Mwanamke ajinyonga akiwa mahabusu

Arusha. Mahabusu Victoria Edward (51), mkazi wa Lemara mkoani hapa, aliyekuwa anatuhumiwa kuchoma moto nyumba ya familia yao, amejinyonga hadi kufa ndani ya chumba cha mahabusu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Tanzania Daima

Mahabusu ajinyonga chooni

MAHABUSU, Vumi Elias (30), amefariki dunia baada ya kujinyonga kwa kutumia tambala la kupigia deki ndani ya choo cha mahabusu ya Kituo cha Polisi Tunduma. Elias, mkazi wa Maporomoko-Tunduma, aliyetuhumiwa...

 

3 years ago

Habarileo

Mtuhumiwa wa kuchoma nyumba ajinyonga mahabusu

MAHABUSU Victoria Edward (51) aliyekuwa anatuhumiwa kwa kosa la kuchoma nyumba yao ya familia, amejinyonga hadi kufa ndani ya chumba cha mahabusu.

 

3 years ago

Habarileo

Mtuhumiwa ajinyonga kwa zipu mahabusu

MTUHUMIWA wa kosa la kunajisi, Mwita Makwabe (52) amekutwa amejinyonga chooni akiwa mahabusu katika Kituo cha Polisi Sirari. Mtuhuhimiwa huyo amejinyonga kwa kutumia zipu ya koti lake. Alikuwa anakabiliwa na tuhuma za kumnajisi mtoto wa kike wa miaka sita.

 

3 years ago

Global Publishers

Aliyechoma Moto Nyumba na Maduka Yake Mawili Ajinyonga Mahabusu

1Mahabusu aliyekuwa akishikiliwa katika kituo kikuu cha polisi jijini Arusha aliyetambulika kwa jina la Victoria Wenga (51) mkazi wa Lemara jijini Arusha amejinyonga hadi kufa usiku wa kuamkia jana kwa kutumia shuka lake bila kuacha ujumbe wowote. Marehemu alikamatwa Agosti 21 mwaka huu majira ya Alfajiri kwa tuhuma za kuchoma moto nyumba yake na maduka yake mawili kutokana na ugomvi wa kifamilia. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Charles Mkumbo alikiri kutokea kwa tukio hilo katika Kituo...

 

3 years ago

Mtanzania

Mahabusi ajinyonga akiwa rumande

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Charles Mkumbo.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Charles Mkumbo.

Na ELIYA MBONEA, ARUSHA

MAHABUSI  Victoria Edward (51),  mkazi wa Lemara jijini hapa  amekutwa amejinyonga hadi kufa akiwa ndani ya choo cha mahabusu ya wanawake katika Kituo Kikuu cha Polisi  Arusha mjini.

Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo jana mjini hapa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Charles Mkumbo alithibitisha kujinyonga kwa mahabusi huyo ambaye alikutwa na kipande cha nguo.

Alisema tukio hilo lilitokea Agosti 24, mwaka huu saa...

 

5 years ago

Tanzania Daima

Mwanamke ajinyonga shambani Tabata

Mwanamke aliyefahamika kwa jina la Irene Ibrahim (22), mkazi wa Tabata Kisukuru manispaa ya Ilala, amefariki dunia baada ya kujinyonga. Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa...

 

3 years ago

Mwananchi

Ashinda tuzo ya mwaka akiwa mahabusu

Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THDRC) umempa tuzo ya mwaka George Mgoba, aliye mahabusu akikabiliwa na shtaka la kuandaa kinyume cha sheria maandamano ya vijana waliomaliza mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kushinikiza kupatiwa ajira.

 

3 years ago

Mtanzania

Lema aendelea kugoma kula akiwa mahabusu

MBUNGE wa Arusha Mjini, Godbless Lema (Chadema)

MBUNGE wa Arusha Mjini, Godbless Lema (Chadema)

Na JANETH MUSHI, ARUSHA

MBUNGE wa Arusha Mjini, Godbless Lema (Chadema), ameendelea kugoma kula kwa siku ya tatu mfululizo tangu alipokamatwa Oktoba 26 mwaka huu, nyumbani kwake mjini hapa, akidaiwa kutoa maneno ya uchochezi.

Lema alikamatwa siku hiyo saa 12 alfajiri akiwa nyumbani kwake, Njiro,  na hadi sasa anashikiliwa katika mahabusu ya kituo kikuu cha polisi mjini Arusha.

Kutokana na kuendelea kugoma kula, Wakili wake, John Mallya amesema...

 

2 years ago

MwanaHALISI

Manji apata pigo jingine akiwa mahabusu

SERIKALI imekitaifisha kiwanda cha kuchakata ngozi cha Mwanza Tanneries kilichopo Ilemela mkoani Mwanza kwa kushindwa kuendelezwa na kuendeshwa kwa zaidi ya miaka mitano sasa, anaandika Moses Mseti. Kiwanda hicho, kinachomilikiwa na mfanyabiashara maarufu nchini, Yusuf Manji, ambaye anasota mahabusu jijini Dar es Salaam, kimekuwa na mgogoro wa muda mrefu kati yake na kampuni ya Caspian. ...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani