MWANAFUNZI WA ST. AUGUSTINE AJINYONGA MJINI MBEYA KWA MATOKEO YA MECHI YA REAL MADRID NA LIVERPOOL

Mwanafunzi wa mwaka wa pili Chuo kikuu cha ‘St. Augustine’ kampasi ya Mbeya Moses Mashaka amejinyonga mara baadaya timu yake ya Liverpol kushindwa kutwaa ubingwa wa klabu bingwa barani Ulaya, Polisi yathibitisha

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

12 months ago

Malunde

MWANAFUNZI WA CHUO KIKUU MBEYA SHABIKI WA LIVERPOOL AJINYONGA TIMU YAKE KUFUNGWA


Mwanafunzi wa mwaka wa pili katika Chuo cha Saint Augustine Mbeya, Moses Mashaka amejinyonga kwa mujibu wa mashuhuda wa eneo analoishi wamesema Mwanafunzi huyo alikuwa shabiki wa Klabu ya Liverpool na imedaiwa kuwa kitendo cha kufungwa kwa klabu hiyo goli 3-1 ndiyo sababu.

Hata hivyo wengine wamesema Mwanafunzi huyo alijiingiza katika mchezo wa kamari maarufu kama Betting na kitendo cha kuliwa inawezekana ikawa ndiyo sababu.

Akithibitisha kutokea kwa kifo hicho Kaimu Kamanda wa Jeshi la Polisi...

 

3 years ago

MillardAyo

Nimekusogezea matokeo na video za magoli ya mechi za UEFA, Roma Vs Real Madrid

2714

Usiku wa February 17 mechi za Gent dhidi ya Wolfsburg na mchezo kati ya Real Madrid dhidi ya AS Roma ya Italia, ulikamilisha idadi ya timu 8 za kwanza kucheza mechi zake za kwanza za hatua ya 16 bora ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, mchezo uliokuwa unasubiriwa kwa hamu usiku wa February 17 wa Ligi ya Mabingwa […]

The post Nimekusogezea matokeo na video za magoli ya mechi za UEFA, Roma Vs Real Madrid appeared first on TZA_MillardAyo.

 

3 years ago

Bongo5

Matokeo ya mechi za UEFA Feb 17 Roma vs Real Madrid,Gent na Wolfsburg

3153396700000578-0-image-a-40_1455743285986

Michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya ilichezwa usiku wa February 17 mechi kati ya Gent dhidi ya Wolfsburg na mchezo kati ya Real Madrid dhidi ya AS Roma ya Italia, ilikamilisha idadi ya timu 8 za kwanza kucheza mechi zake za kwanza za hatua ya 16 bora.

3153396700000578-0-image-a-40_1455743285986
Cristiano Ronaldo akishangilia goli pamoja na kocha wake

Mchezo uliokuwa unasubiriwa kwa hamu usiku wa February 17 wa Ligi ya Mabingwa Ulaya ni mchezo kati ya Roma dhidi ya Real Madrid.

31534E3A00000578-0-image-m-62_1455743959864

Mchezo wa Real Madrid ya Hispania ulimalizika kwa...

 

3 years ago

MillardAyo

VIDEO: Real Madrid yalazimishwa sare UEFA, Cheki matokeo ya mechi za Nov 2 2016

1q

Usiku wa November 2 2016 hatua ya makundi round ya nne ya michuano ya UEFA Champions League iliendelea kama kawaida kwa michezo nane kuchezwa, Real Madrid wao walikuwa wageni wa Legia Warsaw katika uwanja wa Wojska Polskiego. Real Madrid wakiwa ugenini wamelazimishwa sare ya kufungana magoli 3-3, magoli ya Real Madrid yalifungwa na Gareth Bale […]

The post VIDEO: Real Madrid yalazimishwa sare UEFA, Cheki matokeo ya mechi za Nov 2 2016 appeared first on millardayo.com.

 

12 months ago

BBCSwahili

Kwa Picha: Real Madrid walivyosherehekea kulaza Liverpool na kushinda Champions League

Maelfu ya mashabiki wa miamba wa Uhispania Real Madrid walijitokeza katika barabara za jiji kuu la Uhispania Madrid kuwapokea wachezaji wa klabu hiyo waliporejea kutoka Kiev Jumapili.

 

2 years ago

Zanzibar 24

Mwanafunzi wa darasa la 5 ajinyonga kufuatia matokeo mabaya ya mtihani

Mwanafunzi wa darasa la 5 katika Shule ya Msingi Kizota, Yasin Abdallah(13) amekutwa amejinyonga bafuni nyumbani kwao baada ya kuchukizwa na kufanya vibaya katika masomo yake.

Diwani wa Kizota, Jamary Ngalya, alisema mtoto huyo ambaye alizikwa juzi jioni, alianza kwa kuwaeleza wanafunzi wenzake Ijumaa kuwa atajinyonga kufuatia matokeo yake ambayo hayamridhisha.

Alisema baada ya kutamka hayo, wenzake walimwambia wanakwenda kumweleza mwalimu, hata hivyo baada ya kuwasikia wenzake aliwaambia...

 

2 years ago

MillardAyo

Kipigo cha Barcelona kwa Real Madrid kilichovunja rekodi ya Real Madrid

Baada ya kuondolewa katika michuano ya UEFA Champions League kwa timu ya FC Barcelona usiku wa April 23 2017 walisafiri hadi katika jiji la Madrid kuendeleza harakati zao za kuwania Kombe la LaLiga kwa kucheza dhidi ya wapinzania wao wa jadi Real Madrid katika uwanja wa Santiago Bernabeu. FC Barcelona walisafiri kuelekea Madrid tayari wakiwa […]

The post Kipigo cha Barcelona kwa Real Madrid kilichovunja rekodi ya Real Madrid appeared first on millardayo.com.

 

5 years ago

BBCSwahili

Liverpool yachabangwa na Real Madrid 3-0

Katika ligi ya mabingwa barani Ulaya Liverpool imechabangwa nyumbani Anfield kwa mabao 3-0 kutoka kwa Real Madrid.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani