafiki wa waigizaji mashuhuri na wanaozungumzwa sana nchini, Wema Sepetu na Aunty Ezekiel ‘Mama Cookie’ kuvunjika, waigizaji hao wameibuka na kudai kwamba hawahitaji marafiki.

Cyrill

Ilishangaza Aunt Ezekiel kutomualika Wema Sepetu katika sherehe ya mtoto wake na mnenguaji wa Diamond Platnumz, Moses Iyobo iliyofanyika mwishoni mwa wiki ukumbi wa Serena Hotel.

Aunt Ezekiel alipoulizwa kuhusu urafiki wake na Wema, alisema hataki marafiki kwa kuwa hawamsaidii chochote hivyo kwa sasa rafiki...

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Mwanafunzi aliyedunduliza Ada ya chuo kikuu toka mwaka 2009 kwa kuuza maji

Tunaishi kwenye dunia ambayo wako wenye afadhali, wapo wenye uwezo lakini pia wapo wanaoteseka kwa kukosa uwezo wa kifedha na ndio maana wengine wanalazimika kufanya kila namna kuhakikisha wanajivusha wenyewe. Huyu mwenye hii post ni kijana mwenye umri wa miaka 26 na jila lake la kuzaliwa ni Willison Mrami wa mtaani Kibera Nairobi Kenya ambaye ni […]

The post VIDEO: Mwanafunzi aliyedunduliza Ada ya chuo kikuu toka mwaka 2009 kwa kuuza maji appeared first on millardayo.com.

 

4 months ago

Michuzi

BODI YA MIKOPO YAFAFANUA KUHUSU UMILIKI WA LESENI ZA BIASHARA KWA WAZAZI SIO SIFA YA MWANAFUNZI WA ELIMU YA JUU KUKOSA MKOPO

Tunapenda kutoa ufafanuzi kuhusu taarifa zisizo za kweli zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa waombaji wa mikopo ambao wazazi wao wanamiliki leseni za biashara hawatapata mikopo ya elimu ya juu katika mwaka wa masomo 2018/2019. Taarifa hizo sio sahihi na zinapotosha waombaji mikopo na umma kwa ujumla.
Ufafanuzi wa kina ni kama ifuatavyo:
a)   Mikopo inayotolewa na Serikali kupitia HESLB inaongozwa na Sheria ya HESLB (SURA 178) pamoja na Mwongozo unaotaja sifa, vigezo na utaratibu wa...

 

3 years ago

Mwananchi

Jela miaka 30 kwa kumbaka mwanafunzi wake

Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Chato mkoani Geita, imemhukumu kwenda jela miaka 30, Mwalimu wa Sekondari ya Makurugusi, Idd Gerald (21) baada ya kupatikana na kosa la kumbaka mwanafunzi wa kidato cha pili.

 

1 year ago

Malunde

MWALIMU AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA KUBAKA MWANAFUNZI WAKE

Mwalimu wa shule ya msingi katika kata ya Ligunga tarafa ya Matemanga wilaya Tunduru mkoani Ruvuma Rajabu Morisi amefikishwa katika Mahakama ya wilaya hiyo kwa tuhuma za kumbaka mwanafunzi wake na kumsababishia ujauzito.

Akisoma shauri hilo no 148/2017, mbele ya mlinzi wa amani hakimu wa Mahakama ya mwanzo Itika Korosho, mwendesha mashtaka wa Mahakama ya wilaya Inspekta Bosco Kilumbe amesema mtuhumiwa alitenda kosa hilo kati ya mwezi January na Mei mwaka huu katika muda usiojulikana baada ya...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Mwalimu wa chuoni Jela miaka 4 kwa kumkashifu mwanafunzi wake

Mahakama ya Wilaya mwanakwerekwe imempeleka chuo cha mafunzo miaka 4 khamis Zahir mwalim (24) mkaazi wa  Mfenesi maziziz Wilaya ya Mjini kwa kosa la kumkashifu mwanafunzi wake.

Imeadaiwa Mahakamni hapo na muendesha mashtaka wa Serikali Saidi Ali na Huda Othaman mbele ya hakimu Chausiku  Kafuti Mkuya kwamba siku ya tarehe 17 disemba 2015 majira ya saa 3 asubuhi huko gulioni mshtakiwa ambe ni mwalimu wa Almadrasat  Nnabiy iliyoko Gulioni alimshika na kunyonya matiti mwanafunzi wake wa kike...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani