MWANAFUNZI WA DARASA LA NNE APIGWA NA WALIMU HADI KULAZWA HOSPITALINB- Picha haihusiani na habari hapa chiniWaalimu watatu wa Shule ya Msingi Kimamba B iliyopo Wilayani Kilosa Mkoani Morogoro wanadaiwa kumpiga mwanafunzi wa darasa la 4 mwenye umri wa miaka 10 na kumsababishia kulazwa katika taasisi ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu Muhimbili (MOI) Jijini Dar es Salaam.

Kwa mujibu wa mama wa mtoto huyo, Bi. Phily Muhebi mkazi wa Kilosa amesema kuwa mwanaye alijeruhiwa vibaya kwa kipigo kutoka kwa waalimu hao Machi 19, mwaka huu kwa kosa aliloelezwa na wanafunzi...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Zanzibar 24

Daktari aeleza ugonjwa wa Freeman Mbowe hadi kulazwa hospitali

Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe aliyekuwa amelazwa katika Hospitali ya Rufaa Kilimanjaro Christian Medical Center (KCMC) ameruhusiwa kutoka hospitali hapo baada ya madaktari kujiridhisha kuwa afya yake imeimarika.

Mbowe alilazwa hospitalini hapo kuanzia juzi Machi 4 usiku ambapo alikuwa akisumbuliwa na maumivu makali ya kichwa.

Afisa Habari wa KCMC, Gabriel Chisseo amesema kuwa Mbowe ameruhusiwa kutoka hospitalini hapo, baada ya madaktari waliokuwa wakimpatia matibabu kuona afya yake...

 

4 years ago

Mtanzania

Mwanafunzi darasa la nne ajinyonga chumbani

Na Asifiwe George, Dar es Salaam

MWANAFUNZI wa darasa la nne katika Shule ya Msingi Pugu jijini Dar es Salaam, Festo Filbert (11) amekutwa chumbani kwake akiwa amejinyonga hadi kufa kwa kutumia mkanda wa kuvalia nguo.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Ilala, Mary Nzuki alisema tukio hilo lilitokea jana katika eneo la Majohe kwa Ngozoma.
Alisema sababu za kujinyonga mwanafunzi huyo bado hazijafahamika kwani hakuacha ujumbe wowote.
“Mtoto huyu alikutwa chumbani kwake anakolala akiwa peke...

 

3 years ago

Zanzibar 24

Mwalim ampa ujauzito mwanafunzi wa darasa la nne

MAHAKAMA ya Wilaya ya Mlele mkoani Katavi imemhukumu Mwalimu wa Shule ya Msingi Ukingwamizi, Une Thom kutumikia kifungo cha miaka 32 jela.

Thom (32) amehukumiwa kifungo hicho baada ya mahakama hiyo kumtia hatiani kwa makosa mawili ya kumnajisi na kumpatia ujauzito mwanafunzi wake mwenye umri wa miaka 16.

Msichana huyo ambaye amejifungua mtoto njiti aliyekufa baada ya kuzaliwa, alikuwa akisoma darasa la nne katika Shule ya Msingi Ukingwamizi , Kata ya Mamba wilayani Mlele mkoani Katavi.

Kwa...

 

5 years ago

Michuzi

MWANAFUNZI DARASA LA NNE AKATWA MAPANGA NA MFANYAKAZI WA NYUMBANI

  Mama mzazi akiwa na Mwanafunzi wa darasa la nne wa shule ya msingi Motomoto kata ya Vumilia wilayani Urambo aliyekatwakatwa mapanga na mfanyakazi wa nyumbani kwa madai ya kunyimwa hela na baba mzazi wa mtoto hu ========  =======  ======= Na Allan Ntana, Urambo
MTOTO Perezi Christian (12) ambaye ni mwanafunzi wa darasa la nne
katika shule ya msingi Motomoto iliyoko katika kata ya Vumilia wilaya
ya Urambo mkoani Tabora amekatwakatwa  mapanga mikononi na miguuni na   mfanyakazi wa...

 

2 years ago

Mwananchi

Mwanafunzi wa darasa la sita abakwa hadi kufa

Mwanafunzi wa darasa la sita  katika Shule ya Msingi Kapanga, Kata ya Katuma Wilaya ya Tanganyika, Mkoa wa Katavi, amekutwa amekufa kwenye shimo baada ya kubakwa na watu wasiojulikana.

 

3 years ago

Bongo5

Walimu 6 wa shule ya sekondari Mbogamo Njombe wampiga mwanafunzi hadi kupoteza fahamu

Ikiwa ni siku chache baada ya kuripotiwa taarifa za mwanafunzi kushambuliwa kupigwa na walimu katika shule ya Mbeya day jijini Mbeya tukio la aina hiyo limemkuta mwanafunzi mwingine wa shule ya sekondari ya Mbogamo ya mjini Njombe ambaye ameshambuliwa kwa kupigwa mpaka kupoteza fahamu na kulazwa katika hospitali ya mkoa huo na walimu 6 akiwemo mkuu wa shule hiyo Bi Helmina Mgaya.
shule

Mwanafunzi huyo Elizabeth Simfukwe wa kidato cha nne anaye kadiriwa kuwa na umri wa miaka 19 anadaiwa kufanyiwa...

 

3 years ago

MillardAyo

Mwanafunzi aliyepigwa na Walimu Mbeya aeleza kwanini hakwenda Hospitali licha ya kuumia

screen-shot-2016-10-13-at-1-24-48-pm

Jina lake ni Sebastian Chinguku mwanafunzi wa shule ya sekondari Mbeya Day kidato cha tatu ambae video yake ya kupigwa fimbo mateke na makofi na Walimu ilisambaa sana kwenye mitandao na imekua gumzo mpaka viongozi wa Serikali ikiwemo Mawaziri kuingilia kati. Anachokisema leo Sebastian kwenye AyoTV ni kwamba hakwenda Hospitali baada ya kuumizwa na kipigo […]

The post Mwanafunzi aliyepigwa na Walimu Mbeya aeleza kwanini hakwenda Hospitali licha ya kuumia appeared first on millardayo.com.

 

4 years ago

Vijimambo

Walimu Watatu Wamchapa Mwanafunzi wa Kidato cha Pili viboko Hadi Kufariki kwa Kufeli Mtihani wa Kiswahili huko KITETO

Mwanafunzi wa kidato cha pili katika Shule ya Sekondari Matui wilayani Kiteto, amefariki dunia darasani baada ya kudaiwa kuchapwa viboko na walimu watatu wa shule hiyo, kwa kile kilichodaiwa kufeli mtihani wa Kiswahili. Polisi wilayani na mkoani Manyara, wanamshikilia mwalimu mmoja baada ya wenzake kukimbia baada ya tukio.Akizungumza jana, Mkuu wa Wilaya ya Kiteto, Kanali Samwel Nzoka alimtaja mwanafunzi huyo aliyepoteza maisha kuwa ni Noel Bichima (15).Kanali Nzoka alisema tukio hilo...

 

4 years ago

Vijimambo

Mchungaji Gwajima Avamiwa.....Apigwa Panga Kichwani na Kulazwa ICU


MCHUNGAJI wa Kanisa la Ufufuo na Uzima jijini Mwanza, Samson Gwajima na Ofisa wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Amin Neigwa, wamevamiwa na majambazi ambao wamewajeruhi vibaya kwa kuwakata mapanga vichwani.Tukio hilo lilitokea usiku wa kuamkia jana katika Mtaa wa Lyila, Kata ya Buhongwa, Wilaya ya Nyamagana, jijini Mwanza.Akizungumza kwa taabu na mwandishi wetu akiwa wodini kwenye Hospitali ya Rufaa ya Bugando (BMC), alikolazwa kwa matibabu, Neigwa, alisema akiwa...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani