MWANAFUNZI WA CHUO AFARIKI DUNIA MLIMANI AKIFANYA UTALII MOROGORO

Milima ya Morogoro***MWANAFUNZI wa Chuo Kikuu cha Kiislamu Morogoro (MUM), Victor Ibrahim (22), amefariki dunia wakati akitalii kwenye milima baada ya kuteleza na kuangukia kwenye korongo.
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Leonce Rwegasira, alisema jana kuwa tukio hilo lilitokea Oktoba 3, mwaka huu, majira ya jioni, katika eneo lenye milima ambalo liko Kata ya Milimani mkoani humo.
Alisema mwanafunzi huyo akiwa na wenzake kwenye hiyo milima, walikuwa wanafanya utalii wa ndani na ndipo...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CloudsFM

POLISI AMRUBUNI MWANAFUNZI KUFANYA NAYE MPENZI,AMWACHA CHUMBANI KWAKE,NYUMBA YAKE YAUNGUA MOTO,MWANAFUNZI AFARIKI DUNIA

Wananchi wa Mlangali, Ludewa wakiwa wamekizingira kituo cha polisi Mlangali mara baada ya kuipeleka maiti ya mtoto aliyeteketea kwa moto katika kituo hicho.KIONGOZI wa mbio za mwenge Kitaifa awatuliza wananchi wa Mlangali wilaya ya Ludewa ambao baadhi yao waliandamana kituo cha polisi kushinikiza kutolewa kwa askari polisi aliyedaiwa kusababisha kifo cha mtoto ili auwawe.Kiongozi huyo aliwaomba wananchi wa Mlangali kutokubali kujihusisha na vitendo vya uvunjifu wa amani ikiwa ni pamoja na...

 

3 years ago

StarTV

 Mwanafunzi Shule ya Sekondari Idodi Iringa afariki dunia

Mwanafunzi wa kidato cha nne katika shule ya sekondari Idodi mkoani Iringa amefariki dunia baada ya kupigwa na radi wakati akicheza mpira uwanjani na wanafunzi wenzake.

Radi hiyo pia imejeruhi wanafunzi wengine saba na mwanamke mmoja mkazi wa kijiji cha Idodi aliyekuwa anaokota kuni jirani na uwanja huo kabla mvua iliyoambatana na radi haijaanza kunyesha.

Tukio hilo la Ijumaa ni la pili kwa kipindi cha siku mbili ambapo siku moja kabla, mkazi wa kijiji cha Kibena Iringa vijijini akiwa...

 

5 years ago

Mwananchi

Boniface Njohole afariki dunia Morogoro

Mchezaji wa zamani wa klabu ya Reli ya Morogoro na Taifa Stars, Boniface Njohole amefariki dunia katika kijiji cha Mgeta tarafa ya Ifakara wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro.

 

1 year ago

Malunde

SHEIKH WA MKOA WA MOROGORO AFARIKI DUNIA

Shinikizo la damu ambalo linaelezwa kuwa kwenye kundi la magonjwa yasiyoambukiza na kuongoza kwa kusababisha vifo kwa sasa, limemuua Sheikh wa Morogoro, Abdallah Mkang’ambe (48) ikiwa ni miezi 17 tangu achaguliwe kushika wadhifa huo.
Akizungumzia kifo hicho, Msemaji wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania, Rajabu Katimba alisema wamepoteza kiongozi tegemeo na kipenzi cha watu na kwamba, atazikwa leo Morogoro.
Akitoa taarifa za kifo hicho jana, Kaimu Mwenyekiti wa Bakwata Morogoro, Sheikh...

 

3 years ago

Mwananchi

Kipindupindu chaingia Morogoro, mmoja afariki dunia

Wakazi wa Kata ya Mindu Manispaa ya Morogoro wamekumbwa na mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu  ambapo hadi sasa mtu mmoja ameripotiwa kufa na hivyo kuzua hofu kwa wakazi  wa eneo hilo na manispaa kwa ujumla.

 

5 years ago

Habarileo

Mkuu wa Chuo UDSM afariki dunia

Marehemu Balozi Fulgence KazauraMKUU wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Balozi Fulgence Kazaura, amefariki dunia juzi nchini India alikokuwa akitibiwa maradhi ya saratani.

 

5 years ago

Michuzi

MWANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI AFARIKI DUNIA KATIKA AJALI YA BARABARANI JIJINI MBEYA

TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA KWA VYOMBO VYA HABARI

“PRESS RELEASE” TAREHE 01.02. 2014.MWANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI AFARIKI DUNIA KATIKA AJALI YA BARABARANI.


gari ambalo halikuweza kufahamika namba zake za usajili wala jina la dereva wake lilimgonga mtembea kwa miguu mwanafunzi wa darasa la pili katika shule ya msingi mbuyuni aliyetambulika kwa jina la daima faida (08) mkazi wa mbuyuni na kusababisha kifo chake papo hapo. ajali hiyo ilitokea majira ya saa 06:55hrs asubuhi...

 

2 years ago

Michuzi

TANZIA: MAMA JITTO RAM AFARIKI DUNIA MJINI MOROGORO

Katika picha hii ya kutoka maktaba inamuonesha Rais Dkt John Pombe Magufuli akimsalimia Mama Jitto Ram mara baada ya kumaliza kuhutubia mkutano wa hadhara wakati wa kampeni katika uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro. Mama Jitto Ram amefariki dunia mjini Morogoro baada ya kuugua ugonjwa wa moyo. Mama Jitto Ram alikuwa mbunge wa viti maalum CCM. Alikuwa mkufunzi wa manesi Muhimbili. Alikuwa mtetezi wa haki za WAVIU/PLHIV. Alikuwa mwana harakati wa kutokomeza unyanyapaa dhidi ya WAVIU/PLHIV....

 

2 years ago

Zanzibar 24

Tanzia; Katibu Mtendaji Kamisheni ya Utalii Saleh Ramadhan Feruz afariki dunia

Zanzibar imekubwa na msiba kufuatia kifo cha Katibu Mtendaji wa Kamisheni ya Utalii Saleh Ramadhan Feruz kilichotokea usiku wa kuamkia leo nyumbani kwake Mbweni Zanzibar kwa mujibu wa taarifa za wanafamilia. Saleh Ramadhan Feruzi aliwahi kuwa mtendaji mkuu wa Zanzibar kama Naibu katibu wa chama hicho hapa visiwani ambapo atakumbukwa kwa mengi ikiwamo kukisaidia chama hicho kuibuka na ushindi katika chaguzi mbalimbali kilizoshiriki. Mwenyezimungu ailaze roho ya Marehemu mahala pema peponi....

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani