MWANAHABARI NYOTA NCHINI MILLARD AYO AKANUSHA UZUSHI WA KIFO CHAKE ULIOSAMBAA KILA KONA


Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Bongo Movies

Jokate Akanusha Kutoka na Millard Ayo!

Mwanamitindo na mwigizaji, Jokate Mwegelo ameucho molea vilivyo uvumi uliozagaa kuwa ana uhusiano wa kimapenzi na mtangazaji Millard Ayo wa Clouds FM.

Uvumi huo ulianzia mitandaoni ambapo mwanahabari wetu alipomtafuta Jokate juzikati, aliweka plain ukaribu wake na Millard ambaye ni mtangazaji mwenye mvuto mkubwa kwa jamii.

“Millard ni mshkaji, namkubali kutokana na uchapakazi wake, anajua kujituma na ni mpambanaji lakini nje ya hapo hakuna cha zaidi,” alisema Jokate.

Picha: Jokate akiwa...

 

1 year ago

MillardAyo

3:38 Polisi DSM, kuhusu Kiongozi wa CHADEMA aliyenyongwa Millard Ayo 142 views New 7:27 Mabasi ya Mwendo Kasi yanazidi kuongezwa, 70 yalivyoshushwa Bandarini leo Millard Ayo 90 views New 5:12 Nasikia kuna Mabaunsa, Hakuna baunsa mbele ya serikali’-

Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi Dr. Mwigulu Nchemba leo amefanya ziara mkoani Kagera kwa lengo la uzinduzi wa vitambulisho vya Taifa NIDA, ambapo amewasihi Watanzania kuhakikisha wanajiandikisha ili kuepukana na matatizo yanayoweza kuwakuta hapo baadae. Akiongea na wananchi Waziri Mwigulu amegusia suala la mauaji ya kada wa CHADEMA ambaye pia alikuwa Katibu wa […]

 

2 years ago

Michuzi

DIWANI KIJICHI AKUNUSHA UZUSHI WA KIFO CHAKE

 Na Humphrey Shao, Globu ya JamiiJana  kulisambaa habari zisizokuwa za kweli kuhusu kifo cha Diwani wa kata ya Kijichi Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam, Tausi Milanzi.Habari hizo ambazo zililikuwa zinasambaa kwa kasi  kwenye mitandao ya kijamii jambo lililopelekea Globu ya Jamii  kutafuta ukweli wa jambo hilo na kuwasiliana na watu wanaohusika.Globu ya Jamii  ilimtafuta Diwani huyo kwa njia ya simu ya kiganjani na kuzungumza nae ambapo amekanusha uwepo wa taarifa hizo na kueleza...

 

5 years ago

GPL

MZEE SMALL YUPO HAI, TAARIFA ZA KIFO CHAKE NI UZUSHI

KUNA taarifa zilizagaa kuwa msanii mkongwe wa vichekesho na maigizo nchini, Said Ngamba ‘Mzee Small’ amefariki dunia. Taarifa hizo ni za uongo na uzushi maana mwandishi wetu ameongea na mke wa Mzee Small pamoja na Mzee Small mwenyewe ambaye ni mzima kabisa!  Mke wa Mzee Small anadai usiku kucha hajalala maana alikuwa anapokea meseji za pole kutoka kwa watu mbalimbali kuhusu taarifa hizo za uzushi. Mzee Small mwenyewe...

 

4 years ago

Vijimambo

SIASA SAIZI NI KILA KONA LEO DK. MAHANGA NAYE KATANGAZA KUKIHAMA CHAKE

Mh. Dkt. Makongoro Mahanga akizungumza na waandishi wa habariTaarifa za siasa kwa sasa zimekuwa ni nyingi sana karibu kila siku lazima kutaibuka story mpye leo kuna hii ya mwanachama mwingine wa Chama cha Mapinduzi CCM katangaza kukihama chama hicho.
Mwanachama huyo ni Naibu Waziri wa Kazi na Ajira na Mbunge wa Segerea anayemaliza muda wake,Mh. Dkt. Makongoro Mahanga, ambaye leo ametangaza kukihama chama chake hicho, huku akitoa sababu za kutokuwepo kwa Demokrasia ya kweli ndani ya CCM na...

 

4 years ago

GPL

MILLARD AYO ATEMBELEA GLOBAL JANA

Mtangazaji wa Clouds FM, Millard Ayo (mwenye kofia) akielezwa jambo na Mhariri Kiongozi wa Championi, Saleh Ally (kushoto) alopotembelea Global Publishers jana. Aliyekaa ni msanifu kurasa, Shafii Hashim. Mhariri wa Risasi Jumamosi, Erick Evarist (kulia) akimfafanulia jambo na Millard Ayo (kushoto) na Saleh Ally (katikati).…

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani